Tangazo

Pages

Wednesday, May 2, 2012

FADHILI MAJIA VS NASSIBU RAMADHANI WASAINI KUZIPIGA JUNI 9


 Bondia Nassibu Ramadhani katikati akisaini mkataba wa kucheza mpambano wa ubingwa na Fadhiri Majia kushoto anaeshughudia kulia ni promota wa mpambano huo Kaike Siraju
 Bondia Fadhiri Majia akisaini mkataba wa kucheza na Nassibu Ramadhani kushoto mpambano utakaofanyika juni 9 kulia ni promota wa mpambano huo Kaike Siraju
Rais wa oganaizesheni ya Ngumi za kulipwa TPBO Yasini Abdallah katikati akiwainuwa  mikono mabondia  Nassibu Ramadhani na Fadhiri Majia kwa ajili ya kutambulisha mpambano wao utakaofanyika juni 9

No comments:

Post a Comment