Tangazo

Pages

Thursday, February 20, 2014

MABONDIA WA TIMU YA TAIFA WATAJWA BILA WAKONGWE

SHIRIKISHO la mchezo wa ngumi za ridhaa limetaja majina ya mabondia KUMI na SABA watakaounda kikosi cha timu ya taifa cha ngumi za ridhaa.

Msemaji wa shirikisho la mchezo, SALUM VIDUKA katika majina hayo hakuna mabondia wakongwe .
Baadhi ya mabondia wakongwe ambao hawakuitwa ni SELEMAN KIDUNDA, EMILIAN PATRICK, GERVAS ROGASIAN ambaye aling`ara katika tuzo za ngumi za ridhaa za mwaka huu na JOSEPH MARTIN.

Mabondia hao hawakuitwa katika kikosi hicho kutokana na kutoshiriki kwenye mashindano ya kitaifa ya kumuezi hayati NELSON MANDELA.

Tuesday, February 18, 2014

NGUMI KUAMIA KISARAWE APRIL 26

Bondia Mbaruku Heri kushoto akimkabidhi barua ya maombi ya kuhamasisha mchezo wa masumbwi katika Wilaya ya Kisarawe Mwenyekiti wa halimashauri ya Wilaya ya Kisarawe, Adam Ng'imba
ambapo imepagwa April 26 kutakuwa na ngumi za wazi kwa ajili ya kuhamasisha mchezo huo uliopotea wilayani humo wengine wa pili kushoto ni Masudi Bakari na Saidi Chaku picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Mwenyekiti wa halimashauri ya Wilaya ya Kisarawe, Adam Ng'imba kushoto akitaniana na Masudi Bakari mara baada ya kuletewa barua kwa ajili ya kuhamasisha mchezo wa ngumi Wilayani humo Jana ambapo imepagwa April 26 kutakuwa na ngumi za wazi kwa ajili ya kuhamasisha mchezo huo uliopotea wilayani humo picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Mwenyekiti wa halimashauri ya Wilaya ya Kisarawe, Adam Ng'imba
Bondia Mbaruku Heri kushoto akimvisha gloves Mwenyekiti wa halimashauri ya Wilaya ya Kisarawe, Adam Ng'imba wengine kulia ni Masudi Bakari na Said Chaku
mara baada ya kuletewa barua kwa ajili ya kuhamasisha mchezo wa ngumi Wilayani humo Jana ambapo imepagwa April 26 kutakuwa na ngumi za wazi kwa ajili ya kuhamasisha mchezo huo uliopotea wilayani humo picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Na Mwandishi Wetu

MWENYEKITI  wa halimashauri ya Wilaya ya Kisarawe, Adam Ng'imba amepokea maombi ya kuhamasishwa mchezo wa masumbwi katika halimashahuri hiyo baada ya mchezo huo kufutuka kwa kipindi hiki

Maombi hayo yaliyopelekwa na kamati ya kufufua mchezo wa masumbwi Kisarawe ikiongozwa na Bondia Mbaruku heri, Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa ngumi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' pamoja na wadau wengine wa masumbwi nchini Saidi Chaku na Masudi Bakari ambao wamepereka barua hiyo kwa ajili ya kurudisha hamasa ya mchezo wa masumbwi

akizungumza mara baada ya kusoma maombi yaliyopo katika barua hiyo alijibu kwa kusema nimepokea kwa moyo mmoja maombi haya na ngumi zitapigwa kama zamani nakumbuka mabondia wengi akiwemo Habibu Kinyogoli 'Masta' ametokea hukuhuku Kisarawe na mkumbuke kuwa bondia wa ngumi za ridhaa anaetamba kwa sasa na aliyetuwakilisha katika mashindano ya Olimpic yaliyomalizika hivi karibuni Selemani Kidunda naye anatoka hapa hapa katika wilaya ya Kisarawe hivyo tunaweza  kuhakikisha ngumi zinarudia enzi zake

na naku aididi ngumi hizi zitapigwa katika viwanja vya wazi ili kila mtu ashudie mchezo wa ngumi unavyorudi upya katika wilaya hii naomba wapenzi mashabiki wa mchezo wa masumbwi wakae mkao wa kula siku ya April 26 ngumi zitapigwa katika uwanja wa bomani ili kila mtu ajionee mwenyewe

aliongeza kwa kusema ataendelea kutafuta wafadhili ili walete hamasa ya mchezo wa ngumi katika wilaya hiyo ambayo imejinyakulia umaarufu mkubwa mpaka sasa kupitia mchezo wa ngumi nita akikisha tunanunua vifaa vya mchezo ili vijana wapate kuendelea kushiriki mazoezi na atimae waje kurudia enzi za Kinyogoli

nae mkuu wa msafara wa kuhamasisha mchezo wa ngumi katika wilaya  hiyo, Mbaruku Heri amesema atakikisha siku hiyo analeta vijana wengi wakali wanaotamba katika ulimwengu wa masumbwi kwa sasa kama vile Ibrahimu Class 'King Class Mawe',Hamza Mchanjo,Thobias Adaut, Husein Pendeza,Said Uwezo,Adamu Ngange,Ambokile Chusa,Georgr Dimoso,Twalibu Mchanjo na wengine wengi wanaofanya vizuri katika ulimwengu wa masumbwi kwa sasa   


Sunday, February 16, 2014

BONDIA TWALIBU MCHANJO AMSAMBALATISHA ELIYA NGOZI KWA POINT

Bondia Twalibu Mchanjo kulia akimpiga mpinzani wake Eliya Ngozi, konde zito ambalo lilimpeleka mpaka sakafuni na kuhesabiwa hata hivyo alirudi uringoni kupambana Mchanjo alishinda kwa pooint picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Twalibu Mchanjo kulia akimpiga mpinzani wake Eliya Ngozi, konde wakati wa mpambano wao uliofanyika Chanika mwishoni mwa wiki iliyopita, Mchanjo alishinda kwa pooint picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Bondia Twalibu Mchanjo kulia akiamuliwa na refarii Saidi Chaku aende kona nyeupe ili aenderee kumuhesabia mpinzani wake Eliya Ngozi, baada ya kumtandika konde na kwenda sakafuni

Bondia Twalibu Mchanjo

Bondia Twalibu Mchanjo akinyooshwa mkono juu kuashilia ushindi wake
Bondia Lulu Kayage kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Fadhira Adam wakati wa mpambano wao uliofasnyika wakati wa sikukuu ya wapendanao katika ukumbi wa Mpo Afrika Tandika Dervis Corne Dar es salaa mpambano huo walitoka Droo PICHA NA www.superdboxingcoach.blogspot.com

Bondia Lulu Kayage kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Fadhira Adam wakati wa mpambano wao uliofasnyika wakati wa sikukuu ya wapendanao katika ukumbi wa Mpo Afrika Tandika Dervis Corne Dar es salaa mpambano huo walitoka Droo PICHA NA www.superdboxingcoach.blogspot.com

Mabondia Adam Yahaya kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Mohamed Kikolekwa wakati wa mpambano wao uliofanyika Chanika mwishoni mwa wiki iliyopita Yahaya alishinda kwa point picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Mabondia Mohamed Kikolekwa kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Adam Yahaya wakati wa mpambano wao uliofanyika Chanika kwa mama Rajabu mwishoni mwa wiki iliyopita Yahaya alishinda kwa point picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Bondia Fadhili Awadhi kushoto akipambana na Mfaume Jumanne wakati wa mpambano wao Awadhi alishinda kwa K,O ya raundi ya pili ya mpanmbano huo Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Bondia Fadhili Awadhi akiwa amemgalagaza chini Mfaume jumanne

Friday, February 14, 2014

KASEBA MASHALI WACHIMBIANA MKWALA

Bondia Japhert Kaseba kushoto na Thomas Mashali wakitunishiana misuli baada ya kutambiana mbele ya mashabiki kuhusu kuwepo kwa mpambano wao unaotafutiwa Promota kwa ajili ya kuandaa gem hiyo picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Tuesday, February 11, 2014

SUPER D AIPIGA TAFU GYM YA UHURU KARIAKOO VIFAA VYA NGUMI

Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini, Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akikabizi vifaa vya mchezo wa masumbwi Gloves pamoja na DVD za mafunzo ya mchezo kwa Kocha wa GYM ya Uhuru uwanja wa Basket, Kariakoo  Mohamed Chipota kwa ajili ya kuamasisha mchezo  wa masumbwi katika eneo ilo na kuwapa moyo wa kuendelea na mazoezi wanaoshudia wengine wa pili kushoto ni Atanasi kibwe,Omari Bai, Raymond Mbwago na Mussa Sindano Vifaa hivyo pamoja na Dvd vina thamani ya shilingi laki mbili picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini, Rajabu Mhamila 'Super D' katikati akiwa na baazi ya mabondia wanaofanya mazoezi katika
GYM ya Uhuru uwanja wa Basket, Kariakoo kutoka kushoto ni
Atanasi kibwe,Omari Bai, Raymond Mbwago ,
Mussa Sindano Vifaa na kocha wa GYM hiyo
Mohamed Chipota
picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com


Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini, Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akikabizi vifaa vya mchezo wa masumbwi Gloves pamoja na DVD za mafunzo ya mchezo kwa Kocha wa GYM ya Uhuru uwanja wa Basket, Kariakoo  Mohamed Chipota kwa ajili ya kuamasisha mchezo  wa masumbwi katika eneo ilo na kuwapa moyo wa kuendelea na mazoezi wanaoshudia wengine wa pili kushoto ni Atanasi kibwe,Omari Bai, Raymond Mbwago na Mussa Sindano Vifaa hivyo pamoja na Dvd vina thamani ya shilingi laki mbili picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini, Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akiwa katika picha ya pamoja  na baadhi ya mabondia wanaofanya mazoezi katika
GYM ya Uhuru uwanja wa Basket, Kariakoo baada ya kuwakabizi vifaa vya mchezo huo kutoka kushoto ni
Atanasi kibwe,Raymond Mbwago,kocha wa GYM hiyo
Mohamed Chipota,Mussa Sindano na
Omari Bai,  ,
 Vifaa na
picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Na Mwandishi Wetu
KOCHA wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' ameipiga tafu 
GYM ya mchezo wa ngumi ya  Uhuru uwanja wa Basket, Kariakoo Dar es salaam kwa kuwapati vifaa vya mchezo huo

akizungumza mara baada ya kukabidhi vifaa hivyo Super D alisema amevutiwa na uanzishwaji wa GYM hiyo ambayo ina uwezo mkubwa wa kuwatoa mabondia wazuri kipindi kijacho

aliongeza kwa kusema kuwa unajua hizi GYM za mtaani zipo chache sana na wana uhaba wa vifaa vya kufundishia hivyo mimi nimeamua kujitolea gloves mikono mitatu kwa kuanzia ili  wapate moyo wa kuendelea na mazoezi pamoja na DVD za mafunzo mana ndio timu ambazo tunazitegemea kwa siku za usoni kutuletea mabondia wakali watakaoweza kutuletea medali na kutupa sifa nchi hii

Akizungumza mara baada ya kupokea vifaa hivyo  Kocha wa GYM ya Uhuru uwanja wa Basket, Kariakoo  Mohamed Chipota amesema vifaa hivi pamoja na DVD za mafunzo ya ngumi zimekuja wakati muhafaka kwa kuwa tulikuwa na huaba wa vifaa kama hivi

hivyo tunaomba wadau mbalimbali wajitokeze kutupa sapoti kama alivyofanya Super D yeye ni kocha wa Mkoa wa Kimichezo Ilala sasa hapa kama amewekeza mabondia wa ilala sasa watatokea hapa kwa siku za usoni

tumeanza hivi karibuni lakini mategemeo yangu ni kuibua vipaji vyipya kabisa vya mchezo wa masumbwi nchini alisema Chipota 

Super D ambaye ujihusisha na uhuzaji wa DVD za mafunzo ya ngumi pamoja na vifaa vya mchezo huo ikiwemo, Gloves,Gum shit, Clip bandeji dambel,Protecta,bukta, singrend na vifaa vyote vya mchezo wa masumbwi

Sunday, February 9, 2014

MASHINDANO YA NGUMI KATIKA GYM YA NDAME


Bondia Kassimu Gamboo kushoto akimtupia makonde bondia Omari Tambwe wakati wa mpambano wao uliofanyika katika GYM ya Ndame Manzese midizini Kilimahewa Dar es salaam Gamboo alishinda kwa K,O ya raundi ya kwanza katika mchezo huo Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Bondia Faraji Sayuni kushoto akipambana na Fredy Sayuni wakati wa mpambano wao uliofanyika katika GYM ya Ndame Manzese Midizini  Kilimahewa Dar es salaam Fredy alisjhishinda katika raundi ya pili picha na Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Bondia Haji Gamba kushoto akipambana na Julius Kisarawe wakati wa mpambano wao uliofanyika katika GYM ya Ndame Manzese Midizini  Kilimahewa Dar es salaam Kisarawe alisjhishinda katika raundi ya pili picha na Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Bondia Ibrahimu Tamba kushoto akipambana na Baraka Ali wakati wa mpambano wao uliofanyika katika GYM ya Ndame Manzese Midizini  Kilimahewa Dar es salaam Tamba alishishinda katika raundi ya pili picha na Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Saturday, February 8, 2014

SUPER D AJIVUNIA ZIARA YAKE YA MWAKA JANA


Na Mwandishi Wetu

Rajabu Mhamila Super D'
KOCHA wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila Super D' anajivunia mafanikio yake katika  mchezo
wa ngumi nchini baada ya mwanzoni mwa mwaka jana 2013 kufanya ziara ya mikoa 16 ya Tanzania bara

Aliyasema hayo wakati wa kufunga mashindano ya mchezo wa ngumi  yanayokwenda kwa jina la Nelson Mandela OpenChampion ship 'Unajua mimi mwaka jana nilifanya ziara ya kuamasisha mchezo wa masumbwi nchini nikiwa na lengo moja tu la ngumi zienee Tanzania nzima sasa naisi kazi niliyofanya imefanikiwa kutokana na mashindano haya kuja kushiliki watu wengi wa mikoani'

Super D ambaye katika kufuraishwa kwake kwa vijana wengi waliojitokeza mikoani kuja kushiliki alitoa DVD za Mafunzo ya mchezo wa masumbwi nchini kwa kila bondia aliyeshiliki kwa ajili ya kwenda kujifunza mbinu mbalimbali

pamoja na baadhi yao kuwapatia flana zenye nembo yake kama ishala ya kuhamasisha mchezo wa masumbwi ambazo amebuni mwenyewe zikiwa na mcholo wa  Glove pamoja na mahandishi yanayosomeka Super D Boxing Coach

aliongeza kwa kusema unajua mikoani kuna vipaji vingi sana hata hivyo bado awajawezeshwa kwa kuwa kwanza upatikanaji wa vifaa vya kufundishia ni tabu sana kwa watu wa mikoani hivyo wakiwezeshwa au wadau mbalimbali wakijitokeza kuwekeza kwenye mchezo huu unaweza ukapanda chati nchini
Super D ambaye anajishughulisha na uhuzaji wa vifaa vya mchezo huo amekuwa kiungo muhimu katika upatikanaji wa vifaa hivyo kwa mabondia na makocha kwa wepesi wa hali ya juu na kuufanya mchezo wa ngumi uzidi kusonga mbele kila kukicha nchini Tanzania


--
Super D Boxing Coach
Email.superdboxingcoach@gmail.com
www.burudan.blogspot.com
www.superdboxingcoach.blogspot.com
 Mob;+255787 406938
        +255774406938
        Po.Box. 15493
Dar es Salaam Tanzania