Tangazo

Pages

Wednesday, December 9, 2015

MABONDIA ZUMBA KUKWE NA SELEMANI GALILE WATAMBIANA KUZIDUNDA JANUARY 2 MANZESE

Mabondia Seleman Galile kushoto na Zumba Kukwe wakitunishiana misuli baada ya kusaini makubaliano ya kupigana january 2 katika ukumbi wa frends corner manzese Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS
Mabondia Seleman Galile kushoto na Zumba Kukwe wakitunishiana misuli baada ya kusaini makubaliano ya kupigana january 2  kwenye mpambano wa kufungulia mwaka utakaofanyika katika ukumbi wa frends corner manzese Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Hussein Mbonde kushoto wakitunishiana misuli na Shomari Milundi wakati wakitambulisha mpambano wao utakaofanyika january 2 katika ukumbi wa frends corner manzese Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Hussein Mbonde kushoto wakitunishiana misuli na Shomari Milundi wakati wakitambulisha mpambano wao utakaofanyika january 2 katika ukumbi wa frends corner manzese Dar es salaam katikati ni Pembe Ndava  Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Hussein Mbonde kushoto wakitunishiana misuli na Shomari Milundi wakati wakitambulisha mpambano wao utakaofanyika january 2 katika ukumbi wa frends corner manzese Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS

Mabondia Hussein Mbonde wa pili kulia na Shomari Milundi wakiwa na makocha wao kushoto ni Cristopher Mzazi na Mohamed Mbad mbade wakati wa utambulisho wa mpambano wao utakaofanyika january 2 katika ukumbi wa frends corner manzese Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS





KOCHA WA MASUMBWI SUPER D AHIMIZA SWALA LA USAFI LIWE ENDELEVU

Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kulia akifanya usafi wakati wa zoezi la kufanya usafi wa mazingira ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 54 ya Uhuru wa Tanzania kama alivyoagiza Mhe Rais Dkt. John Pombe Magufuli, ambapo zoezi hilo limefanyika nchini kote hii leo

 Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D'  akifanya usafi wakati wa zoezi la kufanya usafi wa mazingira ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 54 ya Uhuru wa Tanzania kama alivyoagiza Mhe Rais Dkt. John Pombe Magufuli, ambapo zoezi hilo limefanyika nchini kote hii leo
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto na Shaibu Mbaruku wakifanya usafi wakati wa zoezi la kufanya usafi wa mazingira ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 54 ya Uhuru wa Tanzania kama alivyoagiza Mhe Rais Dkt. John Pombe Magufuli, ambapo zoezi hilo limefanyika nchini kote hii leo


Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto na Shaibu Mbaruku wakifanya usafi wakati wa zoezi la kufanya usafi wa mazingira ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 54 ya Uhuru wa Tanzania kama alivyoagiza Mhe Rais Dkt. John Pombe Magufuli, ambapo zoezi hilo limefanyika nchini kote hii leo

Saturday, December 5, 2015

ABDALLAH LUWANJE NA SHEDRACK IGNAS WATAMBIANA KUPIGANA KATIKA MPAMBANO WA KUFUGUA MWAKA JANUAR 2 /2016

Mabondia Shedrack Ignas kushoto akitunishiana misuli na Abdallah Luwanje baada ya kusaini mkataba wa kuzipiga januari 2 katika ukumbi wa frends corner manzese Picha na SUPER D BOXING NEWS

Mabondia Shedrack Ignas kushoto akitunishiana misuli na Abdallah Luwanje baada ya kusaini mkataba wa kuzipiga januari 2 katika ukumbi wa frends corner manzese Picha na SUPER D BOXING NEWS

Mabondia Hassan Salumu kushoto na Hassan Mgosi wakitunishiana misuli baada ya kusaini mkataba wa kuzipiga januari 2 katika ukumbi wa frends corner manzese Dar es a salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS

Na Mwandishi Wetu

MABONDIA mbalimbali wa ngumi za kulipwa wamesaini mkataba wa mpambano wa kufungua mwaka  kuzipika siku ya januar 2 mwakani katika ukumbi wa frends corner manzese Dar es salaa

akizungu wakati wa kusaini mikataba hiyo mratibu wa mpambano uho Rajabu Mhamila 'Super D' amesema kuwa mabondia walio wasainisha kuwa ni Shedrack Ignas atakaepambana na Abdallah Luwanje na
Hassan Salumu atakabiliana na
Hassan Mgosi nae Shomari Mirundi atapambana na Husein Mbonde na Ramadhani Maonya atakumbana na Said Faraji wakati Kelvin Majiba atakumbana na Ibrahimu Hamis mabondia wengine walio saini ni Mohamed Muhunzi na Mohamed Kashinde
Abdallah Pazi 'Dula Mbabe' atakumbana na Zumba Kukwe

mpambano huo ulioandaliwa na kampuni ya Butamanya General Tredes and Boxing Promotion 

imeandaa mpambano huo kwa ajili ya kukuza viwango vya mabondia chipkizi na kuimalisha zaidi wale wenye uwezo kwa ajili ya kuwapatia mipambano mbalimbali ya ndani na nje ya nchi

Super D aliongeza kwa kusema kuwa siku hiyo kutakuwa na burudani za nguvu pamoja na ulinzi wa kutosha na ngumi zitaanza mapema ili wapenzi wa mchezo wa masumbwi warudi majumbani mapema wakiwa na furaha ya mchezo utakaochezwa

MABONDIA YONAS SEGU NA MFAUME MFAUME WASAINI MKATABA KUZIPIGA FEB 20 MANZESE

Mabondia Mfaume Mfaume kushoto na Yonas Segu wakitunishiana misuli baada ya kusaini mkataba wa kuzipiga feb 2o katika ukumbi wa frends corner manzese Dar es salaam katikati ni Promota wa mpambano wa masumbwi Side Mkigoma Picha na SUPER D BOXING NEWS
Mabondi Mfaume Mfaume na Yonas Segu wakisaini mkataba wa kuzipiga feb 20 katika ukumbi wa frends corner manzese katikati ni promota Side Mkigoma Picha na SUPER D BOXING NEWS


Promota wa mpambano wa masumbwi Side Mkigoma katikati akimkabidhi mkataba bondia Yonas Segu atakaezipiga na mfaume mfaume feb 20 katika ukumbi wa frends corner manzese
Picha na SUPER D BOXING NEWS

Thursday, December 3, 2015

VICENT MBILINYI ALIA NA SAID TOMPOO BAADA YA KUTOKA NAE DROO









Wladimir Klitschko to take up option of Tyson Fury rematch


Wladimir Klitschko and Tyson Fury
Tyson Fury (right) was awarded victory over Wladimir Klitschko 115-112, 115-112, 116-111 on the judges' scorecards
Wladimir Klitschko will attempt to regain the world heavyweight title by taking up his option for a rematch with new champion Tyson Fury next year.
Briton Fury, 27, beat the Ukrainian in Dusseldorf, Germany, on Saturday to take the WBA, IBF and WBO belts.
The contract for the fight included a clause for a rematch, for which the date and the venue have to be decided.
"Failure is not an option," said Klitschko, 39, on his prospects of winning back the titles.
"I was really frustrated directly after the fight, but after some short nights, I now know that I am much better than my performance on Saturday.
"I couldn't show much full potential at any time. This is what I want to change in the rematch, and I will."
Fury v Klitschko - the full story
Listen: 'The fight of 2016 is on'
Fury stuns Klitschko to win title - full report
I can beat Wladimir again, says champion
Beaten Klitschko keen on rematch
The Furys meet the media - the best bits
Klitschko has had two spells as world champion, the first from 2000 to 2003. Having regained the WBO belt in 2004, he went 11 years and 19 successful defences before losing to Fury.
Manchester fighter Fury said on Sunday that he would beat Klitschko again if they were reunited in the ring next year.
Fury's uncle and trainer Peter told BBC Radio Manchester it was "fantastic news" Klitschko had taken up the option.

MABONDIA THOMASI MASHALI NA FRANSIC CHEKA WATAMBIANA KUZIDUNDA DESEMBA 25 MOROGORO

Mabondia Thomas Mashali kushoto na Fransic Cheka wakitunishiana misuli wakati wa kutambulisha mpambono wao utakaofanyika katika uwanja wa jamuhuri Morogoro Desemba 25  Picha na SUPER D BOXING NEWS
Mabondia Thomas Mashali kushoto na Fransic Cheka wakitambiana mbele ya wandishi wa habari wakati wa kutambulisha mpambano wao wa desemba 25 utakaofanyika katika uwanja wa jamuhuri Morogoro Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Thomas Mashali kulia akizungumza na waandishi wa habari awapo pichani wakati alipokuwa akitambulisha mpambano wake na Fransic Cheka kushoto utakaofanyika katika uwanja wa jamuhuri Morogoro siku ya Desemba 25 Picha na SUPER D BOXING NEWS

Mabondia Fransic Cheka kushoto na Thomas Mashali wakiangaliana kwa usongo wakati wa kutambulisha mpambano wao wa desemba 25 utakaofanyika katika uwanja wa jamuhuri Morogoro Picha na SUPER D BOXING NEWS

KOCHA WA MCHEZO WA MASUMBWI NCHINI RAMADHANI UHADI KULIA AKIWA NA PROMOTA KAIKE SIRAJU PAMOJA NA BONDIA THOMAS MASHALI




Mabondia Thomas Mashali kushoto na Fransic Cheka wakitambiana mbele ya wandishi wa habari wakati wa kutambulisha mpambano wao wa desemba 25 utakaofanyika katika uwanja wa jamuhuri Morogoro Picha na SUPER D BOXING NEWS

Na Mwandishi Wetu

MABONDIA Thomas Mashali wa Dar es salaam na Fransic Cheka wa Morogoro wamendelea kutambiana kuelekea mpambano wao wa desemba 25 utakaofanyika katika uwanja wa jamuhuri Morogoro uzito wa kg 76

akiongea na waandishi wa habari Mashali amesema kuwa hii ni vita ya Dar na Moro  hivyo kawaomba wapenzi wa mchezo wa masumbwi wa Dar es salaam waweze kuhamia morogoro kwa muda kwa ajili ya kumsapoti

siku hiyo ambayo kwake atakuwa na kibaruwa kigumu ambapo atapigana na Cheka pamoja na wakazi wa Morogoro

nae Chaka alijibu mapigo hayo kwa kusema siku zote anamweshimu bondia anaetaka mpambano wa marudiano hata hivyo dozi ya mashali ipo pale pale na nitampiga katika raundi za awali tu kwa kuwa nipo vizuri na naendelea na mazoezi

nae kocha wa Mashali Ramadhani Uhadi amesema kuwa cheka ni bondia wa kawaida sana hivyo wapenzi waje waone mchezo mzuri utakaochezwa na Mashali atakavyo msambalatisha Cheka siku hiyo mjini Morogoro

na kocha wa bondia Cheka Abdallah Salehe amesema Cheka yupo vizuri sana kwa sasa nimempika ameshaiva ata kama mpambano utakuwa leo Mashali atapigwa mapema sana

katika mpambano huo kutakuwa na mipambano mingine ya bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' atapambana na Twaha Kassimu kg 63 na Vicent Mbilinyi kg 63 atakumbana na Deo Njiku wakati Pius Kazaula kg 66 atamenyana na Seba Temba mpambano mwingine utawakutanisha mabondia Epson John  kg 57 na Sadiq Momba na wana dada Lulu Kayage kg 51 atapambana na Mwanne Haji kugombania ubingwa wa taifa

Katika mpambano huo siku hiyo kutakuwa na uzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi  kali pamoja na kutambua sheria zake zikiwa na mabondia wakali kama vile


Floyd Mayweathar,Manny Paquaio, Saul 'canelo' alverez ,Mike Tyson,Mohamed Ali,Ferex Trinidad,Miguel Cotto na wengine wengi

pia kuta kuwa na vifaa vya mchezo vitakaokuwa vikitolewa na Kocha Rajabu Mhamila 'Super D' kwa mabondia watakaofanya vizuri siku hiyo na vingine kuuzwa kwa pesa taslimu na kocha huyo kwa ajili ya kuamasisha