Friday, July 29, 2011
TENDE HIZOOOO MSIMU WAKE UHO EHEEE
Tuesday, July 26, 2011
Timu ya wabunge ya POOL yakikabidhiwa zawadi Dodoma
 Waziri wa Nishati na Madini William Ngeleja (kushoto) akimkadbidhi Mshindi wa jumla wa mashindano ya mchezo wa POOL George Simbachawene Mbunge wa Kibakwe (Kulia) zawadi ya ngao aliyopewa na Chama Cha mchezo huo  (TAPA) mara baada ya kuibuka mshindi wakati wa mashindano  ya timu ya bunge na combine ya TBL na TAPA yaliyofanyika jumamosi iliyopita mjini Dodoma. Hafla hiyo fupi ya kukabidhi zawadi kwa washindi ilifanyika leo nje ya viwanja vya Bunge mjini Dodoma.
Waziri wa Nishati na Madini William Ngeleja (kushoto) akimkadbidhi Mshindi wa jumla wa mashindano ya mchezo wa POOL George Simbachawene Mbunge wa Kibakwe (Kulia) zawadi ya ngao aliyopewa na Chama Cha mchezo huo  (TAPA) mara baada ya kuibuka mshindi wakati wa mashindano  ya timu ya bunge na combine ya TBL na TAPA yaliyofanyika jumamosi iliyopita mjini Dodoma. Hafla hiyo fupi ya kukabidhi zawadi kwa washindi ilifanyika leo nje ya viwanja vya Bunge mjini Dodoma.  Viongozi wa Serikali, wachezaji wa timu ya Pool ya Bunge na viongozi wa Chama Cha POOL Tanzania  (TAPA) wakiwa katika picha ya pamoja nje ya viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo mara baada ya kumalizika kwa hafla fupi ya kukabidhiwa kwa zawadi za washindi wa mashinndano hayo yaliyoandaliwa  na TAPA yaliyofanyika jumamosi iliyopita mjini Dodoma.
Viongozi wa Serikali, wachezaji wa timu ya Pool ya Bunge na viongozi wa Chama Cha POOL Tanzania  (TAPA) wakiwa katika picha ya pamoja nje ya viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo mara baada ya kumalizika kwa hafla fupi ya kukabidhiwa kwa zawadi za washindi wa mashinndano hayo yaliyoandaliwa  na TAPA yaliyofanyika jumamosi iliyopita mjini Dodoma.  Picha na Anna Nkinda - Maelezo
  Waziri wa Nishati na Madini William Ngeleja (kushoto) akimkadbidhi Mshindi wa pili wa mashindano ya mchezo wa POOL Dkt. Charles Tibeza  Mbunge waBuchosa (Kulia) zawadi ya fimbo ya kuchezea aliyopewa na Chama Cha mchezo huo  (TAPA) mara baada ya kuibuka mshindi wakati wa mashindano  ya timu ya bunge na combine ya TBL na TAPA yaliyofanyika jumamosi iliyopita mjini Dodoma. Hafla hiyo fupi ya kukabidhi zawadi kwa washindi ilifanyika leo nje ya viwanja vya Bunge mjini Dodoma.
Waziri wa Nishati na Madini William Ngeleja (kushoto) akimkadbidhi Mshindi wa pili wa mashindano ya mchezo wa POOL Dkt. Charles Tibeza  Mbunge waBuchosa (Kulia) zawadi ya fimbo ya kuchezea aliyopewa na Chama Cha mchezo huo  (TAPA) mara baada ya kuibuka mshindi wakati wa mashindano  ya timu ya bunge na combine ya TBL na TAPA yaliyofanyika jumamosi iliyopita mjini Dodoma. Hafla hiyo fupi ya kukabidhi zawadi kwa washindi ilifanyika leo nje ya viwanja vya Bunge mjini Dodoma. Thursday, July 21, 2011
DVD MPYA ZA NGUMI ZATOKA
- DVD MPYA ZA MANNY PAQUAO NA FLOYD MAYWETHER ZIPO MTAANI ZINAPOATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI PIGA SIMU 0652755838 AU WASILIANA NA KOCHA SUPER D KWA 0787,0774-406938 AU FIKA KAMBI YA ILALA AU TIMU YA ASHANTI
Saturday, July 16, 2011
ILALA WAPATA SAPOTI YA MAJI KWA AJILI YA MAPAMBANO YA JUMAPILI JULAI 17
MCHAKATO wa Kuendeleza mchezo wa ngumi za Ridhaa Katika Mkoa wa
Kimichezo wa ILALA, unatarajiwa kuingia katika hatua nyingine Julai 17 kati ya klabu za ngumi ya Amana, Matimbwa,Ashanti,Bigrayt na klabu nyingine
Mapambano hayo ya raundi nne, yanatarajiwa kufanyika katika ukumbi wa
Panandi Panandi uliopo bungoni Wilaya ya ILala ambapo mabondia wanne
kutoka katika kila klabu, watachapana makonde.
Mabondia wa Amana watakaopanda siku hiyo ni IBrahimu Class Kg.64,
Khalfani Othumani Kg 57, Kassimu Sambo Kg 54, na Saidi Ally Kg 48.
Klabu ya Matimbwa itawakilishwa na MOhamedi Matimbwa Kg 64, MOhamedi
Akizungumza Dar es Salaam leo Mratibu wa mapambano hayo ambae pia ni
kocha wa mchezo wa ngumi akishirikiana na Kinyogoli Foundition, Rajabu
Mhamila Super D, Alisema mpango huo utaendelea mpaka wahakikishe
wamefanikiwa kuibua vibaji na kuviendeleza
Alisema tangu waanze mpango wa kuandaa mapambano mkohani humo
wamefanikiwa kurudisha hamasa ya mchezo huo mkoani humo na kuwataka
wadau mbalimbali kutoa sapoti kwa mchezo huo ili upate kuendelea
ambapo Super D alitoa mfano wa vitu wanavyoviitaji ikiwemo posho za
nauli kwa wachezaji vifaa vya kuwatia moyo na zawadi mbalimbali kwa
mabondia
Super D aliwashukulu wadau waliojitolea katoni 15 za maji kwa ajili ya kuendesha mashindano hayo yatakayofanyika jumapili ya Julai 17 aliwataja waliosaidia kuwa Mohamed Sadiq 'Muddy Kala' na Mwanamama Halima Kaubanika aliyejitolea maji kwa wachezaji wote watakaocheza kwa siku hiyo
KAMBI YA ILALA YAKABIZIWA MAJI KWA AJILI YA MPAMBANO WA JUMAPILI JULAI 17
WAHARIRI WAPOKEA VYETI VYAO BAADA YA KUMALIZIKA KWA MKUTANO WA JUKWAA LA WAHARIRI ARUSHA
 Mzee  Salim Said Salim mwandishi mkongwe kutoka Zanzibar wa tatu kutoka kulia  katika picha akiwachekesha meza kuu ya JUKWAA LA  WAHARIRI, mara baada  ya kumaliza shughuli ya kugawa vyeti katika mkutano wa jukwaa la  wahariri unaomalizika leo jijini Arusha, kulia ni Mkurugenzi wa  Mawasiliano Serengeti Breweriers Tedd Mapunda, Nevile Meena Katibu wa  jukwaa la wahariri, kushoto ni   Theophil Makunga mjumbe wa Jukwaa la  Wahariri na  Mhariri mtendaji wa Mwananchi Communication na Mwenyekiti  wa Jukwaa la Wahariri Absalom Kibanda na Mhariri  wa Tanzania Daima.   Leo baada ya kumaliza mkutano huo  wahariri hao watakwenda mjini moshi ambapo watatembelea kiwanda kipya  cha bia cha Serengeti Breweriers,  baadae watakuwa na mchezo wa mpira wa  miguu kati yao na wafanyakazi wa kampuni ya bia ya Serengeti ,na baadae  watakwenda kushuhudia tamasha la Serengeti Fiesta litakalofanyika  kwenye uwanja wa Ushirika Moshi leo jioni.
Mzee  Salim Said Salim mwandishi mkongwe kutoka Zanzibar wa tatu kutoka kulia  katika picha akiwachekesha meza kuu ya JUKWAA LA  WAHARIRI, mara baada  ya kumaliza shughuli ya kugawa vyeti katika mkutano wa jukwaa la  wahariri unaomalizika leo jijini Arusha, kulia ni Mkurugenzi wa  Mawasiliano Serengeti Breweriers Tedd Mapunda, Nevile Meena Katibu wa  jukwaa la wahariri, kushoto ni   Theophil Makunga mjumbe wa Jukwaa la  Wahariri na  Mhariri mtendaji wa Mwananchi Communication na Mwenyekiti  wa Jukwaa la Wahariri Absalom Kibanda na Mhariri  wa Tanzania Daima.   Leo baada ya kumaliza mkutano huo  wahariri hao watakwenda mjini moshi ambapo watatembelea kiwanda kipya  cha bia cha Serengeti Breweriers,  baadae watakuwa na mchezo wa mpira wa  miguu kati yao na wafanyakazi wa kampuni ya bia ya Serengeti ,na baadae  watakwenda kushuhudia tamasha la Serengeti Fiesta litakalofanyika  kwenye uwanja wa Ushirika Moshi leo jioni.  Theophil  Makunga mjumbe wa Jukwaa la Wahariri na  Mhariri mtendaji wa Mwananchi  Communication, akipokea cheti chake kutoka kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano  wa Serengeti (SBL)mara baada ya kumalizika kwa mkutano wa jukwaa la  wahariri.
Theophil  Makunga mjumbe wa Jukwaa la Wahariri na  Mhariri mtendaji wa Mwananchi  Communication, akipokea cheti chake kutoka kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano  wa Serengeti (SBL)mara baada ya kumalizika kwa mkutano wa jukwaa la  wahariri. JUKWAA LA WAHARIRI WATEMBELEA KIWANDA CHA SERENGETI MOSHI NA KUCHEZA MPIRA WA MIGUU NA WAFANYAKAZI
 Mkurugenzi  wa mawasiliano wa kampuni ya bia ya Serengeti Breweriers Teddy  Mapunda  akizungumza na wanahabari, mara baada ya kumalizika kwa zoezi la  kuwatembeza wahariri wa vyombo vya habari, ili kujionea mitambo mipya ya  kiwanda cha kampuni ya bia ya Serengeti SBL, kilichojengwa maeneo ya  Bomambuzi mjini Moshi.   Wahariri hao wametembelea kiwanda hicho ikiwa ni kukalimisha ratiba ya  mambo mbalimbali ambayo walijipangia, mara baada ya kumalizika kwa  mkutano wao wa jukwaa la wahariri uliomalizika leo katika Hoteli ya Kibo  Palace jijini Arusha.   Katika jukumu lingine walilokuwa nalo ilikuwa ni kucheza mchezo mmoja wa  mpira wa miguu kati yao na wafanyakazi wa kampuni ya bia ya Serengeti,  ambapo mchezo huo umechezwa katika viwanja vya Chuo cha Polisi Moshi CCP  na timu hizo kutoka suluhu ya magoli 0-0,  baadae usiku huu wataingia  katika tamasha la Serengeti Fiesta linalofanyika  kwenye uwanja wa  Ushirika Moshi.
Mkurugenzi  wa mawasiliano wa kampuni ya bia ya Serengeti Breweriers Teddy  Mapunda  akizungumza na wanahabari, mara baada ya kumalizika kwa zoezi la  kuwatembeza wahariri wa vyombo vya habari, ili kujionea mitambo mipya ya  kiwanda cha kampuni ya bia ya Serengeti SBL, kilichojengwa maeneo ya  Bomambuzi mjini Moshi.   Wahariri hao wametembelea kiwanda hicho ikiwa ni kukalimisha ratiba ya  mambo mbalimbali ambayo walijipangia, mara baada ya kumalizika kwa  mkutano wao wa jukwaa la wahariri uliomalizika leo katika Hoteli ya Kibo  Palace jijini Arusha.   Katika jukumu lingine walilokuwa nalo ilikuwa ni kucheza mchezo mmoja wa  mpira wa miguu kati yao na wafanyakazi wa kampuni ya bia ya Serengeti,  ambapo mchezo huo umechezwa katika viwanja vya Chuo cha Polisi Moshi CCP  na timu hizo kutoka suluhu ya magoli 0-0,  baadae usiku huu wataingia  katika tamasha la Serengeti Fiesta linalofanyika  kwenye uwanja wa  Ushirika Moshi.  Mhariri  Mtendaji wa Mwananchi Communication na mjumbe wa Jukwaa la Wahariri  Theophil Makunga kulia na  Mkurugezi wa mawasiliano wa kampuni ya bia ya  Serengeti SBL Teddy Mapunda wakitoka nje. mara baada ya kuzitumikia  timu zao katika mchezo wa kirafiki wa mpira wa miguu, uliofanyika uwanja  wa Ushirika Moshi na timu hizo kutoka sare ya 0-0.
Mhariri  Mtendaji wa Mwananchi Communication na mjumbe wa Jukwaa la Wahariri  Theophil Makunga kulia na  Mkurugezi wa mawasiliano wa kampuni ya bia ya  Serengeti SBL Teddy Mapunda wakitoka nje. mara baada ya kuzitumikia  timu zao katika mchezo wa kirafiki wa mpira wa miguu, uliofanyika uwanja  wa Ushirika Moshi na timu hizo kutoka sare ya 0-0.  Mmoja  wa wachezaji wa timu ya Serengeti akiwatoka mabeki wa timu ya Jukwaa la  Wahariri katika mchezo wao, uliofanyika katika uwanja wa Ushirika Moshi  leo jioni.
Mmoja  wa wachezaji wa timu ya Serengeti akiwatoka mabeki wa timu ya Jukwaa la  Wahariri katika mchezo wao, uliofanyika katika uwanja wa Ushirika Moshi  leo jioni.  Mchezaji  mwa timu ya Serengeti Breweriers Teddy Mapunda akiukokota mpira  kuelekea goli la wapinzani wao timu ya Jukwaa la Wahariri.
Mchezaji  mwa timu ya Serengeti Breweriers Teddy Mapunda akiukokota mpira  kuelekea goli la wapinzani wao timu ya Jukwaa la Wahariri.  Kikosi cha JUkwaa la wahariri kikijifua kushoto anayekiongoza ni Mhariri Mtendaji wa Mwananchi Communication Theophil Makunga.
Kikosi cha JUkwaa la wahariri kikijifua kushoto anayekiongoza ni Mhariri Mtendaji wa Mwananchi Communication Theophil Makunga.  Kikosi  cha Serengeti Breweriers kikiwa katika picha ya pamoja kikongozwa na  mshabuliaji wake Teddy Mapunda wa pili kutoka kulia mstari wa mbele.
Kikosi  cha Serengeti Breweriers kikiwa katika picha ya pamoja kikongozwa na  mshabuliaji wake Teddy Mapunda wa pili kutoka kulia mstari wa mbele.  Mgeni  rasmi katika mpambano huo ambaye pia ni Mhariri mkuu wa Gazeti la  Habari Leo Joseph Kulangwa, akisalimiana na mshabuliaji wa timu ya  Serengeti Breweriers ambaye pia ni Mkurugenzi wa Mawasiliano wa SBL  Teddy Mapunda kabla mchezo huo haujaanza, kulia ni kocha wa timu ya  Jukwaa la Wahariri  na mhariri wa Spoti Starehe Masoud Sanane.
Mgeni  rasmi katika mpambano huo ambaye pia ni Mhariri mkuu wa Gazeti la  Habari Leo Joseph Kulangwa, akisalimiana na mshabuliaji wa timu ya  Serengeti Breweriers ambaye pia ni Mkurugenzi wa Mawasiliano wa SBL  Teddy Mapunda kabla mchezo huo haujaanza, kulia ni kocha wa timu ya  Jukwaa la Wahariri  na mhariri wa Spoti Starehe Masoud Sanane. Monday, July 4, 2011
Mafunzo ya ngumi yaendelea kambi ya Ilala
Kocha wa Mchezo wa ngumi Habibu KInyogoli (kushoto) akimwonesha jinsi
ya kupiga tumbo bondia Yohana Robart wakati wa mazoezi ya kambi ya
Ilala yanayoendelea katika ukumbi wa Amana CCM DAr es Salaam Robart
anajiandaa na mpambano na Rashidi Ally utakaofanyika jumamosi ya Julay
ya kupiga tumbo bondia Yohana Robart wakati wa mazoezi ya kambi ya
Ilala yanayoendelea katika ukumbi wa Amana CCM DAr es Salaam Robart
anajiandaa na mpambano na Rashidi Ally utakaofanyika jumamosi ya Julay
9
Kocha wa Mchezo wa ngumi Habibu KInyogoli (kushoto) akiwaelekeza
babondia Rashidi Mhamila, YOhana Robart na Omari Bai jinsi ya
kupishana na kumi pamoja na kupiga wakati wa mazoezi ya kambi ya Ilala
yanayofanyika Amana CCM
Subscribe to:
Comments (Atom)
 




















