Mpambano
wa ufunguzi wa kilo 56 kati ya Bashiri Salimu wa Arusha (shoto) na
Omari Mrisho wa Dodoma, ambapo bondi wa Arusha alishinda katika hatua
hiyo ya mtoano wa mashindano ya ubingwa wa Taifa wa ndondi leo uwanja wa
ndani wa Taifa jijini Dar es salaam
Mgeni
rasmi ambaye ni mjumbe wa Baraza la Michezo la Taifa Kamanda Jamali
Rwambow katika ufunguzi wa mashindano ya ubingwa wa Taifa wa ndondi leo
uwanja wa ndani wa Taifa jijini Dar es salaam akisalimisana na mabondia
zaidi ya 100 toka mikoa mbalimbali
Kamanda jamali Rwambow akisalimiana na waamuziKamanda jamali Rwambow akisalimiana na waamuzi
Kamanda jamali Rwambow akivishwa glovu ili kuzindua rasmi mashindano hayo
Kamanda Jamali Rwambow akizindua michuano
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Ndondi Tanzania (TBF) Makore Mashanga akiongea
Baadhi ya mashabiki
watazamaji
Meza kuu
Mpambano wa ufunguzi wa kilo 56 kati ya Bashiri Salimu wa Arusha (shoto) na Omari Mrisho wa Dodoma, ambapo bondi wa Arusha alishinda katika hatua hiyo ya mtoano wa mashindano ya ubingwa wa Taifa wa ndondi leo uwanja wa ndani wa Taifa jijini Dar es salaam
Super D Super coach Rajabu Mhamila (wa pili kushoto) na kikosi chake cha mkoa wa Ilala
Chukua jab hiyo |
No comments:
Post a Comment