Tangazo

Pages

Friday, December 5, 2014

MWANA MITINDO MATUKIO CHUMA AMKABIDHI ZAWADI KOCHA WA MASUMBWI NCHINI SUPER D

Kocha wa kimataifa wa mchezo wa ngumi nchini Rajabu Mhamila kushoto  akiangalia zawadi  aliyopewa na mwanamitindo Matukio Chuma iliyotoka kwa Manju Msita
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa ngumi nchini Rajabu Mhamila kushoto  akipokea zawadi kutoka kwa mwanamitindo Matukio Chuma iliyotoka kwa Manju Msita
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa ngumi nchini Rajabu Mhamila kushoto  akipokea zawadi kutoka kwa mwanamitindo Matukio Chuma iliyotoka kwa Manju Msita

NGUMI ZILIVYOPIGWA KOBELO PUB MANZESE

Bondia Abdallah Zamba kushoto akitoa kipigo kwa Hamis Mlenga wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa Kobelo Pub uliopo Manzese Dar es salaam Zamba alishinda kwa point Picha na SUPER D BOXING NEWS

 Mabondia Ahira Chazi kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na  Selemani Bangaiza wakati wa mpambano wao Picha na SUPER D BOXING NEWS
Mabondia Idi Kayumba kushoto akioneshana umwamba na Shedrack Juma wakati wa mpambano wao uliomalizika kwa droo Picha na SUPER D BOXING NEWS

MASHINDANO YA WAZI YA UBINGWA WA TAIFA YANAVYO ENDELEA KATIKA UWANJA WA NDANI WA TAIFA

Mabondia Abuu Said wa JKT akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Adolf Emanuel wa Kigoma wakati wa mashindano ya wazi ya taifa yanayoendelea katika uwanja wa ndani wa taifa Said alishinda mpambano huo na kuingia fainali
Picha na SUPER D BOXING NEWS
Uringo mpya wa Shirikisho la ngumi za Ridhaa Nchini BFT walipewa na kampuni ya simu za mkononi ya Zantel hivi karibuni wakiufanyia majaribio ya kuuchezeshea ngumi kabla ya makabidhiano rasmi na kampuni hiyo
Baadhi ya viongozi wa mchezo wa ngumi nichini wakifuraia jambo wakati wa mashindano ya taifa ya ngumi yanayo endelea katika uwanja wa ndano wa taifa kutoka kushoto ni Meja Rodgers Daudi  ambae pia ni refarii na jaji wa mchezo wa masumbwi Mjumbe wa maendeleo ya wanawake  BFT Aisha Voniatis  na Katibu mkuu wa chama hicho Makore Mashaga
Picha na SUPER D BOXING NEWS


VIONGOZI WAKIFATILI MCHEZO WA MASUMBWI UNAVYO ENDEREA
Mabondia Bosco Bakari wa JKT  kushoto akioneshana umwamba kutupiana makonde na Atanas Emanuel wa Kigoma wakati wa mashindano ya wazi ya taifa yanayoenderea katika uwanja wa ndani wa taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS
Wadau wa mchezo wa masumbwi nchini wakipiga picha mbele ya uringo mpya wa BFT kutoka kushoto ni Mjumbe wa maendeleo ya wanawake  BFT Aisha Voniatis  rais wa TPBO na mdau mkubwa wa mchezo wa masumbwi nchini SUPER DIEGO wa Mapambano
Mabondia Babu Luda wa Morogoro  kushoto na Victor Njaiti wa JKT wakioneshana umwamba wa kutupiana makonde wakati wa mashindano ya wazi ya ubingwa wa taifa yanayo enderea uwanja wa ndani wa taifa Njaiti alishinda mpambano huo na kuingia fainali Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Fred Julius wa Kigoma  kushoto akitupiana makonde  na  Robert Kyaruzi wa Bukoba wakati wa mashindano ya Taifa ya mchezo wa masumbwi nchini yanayo enderea katika uwanja wa ndani wa Taifa Kyaruzi alishinda kwa K,o ya raundi ya pili Picha na SUPER D BOXING NEWS
Mabondia Babu Luda wa Morogoro  kushoto na Victor Njaiti wa JKT wakioneshana umwamba wa kutupiana makonde wakati wa mashindano ya wazi ya ubingwa wa taifa yanayo enderea uwanja wa ndani wa taifa Njaiti alishinda mpambano huo na kuingia fainali Picha na SUPER D BOXING NEWS

Thursday, December 4, 2014

SUPER D BOXING COACH KATIKA HARAKATI ZA KUINUA MCHEZO WA MASUMBWI NCHINI


Kocha kimataifa  wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' akionesha baadhi ya nakala za DVD ambazo utumia kufundishia mbinu za mataifa mbalimbali wakiwemo mabondia wanaotamba Duniani kwa sasa ambazo anaziuza kwa ajili ya vijana kupata hamasa zaidi ya kufanya mazoezi kwa bidii
super d


Kocha kimataifa  wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' akionesha baadhi ya nakala za DVD ambazo utumia kufundishia mbinu za mataifa mbalimbali wakiwemo mabondia wanaotamba Duniani kwa sasa ambazo anaziuza kwa ajili ya vijana kupata hamasa zaidi ya kufanya mazoezi kwa bidii





super d akifuraia ushinda wa shabani kaoneka

MPAMBANO WA KUFUNGUA MWAKA WAWA GUMZO JIJINI DAR




SUPER D BOXING COACH AND PROMOTION MPAMBANO WA KUFUNGUA MWAKA

Monday, December 1, 2014

NGUMI ZILIVYOPIGWA KIBAHA MKOA WA PWANI



Bondia Rajabu Omari kushoto akioneshana umwamba na Herman Shekivuli wakati wa mpambano wao uliofanyika Kibaha Mkoa wa Pwani Shekifuli alishinda kwa K,O ya raundi ya kwanza picha na SUPER D BLOG
Bondia Mustafa Dotto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Ramadhani Max wakati wa mpambano wao uliofanyika Kibaha Mkoa wa Pwani mwishoni mwa wiki iliyopita Dotto alishinda kwa K,O ya raundi ya tatu ya mpambano huo picha na SUPER D BLOG
Bondia Shedrack Ignas kushoto akipambana na Fred Masinde wakati wa mpambano wao uliofanyika Kibaha mkoa wa Pwani Ignas alishinda kwa K,O ya raundi ya tatu Picha na picha na SUPER D BLOG
Bondia Zumba Kukwe kushoto  akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Sweet Kalulu wakati wa mpambano wao uliofanyika Kibaha mkoa wa Pwani mpambano huo ulimalizika kwa sare picha na SUPER D BLOG