Tangazo

Pages

Saturday, December 21, 2013

ALIBABA NA KASEBA WATAMBIANA

Bondia Alibaba Ramadhani kushoto akitunishiana masuli na Japhert Kaseba baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa jumapili desemba 22 wa kugombania ubingwa wa taifa picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Mdhamini wa mpambano wa kugombania ubingwa wa taifa Ibrahimu Kamwe katikati akiwainua mikono juu mabondia Alibaba Ramadhani kushoto na Japhert Kaseba baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa jumapili desemba 22 wa kugombania ubingwa wa taifa picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments:

Post a Comment