Tangazo

Pages

Tuesday, May 15, 2012

SUPER D BOXING COACH AKABIZIWA CHETI CHA KUTAMBUA UWEZO WAKE WA KUSAPOTI MCHEZO MASUMBWI KUSONGA MBELE



Rajabu Mhamila 'SUPER D BOXING COACH' akipokea cheti kutoka kwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, David Misime cha kutambua mchanmgo wake wakati wa Mpambano wa Francis Cheka na Mada Maugo SUPER D ambaye ni Kocha wa Masumbwi na Mtaalishaji wa DVD za masumbwi zinazofundisha sheria na mbinu za mchezo huo akichanganya na mabondia wa kimataifa

https://mail-attachment.googleusercontent.com/attachment/?ui=2&ik=15bca2b9f1&view=att&th=137506e75a0cb788&attid=0.1&disp=inline&realattid=f_h28xdyj40&safe=1&zw&saduie=AG9B_P8IDBBV66GRCxbqjQA8oqBo&sadet=1337109729320&sads=gi_TlCsuxl6yakMyxZS5jh6yDy0&sadssc=1
Cheti alichopewa Super D Boxing Coach kwa kutambua mchango wake wa kuendeleza mchezo huo





Super D Boxing Coach akiwa na wadau mbalimbali ambao nao wametambuliwa kwa kusapoti mchezo wa masumbwi nchini
Super D Boxing Coach akiwa na wadau mbalimbali ambao nao wametambuliwa kwa kusapoti mchezo wa masumbwi nchini

Super D Boxing Coach katikati akiwa ameshika cheti chake kushoto ni Fadhili Swala wa Mlimani TV, Mkandemba wa Tanzania Daima na kulia ni Rais wa TPBO Yasini Abdallah

No comments:

Post a Comment