Bondia Haridi Kibavu (kushoto) akimrushia konde Mahafudhi Swai wakati wa mpambano wao ulioandaliwa na Chama cha mchezo wa Ngumi Temeke, Dar es salaam jana, Kibavu aliashinda Kwa Pointi.
Friday, March 16, 2012
COW BELL WADHAMINI MICHUANO YA NGUMI TEMEKE
Bondia Haridi Kibavu (kushoto) akimrushia konde Mahafudhi Swai wakati wa mpambano wao ulioandaliwa na Chama cha mchezo wa Ngumi Temeke, Dar es salaam jana, Kibavu aliashinda Kwa Pointi.
Wednesday, March 14, 2012
Bondia wa UKRAINE VITALI Klitschko kujikita kwenye siasa
KIEV, Ukraine
BINGWA wa uzani wa juu unaotambuliwa na Chama cha Ngumi za Kulipwa Duniani (WBC), Vitali Klitschko amesema hana mpango wa kuwa bondia mwenye umri mkubwa kushikilia ubingwa huo na badala yake, amepanga kujikita kwenye ulingo wa siasa nchini Ukraine.
Shirika la Habri la Marekani (AP), lilimnukuu bondia huyo juzi alipohojiwa kwamba ataendelea kuzichapa kwa muda gani.
Akijibu swali hilo, bondia huyo mwenye umri wa miaka 40 alisema haitakuwa muda mrefu na badala yake, atajikita kwenye siasa kutokana na kwamba nchini Ukraine kuna nafasi nyingi.
Mwaka 1994 bondia George Foreman, ndiye aliyeweka rekodi ya kuwa bondia wa kwanza kutwaa ubingwa huo, akiwa na umri mkubwa wa miaka 45 na Klitschko, alisema kwa ujumla hataki kuvunja rekodi hiyo ya Foreman.
Kwa sasa Klitschko ndiye kiongozi wa chama cha upinzani kiitwacho 'Udar' (mgomo) na anataka kuwa meya wa mji wa Kiev nafasi ambayo aliikosa mwaka 2006, wakati alipowania kwa kauli mbiu ya kupiga vita rushwa ambapo amepania kuwa tena katika uchaguzi ambao utafanyika baadaye mwaka huu.
BINGWA wa uzani wa juu unaotambuliwa na Chama cha Ngumi za Kulipwa Duniani (WBC), Vitali Klitschko amesema hana mpango wa kuwa bondia mwenye umri mkubwa kushikilia ubingwa huo na badala yake, amepanga kujikita kwenye ulingo wa siasa nchini Ukraine.Shirika la Habri la Marekani (AP), lilimnukuu bondia huyo juzi alipohojiwa kwamba ataendelea kuzichapa kwa muda gani.
Akijibu swali hilo, bondia huyo mwenye umri wa miaka 40 alisema haitakuwa muda mrefu na badala yake, atajikita kwenye siasa kutokana na kwamba nchini Ukraine kuna nafasi nyingi.
Mwaka 1994 bondia George Foreman, ndiye aliyeweka rekodi ya kuwa bondia wa kwanza kutwaa ubingwa huo, akiwa na umri mkubwa wa miaka 45 na Klitschko, alisema kwa ujumla hataki kuvunja rekodi hiyo ya Foreman.
Kwa sasa Klitschko ndiye kiongozi wa chama cha upinzani kiitwacho 'Udar' (mgomo) na anataka kuwa meya wa mji wa Kiev nafasi ambayo aliikosa mwaka 2006, wakati alipowania kwa kauli mbiu ya kupiga vita rushwa ambapo amepania kuwa tena katika uchaguzi ambao utafanyika baadaye mwaka huu.
GALILE VS MASHALI WATAMBIANA KILA MMOJA KUNYAKUA UBINGWA
MABONDIA Selemani Galile na Thomas Mashali wanatarajia kupanda ulingoni Aprili 9 kuwania mkanda wa ubingwa wa Oganaizesheni ya ngumi za kulipwa Tanzania (TPBO) litakalofanyika katika ukumbi wa Friends Corner, Manzese Dar es Salaam.
Pambano hilo linatarajiwa kuwa kati uzito wa kg 75 raundi 10 likiratibiwa na TPBO.
Wakitambiana Dar es Salaam jana, wakati wa kuonyeshwa mkanda huo Galile alisema atahakikisha anafanya mazoezi ya kutosha ili kuweza kuunyakua mkanda huo kwani anauhakika atauchukua kutokana na uwezo mkubwa aliokuwa nao.
"Mkanda lazima niiuchukue kwani najua Mashali haniwezi na hataweza kunifanya nisichukue mkanda hivyo najiamini na mkanda ni wangu," alisema Galile.
Naye kwa upande wake Mashali alisema raundi 10 ndio zitaamua mkanda ni wanani lakini anaimani ataunyakuwa kwani anamazoezi ya kutosha na bado ataendelea kujifua na kuhakikisha anaibuka bingwa.
"Ninauwezo, nimejipanga na ninauhakika nitaunyakua mkanda lakini yote raundi 10 ndio zitaamua nani bingwa," alisema.
Mbali ya kuwepo na mpambano huo siku hiyo kutakuwa na huuzwaji wa DVD za Mafunzo ya Mchezo wa Masumbwi wakiwemo mabondia Lenox Lewis, Evander Holfiled,David Haye, Waldmil Klitichiko,Manny Paquaio, Floyd Maywether, Roj Jones na wengine wengi
Zitakuwa zikisambazwa kwa ajili ya kuwapa mabondia,mashabiki marefarii kutambua sheria na kanuni za mchezo huo Duniani ambazo zimeandaliwa na Kocha wa Kimataifa wa Mchezo wa Masumbwi Nchini, Rajabu Mhamila Super D
Tuesday, March 13, 2012
MDAU WA MCHEZO WA MASUMBWI AZUNGUMZIA UPATIKANAJI WA BINGWA WA TAIFA

Tumeshuhudia vyama vyetu vya ngumi vikitoa mabingwa wao wa Taifa wa weight tofauti kimakosa, Bingwa wa Taifa hawezi kupatikana kwa points ktk round ya kwanza mpaka ya nne, unless by KO, rakini baadhi ya Mabingwa wanapatikana kwa points chini ya round nne za awali, huyo si bingwa halali wa Taifa.Tale of the tape:Inabidi watu watangaziwe tale of the tape ili watu wajue. Contents za Tale of the tape ni Age, Height, Arm length, Weight. Tunaambiwa kuwa ni ubingwa wa Taifa bila kuambiwa ni weight gani wanayopigania.Ring Record:Hakuna ring record za fight zote zinzopigwa ktk miaka hii, vyama vyetu havina record za maboxer wanaowapiganisha au wanafanya makusudi tu, na record za maboxer wanaweza kuzipata ktk www.boxrec.com ila wanapiganisha watu bila kutuambia sisi wadau record za boxers wote wanaogombania mikanda, Ring record contain – Won, Loss, Draw, KO and NC of each boxer to be announce before fight.Unified Rules:Hapa ndio kuna hilo tatizo ambalo nimeliona kuwa Bingwa wa taifa anapatikana chini ya round ya nne kwa points, kwa KO sawa hakuna ubishi anakuwa champion wetu kialali ila kwa points chini ya round hizo huyo si bingwa wa Taifa, hiyo fight inaamuliwa kama Technical draw. Sheria zinasema hivi:No 3 Knockdown RulesOnly Referee Can Stop the FightScore Cards At The End Of Round No. 4Can Not Be Saved By Bell In Any Round Tukianza na hiyo ya kwanza – No 3 knockdown rules, zamani boxer ukipigwa na kuanguka ukaesabiwa ktk round moja mara tatu basi automatical fight imekwisha na bigwa kutangazwa ila kwa sasa sheria hiyo is no longer applicable, mtu unaweza kuhesabiwa hata mara kumi ktk round moja na fight ikaendelea.Only referee can stop the fight- hii inajieleza ni referee pekee mwenye right ya kusimamisha fight na kumpa ushindi anaestaili. Ili linafuatwa hakuna shaka, boxer akizidiwa na kunaweza kuatalisha afya yake tumeona referee’s wetu wakisimamisha fight na wakitoa ushindi.Scor
e card at the end of round no. 4 – Hapa ndio kuna madudu tupu, round no, 1 mpaka round no. 4 hapa uwezi kutoa mshindi kwa points ikitokea boxers wamegongana vichwa au any Incidental hiyo fight itaamuliwa Technical draw kuanzia round no. 5 hapo likitokea la kutokea ndio score cards zinapotumika. PST ntawatolea mfano mmoja, mwaka 2010 DDC Magomeni Kondoa ulikuwa ubingwa wao wa Taifa Bantam weight kama sikosei au superflyweight, boxers waligongana vichwa round ya 3, PST wakatumia score card za round 2 kumtangaza bingwa wao wa Taifa, baada ya kutoa Technical draw, huyo hakuwa bingwa wetu halali wa Taifa. Pili, mwaka 2007 Dimond Jubelee hall Hussein Pazi vs Deo Njiku, superfetherweight, waligongana vichwa round ya 2,Hussein Pazi alipasuka vibaya sana juu ya jicho, Referee Mlundwa akafuata sheria ya Only referee can stop the fight akasimamisha fight, wakatumia score card kutangaza mshindi akawa Deo Njiku badala ya kuwatoa Technical Draw, Ingawa baadae Deo Njuku alinyang’anywa mkanda kwa kuwa alizidi weight. Can not be saved by bell in any round – hapo zamani sheria mtu akizidiwa kengere ( bell 0 inaweza kugongwa kumuokoa asiendelee kupata kipigo waende for a break, ila kwa sheria za sasa kituhicho hakuna, PST tena wanafanya madudu, ntatoa mifano 2 ktk fight zake tena za ubingwa wa dunia Venue ; Dimond Jubelee, 2011Promoter : BawazirSuction board : WCTLocal suction by : PSTTitle : Intercontinental flyweight championshipBoxers : Juma Fundi vs Fadhili MagiaJuma Fundi alipigwa punch kali akaenda chini, Referee Mlundwa akaanza kuhesabu ilipofika 8, Juma fundi akawa bado fahamu azijarudi, Mlundwa akaendelea kuhesabu mpaka 10 still Juma Fundi Fahamu zilikuwa bado azijarudi, kukawa na delay karibu ya 1 minutes akiongea nae, ilikuwa ni clean KO Juma Fundi kapigwa, ila delay za Mlundwa na Yule Juma Fundi ni boxer wake Mlundwa Kengere ikagongwa Juma Fundi akanusulika, na hiyo punch ilimc
hanganya akashidwa kucontrol game, hata hivyo alipigwa kwa points.Same date, Main Card, Mbwana Matumla vs Francis Miyeyusho, World Title Bantam weight, Referee Antony Luta, Mbwana alipigwa punch kali akakaa akalewa delay ya counting na kengere ikamuokoa Mbwana na kuanzia hapo Mbwana akashidwa kulimiliki pambana japo kuwa alianza vizuri sana, na alimkalisha Francis ila ile punch ndio ilimchanganya hakashidwa kucontrol fight.NB: Mabingwa wetu wa Taifa wanapatikana ktk njia ambazo ni kinyume na sheria, vyama vyetu vya ngumi vinatakiwa kujipanga na kuwa train Referee’s wake, ikiwezekana waiombe serekali iwaitie mkufunzi wa kimataifa aje kuwapa proper training na wawe issued na certificate otherwise itakuwa tunapata mabingwa ambao awana vigezo. Na vyama vyetu vya ngumi vi accept hizi challenge na wazifanyie kazi, Otherwise ipo siku tutawashtaki mahakamani. MdauNawakilisha
e card at the end of round no. 4 – Hapa ndio kuna madudu tupu, round no, 1 mpaka round no. 4 hapa uwezi kutoa mshindi kwa points ikitokea boxers wamegongana vichwa au any Incidental hiyo fight itaamuliwa Technical draw kuanzia round no. 5 hapo likitokea la kutokea ndio score cards zinapotumika. PST ntawatolea mfano mmoja, mwaka 2010 DDC Magomeni Kondoa ulikuwa ubingwa wao wa Taifa Bantam weight kama sikosei au superflyweight, boxers waligongana vichwa round ya 3, PST wakatumia score card za round 2 kumtangaza bingwa wao wa Taifa, baada ya kutoa Technical draw, huyo hakuwa bingwa wetu halali wa Taifa. Pili, mwaka 2007 Dimond Jubelee hall Hussein Pazi vs Deo Njiku, superfetherweight, waligongana vichwa round ya 2,Hussein Pazi alipasuka vibaya sana juu ya jicho, Referee Mlundwa akafuata sheria ya Only referee can stop the fight akasimamisha fight, wakatumia score card kutangaza mshindi akawa Deo Njiku badala ya kuwatoa Technical Draw, Ingawa baadae Deo Njuku alinyang’anywa mkanda kwa kuwa alizidi weight. Can not be saved by bell in any round – hapo zamani sheria mtu akizidiwa kengere ( bell 0 inaweza kugongwa kumuokoa asiendelee kupata kipigo waende for a break, ila kwa sheria za sasa kituhicho hakuna, PST tena wanafanya madudu, ntatoa mifano 2 ktk fight zake tena za ubingwa wa dunia Venue ; Dimond Jubelee, 2011Promoter : BawazirSuction board : WCTLocal suction by : PSTTitle : Intercontinental flyweight championshipBoxers : Juma Fundi vs Fadhili MagiaJuma Fundi alipigwa punch kali akaenda chini, Referee Mlundwa akaanza kuhesabu ilipofika 8, Juma fundi akawa bado fahamu azijarudi, Mlundwa akaendelea kuhesabu mpaka 10 still Juma Fundi Fahamu zilikuwa bado azijarudi, kukawa na delay karibu ya 1 minutes akiongea nae, ilikuwa ni clean KO Juma Fundi kapigwa, ila delay za Mlundwa na Yule Juma Fundi ni boxer wake Mlundwa Kengere ikagongwa Juma Fundi akanusulika, na hiyo punch ilimc
hanganya akashidwa kucontrol game, hata hivyo alipigwa kwa points.Same date, Main Card, Mbwana Matumla vs Francis Miyeyusho, World Title Bantam weight, Referee Antony Luta, Mbwana alipigwa punch kali akakaa akalewa delay ya counting na kengere ikamuokoa Mbwana na kuanzia hapo Mbwana akashidwa kulimiliki pambana japo kuwa alianza vizuri sana, na alimkalisha Francis ila ile punch ndio ilimchanganya hakashidwa kucontrol fight.NB: Mabingwa wetu wa Taifa wanapatikana ktk njia ambazo ni kinyume na sheria, vyama vyetu vya ngumi vinatakiwa kujipanga na kuwa train Referee’s wake, ikiwezekana waiombe serekali iwaitie mkufunzi wa kimataifa aje kuwapa proper training na wawe issued na certificate otherwise itakuwa tunapata mabingwa ambao awana vigezo. Na vyama vyetu vya ngumi vi accept hizi challenge na wazifanyie kazi, Otherwise ipo siku tutawashtaki mahakamani. MdauNawakilishaSunday, March 11, 2012
MDAU WA NGUMI ATOA ANGALIZO LA SHERIA KWA NGUMI ZA KULIPWA

Kupambanisha boxers zaidi ya mara tatu ni makosa kisheria, hapa kwetu tunafanya kwa kutojua sheria au kwa mapromoter kutengeneza pesa. Wadau tumeliona ilo na tukiendelea kukaa kimya tutalitia aibu Taifa.
International fight zote zinaruhusu re-match na grand final after re-match, mfano Manny Pacquiao vs Erick Morales game ya kwanza alipigwa Many paquiao kwa points, akaomba re-match akashinda Manny Pac kwa KO round ya kumi. Elick Morales akaomba grand final re-match akapigwa KO round ya 3, akataka tena re-match sheria zikambana mpaka leo anataka kurudiana na Manny Pac ila walishamaliza three times fighting.
Mfano mwingine Manny Pacquiao vs Juan Manuel Marquez game ya kwanza draw, ikaja re-match akashinda Manny pac kwa points, Marquez akaomba grand final re-match ikapigwa akashinda Manny pac kwa pints ilikua very close fight, mpaka leo wanataka re-match ila sheria za boxing zinawabana haiwezekani tena.
Riddic Bowe vs Evender Holifield zimepigwa three times, moja draw mbili alipigwa Evander, na Evander alitaka re-match ikashindikana kwa kuwa walishamaliza zile three times fighting na awawezi kupigana tena. Na mifano mingi tu ila hiyo michache inatosha.
Hapa kwetu tumeshuudia boxers wakipigana zaidi ya mara saba na watu kwa kutojua sheria wanaona ni jambo la kawaida ila ni makosa kisheria, vyama vyetu vya ngumi PST, TPBO, TPBC ect, baadhi vinajua hilo na baadhi havijui hilo kabisa. Ni makosa kupiganisha watu zaidi ya mara tatu.
Rashid Matumla vs Maneno Osward wamepigana zaidi ya mara 5 au 6 na bado wanataka kupigana tena je hapo sheria zinafutwa au wanatubuluza???????
Francis Cheka vs Rashid Matumla wameshapigana zaidi ya mara 4 na bado kuna plan ktk mwaka huu kuwapiganisha tena.
Mada Maugo vs Francis cheka, walipigana PTA akapigwa Maugo, akaomba re-match zikapigwa Morogoro Jamuhuri akapigwa tena Maugo, sasa wameingia ktk grand final zitapigwa tena April tunaomba game hii iwe ya mwisho kwao la sivyo tutawashtaki mapromoter na chama chochote kitakachotoa kibali kwa ajiri ya fight nyingine baada ya hii ya April.
Mbwana Matumla vs Francis Miyeyusho wameshapigana mara tatu wameshamaliza ila wanataka kuandaliwa pambano la nne, je ni sheria zipi zinazofuatwa hapo.
Vyama vya ngumi za kulipwa walitazame hili kwa makini mkubwa sana tena sana, kama sheria awazijui basi waulize au waingie ktk mitandao waangalie na kufuatilia International fight na sheria zake, sio kubuluza watu na huku wanafanya madudu.
Naomba kuwakilisha!
Mdau wa boxing
Saturday, March 10, 2012
Friday, March 9, 2012
CHAMA CHA NGUMI ZA KULIPWA NCHINI CHATAMBULIKA KIMATAIFA
Na Mwandishi WetuSHIRIKISHO la Dunia la ngumi za kulipwa (WPBF) limempa hati ya kuwa mwakilishi wa Shirikisho hilo nchini Rais wa Shirikisho la ngumi za kulipwa nchini (TPBO).
Taarifa iliyotumwa kwa vyombo vya habari kwa mtandao na Rais wa TPBO Yassin Abdala 'Ustadhi' ilisema kuwa Shirikisho hilo lenye makazi yake nchini Marekani limempa hati hiyo ambayo itamruhusu kutoa taarifa muhimu za jinsi mabondia wa ngumi za kulipwa wa Tanzania wanavyoingizwa katika viwango vya Shirikisho hilo.
Alisema, sambamba na hilo pia litawasaidia mabondia watanzania kuweza kupata nafasi ya kugombea mikanda ya Shirikisho hilo.
"Ni jambo zuri kwa mabondia watanzania kwani watakuwa wanajua kila kitu kuhusu viwango vyao kuingizwa katika Shirikisho hilo lakini pia kupata nafasi ya kuwania mikanda hiyo ambayo itamsaidi kutambulika Ulimwenguni," alisema.
Sambamba na hilo pia Ustadhi amempongeza Mpiga picha wa Kampuni ya Business Times Limited inayochapisha magazeti ya Majira, Spoti Starehe na Business time,pamoja na Jarida la Maisha, ambaye pia ni Kocha wa Kimataifa wa Mchezo wa Masumbwi, Rajabu Mhamila 'Super D' kwa mchango wake katika kuhakikisha anaukuza mchezo wa ngumi bila kubagua.
Alisema, Super D amekuwa ni msaada mkubwa sana katika kila maandalizi ya mchezo kwa kuwasaidia waandaaji ambao hupungukwa vifaa vinavyohusu mchezo hususan glovus na vifaa vingine.
Sambamba na hilo amekuwa akifuatilia mapambano ya ngumi popote pale hata mkoani ,na huku akiyaripoti yote yanayofanyika huko nje ya Dar es salaam kwa galama zake mwenyewe.
"TPBO tunayo macho yenye kuona na kuthamini michango ya watu wa aina yako hivyo tunakuahidi kukupatia cheti cha kuthamini mchango wako katika tasnia hii ya mchezo wa ngumi katika wakati muafaka," alisema.
Aliongeza kuwa yapo mengi ya kumshukuru kwani pia ameakuwa akiwasaidia mabondia wa mikoani kwa kuwauzia vifaa vya mchezo kwa bei ndogo kuliko hata ile ya madukani , hivyo kuwawezesha mabondia hao kuwa na uwezo wa kumiliki vifaa vya ngumi kiurahisi.
Subscribe to:
Posts (Atom)