Tangazo

Pages

Wednesday, October 8, 2014

HAMZA MCHANJO AMKAMIA JUMA FUNDI KUMPIGA K,O MBAYA

Bondia Hamza Mchanjo akinolewa na kocha Saidi Chaku katika GYM ya Gongolamboto Dar es salaam jana Mchanjo anajiandaa na mpambano wake na Juma Fundi utakaofanyika Oktoba 25 katika ukumbi wa Frends Corne Manzese Picha na SUPER D BLOG

Bondia Hamza Mchanjo kushoto akizipiga na Hassan Hoza wakati wa mazoezi yao yaliyofanyika katika GYM ya Gongolamboto makaburi ya Kichina Dar es salaam Mchanjo anajianaa na mpambano wake na Juma Fundi utakaofanyika

October 25 katika ukumbi wa frends corner manzese Picha na SUPER D BLOG

RATIBA YA MABONDIA WATAKAOCHEZA SIKU HIYO YA TAREHE 25/7/2014

Sunday, October 5, 2014

NGUMI ZILIVYOPIGWA SIKUKUU YA IDI MKWAKWANI TANGA

Bondia Fransic Miyeyusho kushoto  akipangua konde la Emilio Norfat wakati wa mpambano wao uliofanyika wakati wa sikuku ya Idi katika uwanja wa mkwakwani Tanga Miyeyusho alishinda kwa point Picha na SUPERD BLOG
Bondia Fransic Miyeyusho akioneshwa kuwa ni mshindi baada ya kumdunda Emilio Norfat kwa point
nyimbo za taifa zikipigwa kabla ya mpambano
Bondia Osgood Kayuni wa Malawi akipambana na Allen Kamote wakati wa mpambano wao wa ubingwa wa Dunia wa UBO Kamote alibuka mshindi wa mpambano huo kwa point
Picha na SUPERD BLOG
Bondia Osgood Kayuni wa Malawi akimrushia konde  Allen Kamote wakati wa mpambano wao wa ubingwa wa Dunia wa UBO Kamote alibuka mshindi wa mpambano huo kwa point
Picha na SUPERD BLOG
Bondia Osgood Kayuni wa Malawi akipambana na Allen Kamote wakati wa mpambano wao wa ubingwa wa Dunia wa UBO Kamote alibuka mshindi wa mpambano huo kwa point
Picha na SUPERD BLOG
Bondia Jacob Maganga na Said Mundi wakioneshana umwamba wa kutupiana makonde mpaka mwisho wa mpambano matokeo ni droo Picha na SUPERD BLOG
Bondia Thomas Mashali akioneshana umwamba na Allibaba Ramadhani wakati wa mpambano wao uliofanyika katika uwanja wa mkwakwani Tanga siku ya sikukuu ya Iddi Mashali alishinda kwa T.K.O ya raundi ya tatu Picha na SUPERD BLOG

Bondia Alibaba Ranmadhani akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Thomasi mashali wakati wa mpambano wao uliofanyika siku ya sikukuu ya Idi katika uwanja wa mkwakwani Tanga Mashali alishinda kwa T.K.O ya raundi ya tatuPicha na SUPERD BLOG

Friday, October 3, 2014

MABONDIA KUZIPIGA JUMAPILI UWANJA WA MKWAKWANI TANGA

Bondia Francis Miyeyusho kushoto akitunishiana misuli naEmilio Norfat ambao watazipiga kesho jumapili

October

5 katika uwanja wa Mkwakwani Tanga mpambano wa raundi nane  Picha na www.superdboxingcoach,blogspot.com
 MABONDIA mbalimbali kuzipiga siku ya jumapili kwa ajili ya mpambano wa ubingwa ambapo bondia kutoka mkoa wa Tanga Tanzania Alen Kamote 'Rasta'' atazipiga na Osgood Kayuni wa Malawi kugombania ubingwa wa Dunia wa UBO kg 61 hiyo ndio siku ya kufurahia wakazi wa tanga mpamano huo pia uatasindikizwa na mapambano mengine

ambapo bondia wa Dar es salaam Thomas Mashali atavaana na bondia kutoka Moshi Allibaba Ramadhani kugombania ubingwa wa Africa wa UBO kg 72 pia siku hiyo kutakuwa na mpambano mwingine  mkali kati ya bondia namba moja kwa ubora katika uzito wake featherweight  Fransic Miyayusho atakaezipiga na Emilio Norfat ambaye nae ni namba mbili katika uzito huo

mipambano hiyo iliyoandaliwa jijini Tanga na promota mkongwe nchini Ally Mwazoa ambaye kwa hivi sasa analeta burudani ya masumbwi nchini kupitia Mwanzoa Promotion

siku hiyo pia kutakuwa zikiuzwa DVD mpya za masumbwi ambazo zinaonesha mafunzo mbalimbali ya mchezo wa ngumi yanavyoanza hatua kwa hatua

mpaka kujua kitu kamili katika

mchezo huo pia kunakuwa na mapambano ya mabondia mabigwa wa dunia wa mchezo huo kama Floyd

Maywether, Manny Paquaio,mike Tyson, Mohamed Alli pamoja na mabambano ya ngumi ya ndani

DVD MPYA KUTOKA SUPER D BOXING COACH AND PROMOTION

DVD MPYA KUTOKA KWA SUPER D BOXING COACH AND PROMOTION AMBAZO ZIPO HEWANI KWA SASA ZAIDI FIKA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI KARIAKOO PIGA SIMU 0713406938

USIKUBALI KUPITWA KUPATA NAKARA YAKO YA DVD HIZI MPYA ZA NGUMI SASA ZINAPATIKANA SUPER D BOXING COACH AND PROMOTION UHURU NA MSIMBAZI KARIAKOO PIGA SIMU 0787 406938 AU 0713 406938 UPATE NAKALA YAKO YA DVD MPYA

Thursday, October 2, 2014

Wednesday, October 1, 2014

KOCHA SAID CHAKU AMNOA AZIZI RASHIDI KWA AJILI YA MPAMBANO WAKE NA AZIZI ABDALLAH SIKU YA NYERERE DAY

Kocha wa mchezo wa masumbwi nchini Said Chaku kulia akimwelekeza jinsi ya kupiga makonde bondia Azizi Rashidi anayejitaalisha kwa ajili ya mpambano wake na Azizi Abdallah mpambano utakaofanyika siku ya sikukuu ya Nyerere Day katika ukumbi wa musoma bar tandika Picha na SUPER D BLOG
Kocha  wa mchezo wa ngumi Said  chaku kulia akiwaelekeza mabondia wa Gongolamboto jinsi ya kufanya mazoezi ya kukaza misuli ya tumbo jana wakati wa mazoezi ya klab hiyo jana Picha na SUPER D BLOG

Kocha wa mchezo wa masumbwi nchini Said Chaku kulia akimwelekeza jinsi ya kupiga makonde mazito bondia Azizi Rashidi anayejitaalisha kwa ajili ya mpambano wake na Azizi Abdallah mpambano utakaofanyika siku ya sikukuu ya Nyerere Day katika ukumbi wa musoma bar tandika Picha na SUPER D BLOG

Kocha  wa mchezo wa ngumi Said  chaku kulia akiwaelekeza bondia Mussa Mgosi  wa klab ya  Gongolamboto jinsi ya kufanya mazoezi ya kukaza misuli ya tumbo jana wakati wa mazoezi ya klab hiyo jana Picha na SUPER D BLOG