Tangazo

Pages

Saturday, May 12, 2012

MASUMBWI - R.I.P RACHEL MWILIGWA




RAMBIRAMBI ZA MSIBA TOKA KWA WANAMASUMBWI
kampuni ya BigRight Promotion kupitia kwa mkurugenzi wake Ibrahim Kamwe imepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha Mhariri wa Michezo wa gazeti la Mtanzania, Rachel Mwiligwa kilichotokea leo (Mei 11 mwaka huu).kwa niaba ya mabondia,makocha na mapromota wa masumbwi nchini tunawataka familia ya rachel na kampuni ya New habari wawe wavumilivu katika kipindi hiki kigumu cha msiba. Tunatoa POLE! - MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU RACHEL PEPONI - "ameeein"

No comments:

Post a Comment