Thursday, September 18, 2014
Wednesday, September 17, 2014
BONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' AOMBA SAPOTI YA KUANDALIWA MECHI YA KUTETEA MKANDA WAKE WA WPBF AFRICA

Na Mwandishi Wetu BONDIA Ibrahimu Class 'King Class Mawe' won 11 (KO 4)
+
lost 1 (KO 0)
+
drawn 0
=
12 anaeshikilia mkanda wa WPBF Africa katika uzito
wa light welterweight amejitokeza hadharani na kusema kwamba mchezo wa
ngumi nchini Tanzania aulipi kutokana na malipo yake ni madogo bondia
huyo aliyefanikuwa kuwa bingwa baada ya kumpiga Mwansa Kabinga
mpambano ulio fanyika june 8 mwaka huu huko Arthur Davies Stadium, Kitwe,
Zambia na kuibuka mshindi katika raundi ya tisa bondia huyo mwenye ndoto
ya kuwa bingwa wa dunia katika miaka ya hivi karibuni
| amesema
mabondia wa hapa nchini bado awajajielewa kutokana na kuto kuwepo na
wafadhili wa kutosha katika mchezo wa masumbwi ila ufadhili mwingi
unapelekwa katika mambo ya soka uku wakiuwacha mchezo wa masumbwi auna
mwelekeo na sapoti yoyote bondia huyo alijitamba kwa kujinasibu kuwa
kwa hapa nchini akuna bondia ambaye anaweza kumbabaisha katika kipindi
hiki kwani yeye kwa sasa yupo matawi ya juu bondia huyo anaefanya
mazoezi katika kambi ya Ilala ananolewa na jopo la makocha likiongozwa
na Habibu Kinyogoli 'Masta' kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi
nchini Rajabu Mhamila 'Super D' ameomba watu mbalimbali kujitokeza kumsaidia ili atetee mkata wake wa WPBF Africa alioupata Zambia ili awadhilishie watu kuwa uwezo alionao ni mkubwa sana katika masumbwi kingine ni wadhamini wajitokeze kumpa sapoti kwani ana uwezo wa kuwatangazia biashara mbalimbali ukizingatia yeye ni bingwa na bado kijana mdogo mwenye nia ya kufika mbali katika mchezo wa masumbwi nchini |
Monday, September 15, 2014
DVD MPYA KUTOKA SUPER D BOXING COACH AND PROMOTION MAYEATHER VS MAIDANA 2
WBA/WBC welterweight champion Floyd Mayweather Jr (47-0, 27 KOs)
win by
win by
Pointi 115-112, 116-111, 116-111.
Marcos Maidana
(35-5, 31 KOs)
(35-5, 31 KOs)
SASA ZINAPATIKANA KWA WEPESI ZAIDI KUTOKA SUPER D BOXING COACH AND PROMOTION MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI KARIAKOO PIGA SIMU 0754/0787/0713-406938
DVD YA MABONDIA MOHAMED MATUMLA VS
NASSIBU RAMADHANI LILILOFANYIA DESEMBA 25/ 2013 SASA ZIPO MTAANI KUTOKA
SUPER D BOXING COACH AND PROMOTION MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA
MSIMBAZI KARIAKOO PIGA SIMU 0754/0787/0713-406938
DVD MPYA YA BONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' VS
| Mwansa Kabinga WA ZAMBIA |
|
LILILOFANYIKA
| Arthur Davies Stadium, Kitwe, Zambia NA |
Mashindano ya ngumi ya wavuvi Boxing Tournament 13/09/2014
Taarifa kwa vyombo vya habari
Yah:- Mashindano ya ngumi ya wavuvi Boxing Tournament 13/09/2014
Bagamoyo.
Shirikisho la ngumi Tanzania (BFT)
limeaandaa mashindano ya ngumi ya wavuvi Boxing TOUNAMENT yatakayoanza
kufanyika tarehe 13/09/2014 katika fukwe za Bagamoyo na baadaye
kuendelea katika fukwe mbalimbali.
Lengo la mashindano hayo ni
kuhamasisha jamii ya wavuvi na watu wanaowazunguka kujishughurisha na
masuala ya michezo na hasa mchezo wa ngumi baada ya shughuri zao za
uvuvi na kuwafanya kuondokana na vitendo viovu vinavyotokana na utumiaji
wa vilevi mbalimbali kupita kiasi na zaidi kuvumbua vipaji kutoka
katika jamii hiyo ikiwa pamoja na kuwapa burudani.
Katika utafiti uliofanywa na BFT
tumegunduwa kuwa katika jamii ya wavuvi wapo wengine wanaopenda michezo
hasa mchezo wa ngumi hii ni kutokana na asili ya kazi yao ya uvuvi ya
kutumia nguvu za mikono kwa ajili ya uvuvi na akili nyingi hivyo
tumeazimia kuanza kuwafikia kwa vitendo kwa kufanya mashindano katika
maeneo yao ili kuwahamasisha kijiingiza zaidi katika michezo.
Mashindano hayo yatakuwa
yanafanyika kila siku ya jumamosi kwa fukwe mbalimbali za bahari ya
hindi na baadaye kuhamia katika fukwe za maziwa makuu.
Mashindano haya yamedhaminiwa na kampuni ya Sam & Anzai Boat Builder C.,Ltd kwa kushirikiana na C&G
Makore Mashaga
Katibu mkuu.
DVD MPYA KUTOKA SUPER D BOXING COACH AND PROMOTION MAYEATHER VS MAIDANA 2
WBA/WBC welterweight champion Floyd Mayweather Jr (47-0, 27 KOs)
win by
win by
Pointi 115-112, 116-111, 116-111.
Marcos Maidana
(35-5, 31 KOs)
(35-5, 31 KOs)
SASA ZINAPATIKANA KWA WEPESI ZAIDI KUTOKA SUPER D BOXING COACH AND PROMOTION MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI KARIAKOO PIGA SIMU 0754/0787/0713-406938
DVD YA MABONDIA MOHAMED MATUMLA VS
NASSIBU RAMADHANI LILILOFANYIA DESEMBA 25/ 2013 SASA ZIPO MTAANI KUTOKA
SUPER D BOXING COACH AND PROMOTION MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA
MSIMBAZI KARIAKOO PIGA SIMU 0754/0787/0713-406938
DVD MPYA YA BONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' VS
| Mwansa Kabinga WA ZAMBIA |
|
LILILOFANYIKA
| Arthur Davies Stadium, Kitwe, Zambia NA |
TASWIRA ZA MAPAMBANO MAWILI YA NGUMI MKOANI KILIMANJARO
| Mapambano ya utangulizi yakaanza . |
| Mgeni rasmi katika mapambano mawili ya ngumi ya kimataifa ,mkuu wa wilaya ya Hai ,Novatus Makunga akizungumza wakati wa mapambano hayo kati ya Bondia Said Yazidu(Tanzania) na Djamel Dahou(Aljeria) . |
| Muandaaji wa Pambano hilo,Andrew George akionesha mkanda wa Ubingwa wa Afrika ulikuwa ukigombewa na Bondia Alibaba Ramadhan(Tanzania) na Aleck Mwenda(Malawi). |
| Mgeni rasmi ,Novatus Makunga akonesha mkanda huo kwa mashabiki. |
| Pambano likaanza kati ya Bondia,Alibaba(Mwenye Bukta nyekundu) na Aleck Mwenda(Mwenye Bukta nyeusi) |
| Alibaba akajaribu kupiga ngumi kadri alivyoweza. |
| Aleck Mwenda pia akajibu mapigo ingawaje yake yalionekana makali zaidi. |
| Bondia Mwenda alikuwa mzuri sana katika kujikinga. |
| Mwenda akamsukumia Alibaba ngumi za kutosha. |
| Alibaba akaenda chini mara kadhaa lakini alinyanyuka. |
| Round 10 zikamalizika uamuzi wa majaji ukingojewa. huku dalili zikionesha dhahiri ,Aleck Mwenda atakuwa ameshinda. |
| Akiwa amebebwa na wamalawi wenzake na kushangilia ,hakuamini alichosikia masikioni mwake baada ya mshindi kutangazwa Alibaba. |
| Furaha ikahamia kwa Alibaba. |
| Mashabiki wakaingia ulingoni kwa Bondia na Chupa za Bia. |
| Kamanda wa Polisi wa wilaya OCD, Deodatus Kasindo akamkabidhi mkanda Alibaba. |
| Alibaba akifurahia mkanda wake wa Kwanza baada ya kutangazwa Bingwa wa Ngumi Afrika. |
| Furaha ya Ushindi. |
| Likafuatia Pambano la Ubingwa wa Dunia Kati ya Bondia ,Djamel Dahou(Aljeria) na Said Yazidu . |
| Bondia Said Yazidu wa Tanzania akapanda ulingoni. |
| Mpambano ukaanza. |
| Kila mmoja akamvizia mwenzake. |
| Bondia Yazidu akapigwa vitasa kadhaa. |
| Akakaaa kwa mara ya kwanza. |
| Akasimama kisha akajitutumua ,akapigwa kitasa tena , |
| Akakaa kwa mara nyingine. |
| Akasimama tena akachezea ngumi za kutosha . |
| Zikampeleka chini kwa mara ya tatu. |
| Akanyanyuka kwa Mbinde . |
| Ikashindikana na Bondia ,Dahou akashinda kwa KO ndani ya dakika 2 na sekunde 7 katika round ya kwanza. |
| Dahou akatangazwa Bingwa. |
| Mgeni rasmi ,mkuu wa wilaya ya Hai,Makunga akamkabidhi mkanda ,Bondia Dahou. |
Na Dixon Busagaga wa Globu ya jamii
kanda ya kaskazini.
Saturday, September 13, 2014
NGUMI ZILIVYOPIGWA MOSHI SIKU YA IJUMAA
| Bondia Elick Mwenda kushoto wa Malawi akikwepa ngumi wakati wa mpambano wake na bondia Allybaba Ramadhani uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Allybaba alishinda kwa pointi mpambano huo Picha na SUPERD BLOG |
| Bondia Raymond Mbwago kushoto akipambana na Iddi Pialali wakati wa mpambano wao uliofanyika Moshi katika ukumbi wa YMCA Hall Pialali alishinda kwa K,O ya raundi ya Nne picha na SUPERD BLOG |
Allybaba Ramadhani
Bondia Raymond Mbwago kushoto akipambana na Iddi Pialali
wakati wa mpambano wao uliofanyika Moshi katika ukumbi wa YMCA Hall
Pialali alishinda kwa K,O ya raundi ya Nne picha na SUPERD BLOG
Bondia Shomari Milundi kushoto akipambana na Saimoni Zabron wakati wa mpambano wao uliofanyika Moshi mpambano huo walitoka Droo ya kufungana point picha na SUPERD BLOG
Shomari Milundi kushoto na Simon Zablon wakinyooshwa mikono juu na refarii Pembe Ndava kuashiria Doroo picha na SUPERD BLOG
Bondia Said Yazidu kushoto akipigwa ngumi na Djamal Dahou wa Algelia Dahou alishinda kwa K,O ya raundi ya kwanza ya mpambano huo picha na SUPERD BLOG
Bondia Djamal Dahou wa Algelia akipambana na
Said YaziduDahou alishinda kwa K,O ya raundi ya kwanza
picha na SUPERD BLOG
Said YaziduDahou alishinda kwa K,O ya raundi ya kwanza
picha na SUPERD BLOG
Subscribe to:
Posts (Atom)



