| Mbwana chinenda kg 57 |
Thursday, November 15, 2018
PAUL KAMATA NA SELEMANI GALILE KUZICHAPA NOVEMBA 30 GONGOLAMBOTO
Na Mwandishi Wetu
Bondia Selemani Galile amesaini mkataba wa kuzipiga na Paul kamata Novemba 30 katika ukumbi waChampion Nifht Club uliopo Gongolamboto Dar es salaam
Mpambano uho wa kumaliza ubishi umeandaliwa na Rajabu Mhamila 'Super D' kutoka Super D Boxing Promotion kwa ajili ya kukuza na kuendeleza vipaji vya mabondia mbalimbali kutoka kila upande wa Tanzania
Mbali na pambano hilo kutakuwa na mapambano mengine ya kumaliza ubishi na kukata ngebe ya nani zaidi ya mwenzie ambapo bondia Mbwana Chinenda atazipiga na Nassoro Nyange wakati Selemani Bangaiza atazidunda na Mohamedi Mpombo Frank John atazichapa na Lumeme Hussein na Bakari Mbede ataoneshana kazi na Idd Mbaraka na Iddi Juma atazipiga na Ismahil Haridi
Wakati Abdallah Zamba ataoneshana kazi na Abasi Amza Said Ndeki atazipiga na Rashidi Mnyagatwa Abdallah Luaga na Luqman Ramahani
Promota wa mpambano uho Super D aliongeza kwa kusema kuwa kutakuwa na burudani za aina yake pamoja na ngumi zitakazo burudisha zaidi
siku hiyo pia kutakuwa zikiuzwa DVD mpya za masumbwi ambazo zinaonesha mafunzo mbalimbali ya mchezo wa ngumi yanavyoanza hatua kwa hatua
mpaka kujua kitu kamili katika
mchezo huo pia kunakuwa na mapambano ya mabondia mabigwa wa dunia wa mchezo huo kama Floyd
Maywether, Manny Paquaio,mike Tyson, Mohamed Alli pamoja na mabambano ya ngumi ya ndani zilizo taharishwa na kocha maili wa mchezo wa masumbwi nchini 'Super D' ambaye anajishughulisha na uzaji wa vifaa mbalimbali vya ngumi nchini kama vile Glove gumshirt clip bandeji bukta protecter na vifaa vingine
Wednesday, November 7, 2018
RAMADHANI SHAURI NA AZIZI ULIZA WASAINI KUZIPIGA DESEMBA 31
| Mabondia Azizi Uliza kushoto wakitazamana kwa usongo mara baada ya kusaini mkataba wa kuzipiga Desemba 31 katika uwanja wa Kinese Shekilango |
Friday, October 19, 2018
ISSA NAMPEPECHE NA HASHIMU CHISOLA WAPIMA UZITO KUZIPIGA OCTOBAR 20 CCM MWIJUMA MWANANYAMALA

Na Mwandishi wetu
BONDIA Issa Nampepeche na Hashimu Chisola wamepima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa raundi kumi utakaofanyika jumamosi ya Octobar 20 katika ukumbi wa CCM Mwijuma Mwananyamala akizungumza wakati wa upimaji mratibu Ibrahimu Kamwe 'BigRaght'
amesema kuwa siku hiyo kutakuwa na mapambano mbalimbali ya kukata na shoka kwani wamejipanga kuinua mchezo wa masumbwi katika kitongoji cha mwananyamala na viunga vyake
mbali na pambano hili siku hiyo kutakuwa na mapambano mengine ya kukata na shoka kati ya Shabani Madilu atakaezipiga na Selemani Bangaiza na bondia machachari anaekuja kwa kasi ya ali ya juu Hamisi Maya atazipiga na Zumba Kukwe kutoka Kibaha Mkoa wa Pwani mpambano mwingine utawakutanisha Mbena Rajabu atakae oneshana umwamba na Fredy Masinde na Josephe Mbowe atazikunja na Mwinyi Mzengela
aliongeza kwa kusema BigRight Sports and Arts Promotion imejizatiti kuinua vipaji vya mabondia chipkizi na kuwaendeleza wale walio katika chati ya juu kwa kuwandalia mapambano mbalimbali yakiwemo ya ubingwa wa taifa na yale ya ubingwa wa kimataifa
siku hiyo pia kutakuwa zikiuzwa DVD mpya za masumbwi ambazo zinaonesha mafunzo mbalimbali ya mchezo wa ngumi yanavyoanza hatua kwa hatua
mpaka kujua kitu kamili katika
mchezo huo pia kunakuwa na mapambano ya mabondia mabigwa wa dunia wa mchezo huo kama Floyd
Maywether, Manny Paquaio,mike Tyson, Mohamed Alli pamoja na mabambano ya ngumi ya ndani zilizo taharishwa na kocha maili wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' ambaye anajishughulisha na uzaji wa vifaa mbalimbali vya ngumi nchini kama vile Glove gumshirt clip bandeji bukta protecter na vifaa vingine
Saturday, October 13, 2018
NGUMI KUPIGWA OCTOBAR 20 CCM MWIJUMA MWANANYAMALA
Na Mwandishi Wetu
MABONDIA mbalimbali kutwangana Octoba 20 katika ukumbi wa CCM Mwijuma Mwananyamala wakiongwazwa na mpambano wa Issa Nampepeche atakaezipiga na Hashimu Chisora mpambano wa ubingwa raundi kumi
akizungumzia mpambano uho mratibu Ibrahimu Kamwe 'BigRaght' amesema kuwa siku hiyo ni kwa ajili ya burudani ya mchezo wa masumbwi kwani kutakuwa na mapambano mbalimbali ya kuvutia na mabondia wanaotamba katika vitongoji mbalimbali hivyo kama mpenzi wa mchezo wa masumbwi hii si yakukosa
kwani mbali na pambano hilo kuu kutakuwa na mpambano mwingine wa kukata na shoka kati ya Shabani Madilu atakaezipiga na Selemani Bangaiza na bondia machachari anaekuja kwa kasi ya ali ya juu Hamisi Maya atazipiga na Zumba Kukwe kutoka Kibaha Mkoa wa Pwani mpambano mwingine utawakutanisha Mbena Rajabu atakae oneshana umwamba na Fredy Masinde na Josephe Mbowe atazikunja na Mwinyi Mzengela siku hiyo mbali na mapambano hayo kutakuwa na mapambano mengine mbalimbali siku hiyo
aliongeza kwa kusema BigRight Sports and Arts Promotion imejizatiti kuinua vipaji vya mabondia chipkizi na kuwaendeleza wale walio katika chati ya juu kwa kuwandalia mapambano mbalimbali yakiwemo ya ubingwa wa taifa na yale ya ubingwa wa kimataifa
siku hiyo pia kutakuwa zikiuzwa DVD mpya za masumbwi ambazo zinaonesha mafunzo mbalimbali ya mchezo wa ngumi yanavyoanza hatua kwa hatua
mpaka kujua kitu kamili katika
mchezo huo pia kunakuwa na mapambano ya mabondia mabigwa wa dunia wa mchezo huo kama Floyd
Maywether, Manny Paquaio,mike Tyson, Mohamed Alli pamoja na mabambano ya ngumi ya ndani zilizo taharishwa na kocha maili wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' ambaye anajishughulisha na uzaji wa vifaa mbalimbali vya ngumi nchini kama vile Glove gumshirt clip bandeji bukta protecter na vifaa vingine
Saturday, October 6, 2018
MABONDIA KUTOKA KWA SUPER D COACH WACHANGIA DAMU KUOKOA MAISHA
| Bondia Iddi Mkwela akietoa Damu wakatiwa kampeni ya uchangiaji wa Damu Salama kwa ajili ya kuokowa Maisha iliyofanyika katika makutano ya mtaa wa Likoma na Agrey Dare Es Salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS |
| Mdungaji wa sindano kwa ajili ya utoaji wa Damu Rosemary Bulemo kutoka kitengo cha Damu Salama Kanda ya Mashariki akimchoma sindano Bondia Idd Mkwela kwa ajili ya kuchangia Damu uliofanyika katika makutano ya mtaa wa Likoma na Agrey Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS |
| Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' wa pili kulia akiwa na Bondia Iddi Mkwela mwenye kibagarashia wakiwa na wadau mbalimbali waliojitokeza kutoa Damu ambao wapo katika kikundi cha Upendo Group kilichopo Kariakoo Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS Na Mwandishi Wetu BAADHI YA MABONDIA wamechangia Damu kwa ajili ya kuokowa maisha mabondia hawo wanaotoka katika kambi ya Super D Coach Uhuru GYM wamejitolea kuchangia Damu kwa jamii kwa kuokoa maisha ya watanzania akizungumza wakati wa uchangiaji huo kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' Amesema kuwa wameamua kuchangia Damu kwa kuwa wameona jamii nyingi inayo wazunguka ina tatizo la damu kutokana na mambo mengi ya ajali zinazotokea barabarani na wanakuwa na mahitaji mengi yanayousu Damu alisisitiza kuwa Super D Boxing Promotion imejizatiti kuitumikia jamii kwa mambo mbalimbali ikiwemo kuchangia Damu pamoja na kujitolea kufanya kazi za kijamii na ndio maana tumeamua kuja kujitolea Damu kwa mabondia wangu ambao na Idd Mkwela Vicent Mbilinyi Hussein Shemdowe na Bilali Ngonyani ambao wamejitolea kutoa Damu nae Bondia machachali Iddi Mkwela aliongeza kwa kusema kuwa ameamua kujitolea Damu ni kwa sababu ameona watu wengi wana mahitaji ya kupatiwa na ukiangalia jamii inayotuzunguka nayo ina maitaji zaidi hivyo nashauli watanzania tuwe na moyo wa kujitolea Damu ili iwe akiba mana na wewe ukipungukiwa siku yake unachukuwa bila galama kwani Damu aiuzwi popote ni uchangiaji wa hiali kujitolea wewe mimi na yule nawaomba wanamichezo wajitolee kuchangia kwani ni moja ya sadaka zetu hapa Duniani uchangiaji huo wa Damu ulifanyika katika makutano ya mtaa wa Likoma na Agrey ambapo zaidi ya watu 140 walijitokeza kuchangia na kupatikana lita za kutosha tu kwenye kampeni hiyo |
Subscribe to:
Posts (Atom)
