Bondia Issa Nampekecha kushoto akitunishiana misuli na Nassibu Ramadhani baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao kesho jumamosi ya january 31 kwa ajili ya kugombania ubingwa wa UBO Africa katika ukumbi wa frends corner Manzese katikati ni mratibu wa mpambano huo Antony Rutta Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Bondia Mohamed Matumla kushoto akitunishiana misuli na Emilio Norfat baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika katika ukumbi wa Frends corner manzese Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS |
BONDIA Nassibu Ramadhani na Issa Nampekecha wamepima uzito leo kwa ajili ya mpambano wao wa ubingwa UBO Africa
utakaofanyika katika ukumbi wa frends corners Dar es salaam siku ya jumamosi januaru 26 mpambano huo wa raundi kumi
unategemea kuwa na upinzani wa ali ja juu baada ya kila bondia kumtambia mwenzake kuwa atamshinda katika mpambano
huo na kumbwaga mwenzie
mpambano huo wa ubingwa wa raundi kumi utakuwa ukisindikizwa na bondia Mohamed Matumla na Emilion Norfati wa Mosha
ambao utakuwa wa raundi nane
mpambano huo uliobeba hisia za mashabiki wa ngumi Dar es salaam nzima haswa katika vitongoji vya Mwananyamala manzese na Mabibo
kwa upande wa Issa Nampekecha ambaye anatoka maendeo ya Kinondoni pande za mwananyamala amawaadi mashabiki zake kumsambalatisha nassibu Ramadhanikatika raundi za awari nae Ramadhani amesema kuwa ngoma ya kitoto aikeshi kwa kuwa Issa ni bwana mdogo sana hivyo sito kaa kumfikilia yeye kwa kuwa ile ni njia ya kupita ili nipate kupambana na mabondia ambao nawaitaji kwa ajili ya kulekebisha rekodi yangu vizuri
siku hiyo kutakuwa na uzwaji wa DVD za ngumi mabingwa wa Dunia akiwemo mpya za masumbwi kati ya bondia Amir Khan vs Nichlaus Maidana na Floyd mayweather vs Nichlaus Maidana one and two Manny Paquaio, Floyd Maywether,
Roy Jones,Miguel Cotto,Linox Lewis, David Haye,Mohamed Ali
na wengine wengi DVD hizo zilizoandaliwa kwa ubora wa hali ya
juu zitakuwa zikiuzwa kwenye mpambano huo na Kocha wa Kimataifa wa mchezo huo. Rajabu Mhamila ‘Super
D’, alisema kuwa kutakuwa na DVD ili kuweza kuwauzia mashabiki kwa
ajili ya kujifunza Kanuni na Sheria za mchezo huo.
“Ninatarajia kuwepo kwa ajili ya kuwauzia DVD mashabiki wa ngumi
watakaokuwepo katika Mpambano ili kuweza kujifunza mambo mbalimbali
ikiwa ni
pamoja na sheria za mchezo wa ngumi”, alisema Super D
.
--
Super D Boxing Coach
Email.superdboxingcoach@gmail.com
www.burudan.blogspot.com
www.superdboxingcoach.blogspot.com
Mob;+255787 406938
+255774406938
Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania
Mob;+255787 406938
+255774406938
Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania
MAYWEATHER, PACQUIAO
WAKUTANA USO KWA USO NA KUSALIMIANA
Pacquiao na Mayweather
Mayweather akisalimiana na Manny Pacquiao
Mabondia Floyd Mayweather na Manny Pacquiao wameudhihirishia ulimwengu
kuwa uhasama uliopo kati yao ni wa ulingoni na sio sehemu nyingine, hiyo
ni baada ya kukutana uso kwa uso na kusalimiana kama vile sio mahasimu
wakubwa.
Mabondia hao wanaoshikilia mataji makubwa ya ndondi, walikutana katika
uwanja wa American Airlines usiku wa kuamkia leo(Jan27) wakati wa mchezo
kati ya timu ya mpira ya Miami Heat na Milwaukee Bucks katika mchezo
uliomaliza kwa Bucks kushinda kwa jumla ya vikapu 109 – 102 dhidi ya
Heat.
Mbali na mchezo huo, mashabiki na wapenzi wa masumbwi Duniani kote
wamekuwa wakisubira kwa hamu mpambano wa wawili hao ambao wamekuwa
wakitambiana kwa kipindi kirefu unaotajwa kufanyika mwezi Mei mwaka huu.
Watazame hapo chini wakisalimiana
Posted by Richard Mwaikenda at Thursday, January 29, 2015 0 comments
Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to Pinterest
2FACE ANASWA NA MCHEPUKO
Mwanamuziki wa Nigeria, Innocent Idibia ‘2face’ amejikuta katika wakati
mgumu baada ya picha zinazomuonyesha akifanya mambo ya chumbani na
mwanamke mwengine katika klabu yake ya usiku kuzagaa kama njugu kwenye
mitandao mbalimbali.
2face na Annie siku ya harusi yao
2face na Annie siku ya harusi yao
Kwa mujibu wa tovuti moja ya udaku nchini humo, imedai mwanamke
anayeoneka katika picha hiyo ni mama wa watoto wa tatu wa 2face
anayeitwa Pero Adeniyi, ambaye amekuwa akipigwa vita mara kwa mara na
mke wa ndoa wa mwanamuziki huyo ‘Annie Idibia’ aliyezaa nae watoto
wawili wa kike.
2face mwenye umri wa miaka 39, ameamua kuzima soo hilo kwa ku-post picha
kwenye ukurasa wake wa Instagram akiwa na mke wake katika siku yao ya
harusi na kuwataka watu wasipende kuingilia mapenzi yao kwani watakuja
kuujua ukweli na utawaweka huru.
”Our love does not have 2 make sense 2 u. pls go on with your perfect
life and know the true story behind something before u judge and start
making nasty comments based on an orchestrated story by some blog.U
shall know the truth and the truth shall set u free.LYTID uwana
idibia”,aliandika 2face
2face Idibia
2face na katika mapozi tofauti ya kimahaba na mzazi mwenzie,Pero
Adeniyi.
Posted by Richard Mwaikenda at Thursday, January 29, 2015 0 comments
Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to Pinterest
MAGAZETI YA LEO ALHAMISI
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
DSC08790
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
DSC08804
.
.
.
.
DSC08807
.
.
.
DSC08811
.
.
.
.
.
DSC08810
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Posted by Richard Mwaikenda at Thursday, January 29, 2015 0 comments
Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to Pinterest
Newer Posts Older Posts Home
Wanaotembelea Blogu hii
Sparkline 2141575
MATOKEO YA KIDATO CHA PILI
MATOKEO YA KIDATO CHA PILI
BOFYA HAPA KUTAZAMA
MATOKEO YA KIDATO CHA NNE HAYA HAPA
MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2013 HAYA HAPA
Tanzania National Flag
Tanzania National Flag
Time
Dar es Salaam
The Digital Company
The Digital Company
Mtayarishaji:
Mtayarishaji:
Richard Mwaikenda
BONGO HITS
Find more music like this on GongaMx
Blog Archive
Copy and WIN : http://bit.ly/copynwin