Tangazo

Pages

Wednesday, March 21, 2018

BONDIA IDDI MKWELA ATUA NCHINI NA TAMBO KIBAO

Bondia Iddi Mkwela kulia akiwa na viongozi wake kushoto ni Rais wa PST Emanuel Mlundwa na Kocha wa kimataifa wa mchezo wa Masumbwi nchini Rajabu Mhamila ;Super D' katikati mara baada ya kutua nchini akitokea Latvia ambapo alicheza mpambano wake wa kimataifa na kumchana mzungu juu ya jicho na kunyimwa ushindi Picha na SUPER D BOXING NEWSNo comments:

Post a Comment