Tangazo

Pages

Friday, November 23, 2012

Ricky Hatton KUPAMBANA NA Vyacheslav Senchenko LEO


BONDIA Ricky Hatton anatarajia kupanda ulingoni leo baada ya kukaa nje ya ulingo takribani ya miaka mitatu mfululizo bondia huyo wa Manchester atakuwa na kibarua kizito leo cha kutaka kuludi katika mchezo huo huku akiwa amepania kupambana na maasimu wake Floyd Maywether na Manny Paquaio ambaye alimpa kichapo cha paka mwizi baada ya kumdunda katika raundi ya pili bondia huyo atacheza na bondia asio pigikaVyacheslav Senchenko Katika mpambano huo tiketi zote zilizokuwa zikiizwa zimeisha mapema tokea Rick Hattony kutangaza kuwa anarudi ulingoni

No comments:

Post a Comment