Tangazo

Pages

Tuesday, May 15, 2012

WADAU WA MASUMBWI WATUNUKIWA VYETI


Rais wa IBF Afrika Onesmo Ngowi akipokea cheti kutoka kwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, David Misime cha kutambua mchanmgo wake wakati wa Mpambano wa Francis Cheka na Mada Maugo
Rais wa TPBO Yasini Abdalaah akipokea cheti kutoka kwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, David Misime cha kutambua mchanmgo wake wakati wa Mpambano wa Francis Cheka na Mada Maugo
Mwandishi wa Habari wa Mlimani TV Fadhili Swala akipokea cheti kutoka kwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, David Misime cha kutambua mchanmgo wake wakati wa Mpambano wa Francis Cheka na Mada Maugo
Mhariri wa Gazeti la Jambo Leo, Julius Kihampa akipokea cheti kutoka kwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, David Misime cha kutambua mchanmgo wake wakati wa Mpambano wa Francis Cheka na Mada Maugo

No comments:

Post a Comment