WAKATI
homa ya pambano la ubingwa wa dunia wa WBF kati ya mabondia, Mohamed
Matumla na Wang Xin Hua wa China ikipamba moto, wadhamini wa pambano
hilo wametoa nafasi kwa mashabiki wa ndondi kubahatisha 'kubeti'
mshindi.

Pambano
hilo la raundi 12 la uzani wa Bantam limepangwa kufanyika Machi 27
kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam na kushuhudiwa pia
na bingwa wa zamani wa dunia wa uzani wa juu, Francois Botha ambaye
atakuwa mgeni rasmi.
Promota
wa pambano hilo, Jay Msangi alisema kuwa maandalizi yote yamekamilika
na pambano litasimamiwa na Shirikisho la ngumi la dunia la WBF ambaye
rais wake atawasili nchini Machi 21.
Akizungumza
jijini jana, Meneja Masoko wa Casino za Iplay 8, Le Grande na Palm
beach, Ezekiel Lyal alisema wameamua kutoa nafasi ya bahati nasibu ya
kushinda fedha'Kubeti' kwa mashabiki wa ndondi kwenye pambano hilo.
"Shabiki anachotakiwa ni kuingia kwenye tovuti ya www.iplay8casino.com
ambapo kama ni mara ya kwanza atajisajili kwa kufuata maelekezo ambapo
ni bure na atafungua akaunti ambapo ataanza kubeti na anaweza kufanya
hivyo kwa wakala yoyote wa mtandao wa simu au benki na anaweza kuweka
kiasi chochote cha fedha kuanzia elfu moja na kuendelea," alisema Lyal.
Mbali
na pambano la Matumla, siku hiyo pia mabondia wenye upinzani, Mada
Maugo na Japhet Kaseba na Karama Nyilawila na Thomas Mashali watazichapa
mapambano ya kumaliza ubishi nani mkali kati yao huku bondia wa uzito
wa juu kutoka Zanzibar akizichapa na bondia kutoka Marekani.
"Maandalizi
yote yamekamilika na kuanzia wiki ijayo mabondia kutoka nje ya nchi na
viongozi wa WBF sambamba na Botha wataanza kuwasili kwani tayari tiketi
zao zimekamilika," alisema Msangi.
Mshindi wa pambano hilo, atashuhudia pambano la wakali hawa, Manny Pacquiao (kushoto) na Floyd Mayweather.
Saturday, March 14, 2015
NGUMI KUPIGWA MARCH 15 UWANJA WA NDANI WEA TAIFA
Mabondia Mada Maugo kushoto na Kalama Nyilawila
wakikunjana baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa jumapili
katika uwanja wa ndani wa taifa Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Mabondia Mada Maugo kushoto na Kalama Nyilawila wakikunjana baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa jumapili katika uwanja wa ndani wa taifa Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Thomas Mashali akipima uzito
Bondia Japhert Kaseba akipima uzito kulia ni mpinzani wake Said Mbelwa akishudia kwa ajili ya mpambano wao wa jumapili ya march 15 katika uwanja wa ndani wa taifa Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Said Mbelwa akipima uzito kulia ni mpinzani wake Japhert Kaseba akishudia kwa ajili ya mpambano wao wa jumapili ya march 15 katika uwanja wa ndani wa taifa Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Mabondia Said Mbelwa na Japhert Kaseba wakitunishiana misuli baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa jumapili ya march 15 katika uwanja wa ndani wa taifa Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
| Bondia Abdallah Pazi Akipima uzito |
Na Mwandishi Wetu
MABONDIA Mada Maugo na Kalama Nyilawila nusula wazipige kavu kavu wakati wa upimaji wa uzito kwa ajili ya mpambano wao wa kesho jumapili mpambano utakaofanyika uwanja wa ndani wa Taifa wakati wa upimaji uzito
Maugo alienda kumtambia Kalama na kumpiga kibao pamoja na teke kali sana lililompiga Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' wakati akiamulizia ugomvi uho hapo ndipo lilipozuka songombingo kali kwa mashabiki wa kambi zote mbili wakitaka kuzipiga kavu kavu uku maugo akiwa ameshapanda moli wa kupigana nje ya uringo
mpambano uho ambao utakuwa na michezo mingine ya kumaliza ubishi ni kati ya Thomas Mashali atakaemkabili Abdallah Pazi na Japhert Kaseba atapambana na Saidi Mbelwa mipambano hiyo yote yatafanyika siku ya jumapili march 15 katika uwanja wa ndani wa taifa
ambapo baadhi ya mashabiki wameomba baadhi ya daladala zinazofanya kazi usiku kwenda kuwa chukuwa pindi wamalizapo kuangalia mapambano hayo yaliyo na ushindani wa kweli
“Ninatarajia kuwepo kwa ajili ya kuwauzia DVD mashabiki wa ngumi watakaokuwepo katika Mpambano ili kuweza kujifunza mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja na sheria za mchezo wa ngumi”, alisema Super D . -- Super D Boxing Coach Email.superdboxingcoach@gmail.com www.burudan.blogspot.com www.superdboxingcoach.blogspot.com
Mob;+255787 406938
+255774406938
Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

siku hiyo kutakuwa na uzwaji wa DVD za ngumi mabingwa wa Dunia akiwemo Manny Paquaio, Floyd Maywether,
Roy Jones,Miguel Cotto,Linox Lewis, David Haye,Mohamed Ali
na wengine wengi DVD hizo zilizoandaliwa kwa ubora wa hali ya
juu zitakuwa zikiuzwa kwenye mpambano huo na Kocha wa Kimataifa wa mchezo huo. Rajabu Mhamila ‘Super
D’, alisema kuwa kutakuwa na DVD ili kuweza kuwauzia mashabiki kwa
ajili ya kujifunza Kanuni na Sheria za mchezo huo.
“Ninatarajia kuwepo kwa ajili ya kuwauzia DVD mashabiki wa ngumi watakaokuwepo katika Mpambano ili kuweza kujifunza mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja na sheria za mchezo wa ngumi”, alisema Super D . -- Super D Boxing Coach Email.superdboxingcoach@gmail.com www.burudan.blogspot.com www.superdboxingcoach.blogspot.com
Mob;+255787 406938
+255774406938
Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania
Thursday, March 12, 2015
BONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' ANYAKUWA UBINGWA WA U.B.O AFRICA KWA KUMTWANGA COSMAS CHEKA
| Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Cosmas Cheka wakati wa kugombea ubingwa wa U.B.O Africa mpambano uliofanyika jumamosi ya jana Class alinyakuwa ubingwa huo kwa kushinda kwa Point na sasa Class anashikilia mikanda miwili ya ubingwa wa Africa W.P.B.F na U.B.O Africa Picha na SUPER D BOXING NEWS |
| Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' askiwa na mikanda yake ya ubingwa wa Africa wa U.B.O na WPBF |
Bondia Fadhili Majiha kushoto
akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Fransic Miyeyusho wakati wa
mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Majiha alishinda
mpambano huo kwa point Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Cosmas Cheka akipambana na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa mpambano wao wa ubingwa wa U.B.O AFRICA
IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' NA VICENT MBILINYI WALIVYOKONGA MOYO WA KOCHA WAO SUPER D
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe'
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D'
kulia akiwa na Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' na Promota Jay
Msangi 'Jiwe Gumu' kushoto baada ya bondia huyo kutwaa mkanda wa U.B.O
Africa baada ya kumdunda Cosmas Cheka
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe'
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi akiwa na bondia Vicent Mbilinya wakati wa mpambano wake na Epson JohnBondia Vicent Mbilinyi kushoto akipambana na Epson John mpambano uliomalizika kwa sale
Bondia Vicent Mbilinyi kushoto akipambana na Epson John mpambano uliomalizika kwa sale
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe
![]() |
| Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe |
MAYWEATHER NA PAQUAIO WAKUTANISHWA KWA MARA YA KWANZA
LAS VEGAS, Marekani
TIKETI ya bei ya chini katika pambano la ngumi za
kulipwa kati ya Floyd Mayweather pamoja na Manny Pacquiao zinapatikana kwa
pauni 1,000 (sh mil 2.7.
Mabondia hao wanatarajia kupanda ulingoni Mei 2
mwaka huu katika Ukumbi wa GMG Las Vegas katika pambano linalosubiriwa kwa hamu
na mashabiki na wapenzi wengi wa mchezo huo ulimwenguni.
Katika pambano hilo tiketi za kuzunguka katika
ulingo zinatarajiwa kuuzwa kwa pauni 5,000 kwa tiketi sawa na sh. Milioni 13.5.
Pambano hilo ndilo linatarajiwa kuwa la ghali na la
historia zaidi kuliko mapambano yoye yaliyopita.
Juzi mabondia hao walikutana kwa mara ya kwanza kwa
ajili ya kuzungumza na waandishi wa Habari juu ya pambano hilo.
Pacquiao alisema kuwa anashukuru Mungu kutokana na
kufikia mpaka siku hiyo, ambapo anatarajia kuwapa raha mashabiki wake ambayo
walikuwa wanaisubiri kwa kipindi cha miaka mitano sasa.
Mayweather alisema kuwa pambano hilo linatarajiwa
kuwa la kipekee na ndio pambano bora zaidi kwake tofauti na mapambano 47
aliyowahi kucheza ambapo hana historia ya kupoteza hata moja.
KOCHA SUPER D AMZAWADIA BONDIA 'KING CLASS MAWE' VIFAA VYA MASUMBWI
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa
masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kulia akimkabidhi vifaa vya
mchezo wa masumbwi bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' baada ya
kumdunda bondia Cosmas Cheka na kunyakuwa ubingwa wa U.B.O Africa Class
kwa sasa anamiliki mikanda miwili ya Africa ukiwemo wa WPBF na U.B.O
Africa Picha na SUPER D BOXING NEWS
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu
Mhamila 'Super D' kulia akimkabidhi vifaa vya mchezo wa masumbwi bondia
Ibrahimu Class 'King Class Mawe' baada ya kumdunda bondia Cosmas Cheka
na kunyakuwa ubingwa wa U.B.O Africa Class kwa sasa anamiliki mikanda
miwili ya Africa ukiwemo wa WPBF na U.B.O Africa Picha na SUPER D BOXING NEWSKocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimkabidhi vifaa vya mchezo wa masumbwi bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' baada ya kumdunda bondia Cosmas Cheka na kunyakuwa ubingwa wa U.B.O Africa Class kwa sasa anamiliki mikanda miwili ya Africa ukiwemo wa WPBF na U.B.O Africa Picha na SUPER D BOXING NEWS
Kocha wa Kimataifa wa
mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akiangalia
mkanda wa bingwa mpya wa U.B.O Africa Ibrahimu class 'King Class Mawe'
aliopata hivi karibuni baada ya kumdunda bondia Cosmas Cheka Picha na SUPER D BOXING NEWS
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa
masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akiangalia mkanda wa
bingwa mpya wa U.B.O Africa Ibrahimu class 'King Class Mawe' aliopata
hivi karibuni baada ya kumdunda bondia Cosmas Cheka Picha na SUPER D BOXING NEWS
Na Mwandishi Wetu
KOCHA wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' ametimiza ahadi yake ya kumzawadia bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' endapo atanyakua ubingwa wa U.B.O kwa kumtwanga bondia Cosmas Cheka kwa point
ahadi hiyo ameitekeleza jana baada ya bondia huyo kumfata katika GYM ya Super D iliyopo karikoo Shule ya Uhuru Dar es salaam na kumkabidhi vifaa vya mchezo wa masumbwi
akipokea vifaa hivyo bondia huyo ameaidi kuendelea na mazoezi ili afike juu zaidi kuliko ata mabondia waliotamba nchini bondia huyo anaemiliki mikanda miwili ya ubingwa wa Africa ikiwemo ya WPBF na U.B.O aliyouchukua hivi karibuni ametamba kumdunda bondia yoyote yule atakae jitokeza kutaka kutetea mikanda hiyo
nae kocha wa kimataifa wa mchezo uho Rajabu Mhamila 'Super D' ameseme kuwa kutoa ni moyo hivyo amewaomba wadau wengine kumpa sapoti ya aina mbalimbali kwa nguwa mchezo wa masumbwi auna wadhamini hivyo wadau wanatakiwa wachangie maendeleo ya mchezo wa masumbwi iwe kwa mtu mmojammoja au kampuni kwa ujumla
Super D ambaye ujishulisha na usambazaji wa vifaa mbalimbali vya masumbwi nchini amekuwa akiuza na kugawa msaada kwa vijana wanaochipukia kwa ajili ya kuhamasisha mchezo uho ambao umekosa wafadhili

Floyd Mayweather vs Manny Pacquiao
Floyd Mayweather vs Manny Pacquiao
Pambano la ngumi linalosubiriwa kwa hamu
Bingwa kulamba Euro mil 160
Pambano kupigwa Mei 2
LOS VEGAS, Marekani
MCHEZO wa ngumi ni kati ya michezo ambayo inapendwa
sana ulimwenguni kutokana na kuwa uhalisia
kwa kiasi kikubwa.
Ni mchezo wa hatari ambao umeshawapa vilema vya
baadhi ya viungo wachezaji wa mchezo huo kutokana na kutokuwa makini.
Kwa sasa pambano ambalo ndio limekuwa gumzo kwa mashabiki
wa ngumi ulimwenguni, ni kati ya Floyd Mayweather, Jr dhidi ya Manny Paquiao.
Pambano hilo na uzito wa middle linatarajiwa
kufanyika Mei 2 mwaka huu katika Ukumbi wa MGM Grand ndani ya Los Vegas.
Kwa kiasi kikubwa mashabiki wa mchezo wa ngumi
wanalisubiria kwa hamu pambano hilo kutokana na rekodi zilizopo kati ya mabondia
hao.
Ukiangalia kwa upande wa Mayweather ameshapigana
mapambano 47 na kushinda yote na kati ya hayo 26 ameshinda kwa KO.
Kwa upande wa Paquiano, ameshacheza mapambano 64 na
kushinda 57, K) 38 ambapo amepoteza matano na kutoa sare mawili.
Katika pambano la mwaka huu, lilianza kuadaliwa
tangu mwezi Januari baada ya masupastaa hao kukutana kwenye mchezo wa mpira wa
kikapu Miami na kuamua kukaa pembeni kwa ajili ya kuongelea mpambano huo mkali.
Baadaye walikubaliana kwa kubalilishana namba za
simu ambapo pia baadaye ilifahamika kuwa wamefikia muafaka.
Pamoja na kuwa walifikia muafaka lakini awali
Mayweather hakuwa tayari kulizungumzia pambano hilo kutokana na kuamua kuweka
siri, lakini baadaye ilibainika kuwa wameshainishana na kupanga siku ya pambano
ambapo waliamua kuanza kuitangaza katika vyombo mbalimbali vya Habari.
Pambano hilo ambalo ndilo litakalokata ngebe za
mabondia hao linatarajiwa kuhudhuriwa na umati wa mashabiki ambapo mpaka sasa
tiketi zimeshaanza kuuzwa.
Pambano hilo limegubikwa na utata ambapo awali
walikuwa wazipige mabondia hao lakini pambano liliahirishwa baada ya Pacquiao
kukataa kupima matumizi ya madawa ya kuongeza nguvu.
Hata hivyo kwa sasa Pacquiao ametamka mwenyewe kuwa
anatarajia kumlipa faini ya pauni milioni 3.2 kwa Mayweather kama yeye
atashindwa kufaulu katika kipimo hicho safari hii.
Mkataba waliongia kati ya mabondia hao ni pamoja na
bingwa kuondoka na dau la Euro milioni 160.
Hata hivyo kwa sasa kumekuwa na tambo za hapa na
pale kwa mabondia hao kwa kila mtu kudai kuwa atafanya vizuri, lakini cha
msingi ni kusubiria Februari 2 kwa ajili kuona uhondo.
Subscribe to:
Posts (Atom)

+katika+pambanmo+lake+la+mwisho+dhidi+ya+Marcos+Maidana++mwezi+Septemba+mwaka+jana+las+vegas.jpg)