Tangazo

Pages

Monday, October 20, 2014

MABONDIA WALIVYO CHAPANA KIN'GONGO KIMARA

 Bondia Stevin Kobelo kushoto akioneshana umwamba na Ally Jaka wakati wa mpambano wao uliofanyika kimara king'ongo Dar es salaam mwishoni mwa wiki iliyopita Kobelo alishinda kwa K,O ya raundi ya pili picha na SUPER D BLOG
 Bondia Julius Kisalawe kushoto akipambana na Issa Mangweni wakati wa mpambano wao Kisalawe alishinda kwa K,O ya raundi ya pili picha na SUPER D BLOG
Bondia Azizi Abdallah kulia akipokea DVD ya mafunzo ya mchezo wa ngumi kutoka kwa Katibu wa Afya na mazingira katika kata ya kin'gongo Yusuph Malipula picha na SUPER D BLOG

BONDIA FADHILI BOIKA AJINOA KUMKABILI GODFREY SILVE OKTOBA 25 FRENDS CORNER MANZESE

Bondia Fadhili Boika kushoto akipambana na Shomari Milundi wakati wa mazoezi yake yaliyofanyika katika ukumbi wa garden mburahati ya kujiandaa na mpambano wake wa Oktoba 25 kumkabili bondia Godfrey Silve katika ukumbi wa frends corne manzese Dar es salaam Picha na
SUPER D BLOG
Bondia Fadhili Boika kushoto akipambana na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa mazoezi yake yaliyofanyika katika ukumbi wa garden mburahati ya kujiandaa na mpambano wake wa Oktoba 25 kumkabili bondia Godfrey Silve katika ukumbi wa frends corne manzese Dar es salaam Picha na
SUPER D BLOG



Msimamizi wa mazoezi kutoka 'King Class Team' Bilali Ngonyani kushoto akimsimamia kupiga gab bondia Fadhili Boika wakati wa masoezi yake ya kujiandaa kupambana na Godfrey Silve mpambano utakaofanyika oktoba 25 katika ukumbi wa frends corner manzese Dar es salaa 
 ambaye ni msimamizi wa gym ya garden iliyopo kigogo mburahati walipokuwa wanafanyika mazoezi jana Picha na
SUPER D BLOG

Kocha Mohamed Mbadembade kushoto akiwaelekeza mabondia godfrey Mbwalu kulia, Ibrahimu Class 'King Class Mawe' Shomari Malundi na Fadhili Boika baada ya kumaliza mazoezi katika ukumbi wa Garden Kigogo Mburahati Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
MABONDIA WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA BAADA YA KUMALIZA MAZOEZI YAO KATIKA UKUMBI WA GARDEN KIGOGO MBURAHATI DAR ES SALAAM

Friday, October 17, 2014

BONDIA SAID MBELWA AMCHIMBIA MKWALA GEORGE DIMOSO MPAMBANO WA OCTOBER 25 FRIENDS CORNER MANZESE


 

 


BONDIA Said Mbelwa  mwenye rekodi ya kushinda 27,kupigwa 16  na drawn 4  ambapo ana jumla ya mapambano  48  aliyocheza ameapa kumchakaza mpinzani wake george Dimoso mwenye rekodi ya kushinda mapambano 11 kupigwa ,10 , drawn 2  na jumla ya michezo aliocheza ni  23 

siku ya

October 25 katika ukumbi wa friends Corner manzese jijini Dar es salaam 

 

akizungumzia mpambano huo Mbelwa ambaye alikuwa kimya kidogo mda mrefu kutokana na kufungiwa baada ya kumpiga bondia Kalama Nyilawila kwa kupiga mateke wakati wa mpambano wao uliofanyika uliofanyika may 24

unajua kipindi chote nilichokuwa nje ya uringo nilikuwa nafanya mazoezi ya nguvu hivi sasa nipo fiti sana hivyo namtahazalisha Dimoso kuwa nayeye afanye mazoezi ya kutosha vinginevyo siku hiyo ataondoka uringoni ajitambui

 

nae mratibu wa mpambano huo kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D'


amesema kuwa siku hiyo kutakuwa na mapambano 

mengine kati ya Amani Bariki 'Manny Chuga' na Ally Bugingo mpambano unaosubiliwa kwa hamu kila kona ya jiji la Dar es salaam ambapo mabondia hawo wamejizolea umaarufu mkubwa kupitia mchezo huo


pambano jingine ni kati ya Juma Fundi atakaezichapa na Hamza Mchanjo wakati Hassani Mandula ataonyeshana kazi na Mohamedi Jaka na Shabani Kaoneka atazipiga na Ibrahimu Maokola anaejiandaa kuwania kucheza ubingwa wa taifa mwishoni mwa mwaka huu Fadhili Boika atazipiga na Godfrey Silver  na Habibu Pengo atazidunda na Abdallah Luanje, Kashinde Mohamedi atazidunda na Mohamed Kibaga wakati Sadiki Nuru atakumbana na Mohamed Mbishi


katika mpambano huo siku hiyo kutakuwa na ulinzi wa kutosha kabisa kutokana na kujipanga vizuri katika swala hilo  kingilio ni shilingi, 5000; kwa kila mtu mchezo huu utapambwa na burudani mbalimbali 



siku hiyo pia kutakuwa zikiuzwa DVD mpya za masumbwi ambazo zinaonesha mafunzo mbalimbali ya mchezo wa ngumi yanavyoanza hatua kwa hatua

mpaka kujua kitu kamili katika


mchezo huo pia kunakuwa na mapambano ya mabondia mabigwa wa dunia wa mchezo huo kama Floyd

Maywether, Manny Paquaio,mike Tyson, Mohamed Alli pamoja na mabambano ya ngumi ya ndani

Thursday, October 16, 2014

Tuesday, October 14, 2014

NGUMI ZILIVYOPIGWA TANDIKA

Bondia Azizi Rashid kushoto akipambana na Azizi Abdallah wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa musoma bar tandika maguruwe Abdallah alishinda kwa point mpambano uho picha na SUPER D BLOG
Bondia Hassan Rajabu kushoto akipambana na Said Wigo wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa musoma bar tandika maguruwe mpambano huo ulisha kwa droo picha na SUPER D BLOG
Bondia Amani Bariki kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Ally Mustafa wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa musoma bar tandika maguruwe Bariki alishinda kwa point mpambano huo uliokuwa wa raundi nane Picha na  SUPER D BLOG
Bondia Amani Bariki kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Ally Mustafa wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa musoma bar tandika maguruwe Bariki alishinda kwa point mpambano huo uliokuwa wa raundi nane Picha na  SUPER D BLOG
Bondia Shomari Mirundi
Bondia Ibrahimu Class ' King Class Mawe' akimpaka mafuta  bondia Shomari Mirundi kwa ajili ya mpambano wake na Suma Ninja uliokuwa ufanyike siku ya Nyerere Day ambapo bondia Ninja amekimbia kipigo hicho kwa kuingia mitini
Bondia Ibrahimu Class ' King Class Mawe' akimfunga glove bondia Shomari Mirundi kwa ajili ya mpambano wake na Suma Ninja uliokuwa ufanyike siku ya Nyerere Day ambapo bondia Ninja amekimbia kipigo hicho kwa kuingia mitini

NGUMI KUPIGWA MANYARA PARK MANZESE TAREHE 9/11/2014

MPAMBANO WA NGUMI ULIO ANDALIWA NA NDAME BOXING GYM YA MANZESE
DVD MPYA YA MASUMBWI YALIYOFANYIKA OKTOBA 5 KATIKA UWANJA WA MKWAKWANI TANGA KATI YA MABONDIA ALLEN KAMOTE VS ESGOOG KAYUNI WA MALAWI, THOMAS MASHALI VS ALIBABA RAMADHANI, FRANSIC MIYEYUSHO VS EMILIO NORFAT
DVD YA MAMONDIA WA TANZANIA WANAVYOCHEZA WAKIWA NJE YA NCHI
TANGAZO LA MCHEZO WA MASUMBWI

Monday, October 13, 2014

NGUMI KUPIGWA SIKU YA NYERERE DAY MUSOMA BAR TANDIKA MAGULUWE

Bondia Suma Ninja akitunishiana misuli na Shomali Mirundi baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika katika ukumbi wa Musoma Bar Tandika Maguluwe siku ya Nyerere Day Picha na SUPER D
Bondia Azizi Abdalla akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake utakaofanyika siku ya nyerere Day Oktoba 14 katika ukumbi wa musoma bar tandika maguluwe kulia ni mpinzani wake Azizi Rashid Picha na SUPER D
Bondia Imani Daudi 'Imana Mapambano' kushoto akitunishiana misuli na Ally Sufiani baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika siku ya Nyerere Day katika ukumbi wa Musoma Bar Tandika Maguluwe Picha na SUPER D BLOG
Bondia Suma Ninja akitunishiana misuli na Shomali Mirundi baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika katika ukumbi wa Musoma Bar Tandika Maguluwe siku ya Nyerere Day Picha na SUPER D
Mabondia Azizi Abdalla na Azizi Rashid wakitunishiana misuli baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika siku ya Nyerere Day katika ukumbi wa musoma bar tandika maguluwe Picha na SUPER D BLOG
Bondia Imani Daudi 'Imana Mapambano' kushoto akitunishiana misuli na Ally Sufiani baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika siku ya Nyerere Day katika ukumbi wa Musoma Bar Tandika Maguluwe katikati ni Rais wa TPBO Yassin Abdallah  Picha na SUPER D BLOG

Na Mwandishi Wetu

MABONDIA Imani Daudi 'Imani wa Mapambano' na Ally Sufiani wamepima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa raundi nane utakaofanyika katika ukumbi wa musoma bar tandika maguluwe

akizungumza na wahandishi wa habari wakati wa zoezi la upimaji uzito Promota Kelvin Mapunda amesema mbali na mpambano huo kutakuwa na mapambano mengine mbalimbali ambapo bondia Suma Ninja atavaana na Shomari Mirundi na Azizi Abdallah atapambana na Azizi Rashidi

ngumi hizo zilizopangwa kufanyika oktoba 14 siku ya kumbukumbu ya kufanyiki baba wa taifa zitakuwa chachu ya kufufua mchezo wa masumbwi katika kitongoji cha tandika na maeneo ya jirani


siku hiyo pia kutakuwa zikiuzwa DVD mpya za masumbwi ambazo zinaonesha mafunzo mbalimbali ya mchezo wa ngumi yanavyoanza hatua kwa hatua

mpaka kujua kitu kamili katika


mchezo huo pia kunakuwa na mapambano ya mabondia mabigwa wa dunia wa mchezo huo kama Floyd

Maywether, Manny Paquaio,mike Tyson, Mohamed Alli pamoja na mabambano ya ngumi ya ndani