Tangazo

Pages

Thursday, September 13, 2012

MAANDALIZI YA TAMASHA LA NGUMI MTWARA YAENDELEA

Mwanandaaji wa mpambano wa Tamasha la masumbwi Mkoa wa Mtwara, Mahmoud Sinani kushoto akizungumza na waandishi wa habari juu ya maandalizi ya mpambano wa Bondia Mkongwe Rashidi Matumla na Patrck Amote litakalofanyika October 27  katika Ukumbi wa Makonde Beach Resort  kulia ni Raisi wa TPBO Yassin Abdallah picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Mwanandaaji wa mpambano wa Tamasha la masumbwi Mkoa wa Mtwara, Mahmoud Sinani
Mwanandaaji wa mpambano wa Tamasha la masumbwi Mkoa wa Mtwara, Mahmoud Sinani kushoto akizungumza na waandishi wa habari juu ya maandalizi ya mpambano wa Bondia Mkongwe Rashidi Matumla na Patrck Amote litakalofanyika October 27  katika Ukumbi wa Makonde Beach Resort  kulia ni Raisi wa TPBO Yassin Abdallah picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments:

Post a Comment