Tangazo

Pages

Thursday, July 17, 2014

MAZOEZI YANAENDEREA KAMBI YA NGUMI ILALA


Bondia bingwa wa mkanda wa WPBF Africa Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akifanya mazoezi ya kupiga beg katika kambi ya Ilala iliyopo Amana Ccm Dar es salaam jana Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Bondia bingwa wa mkanda wa WPBF Africa Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akifanya mazoezi ya kupiga beg katika kambi ya Ilala iliyopo Amana Ccm Dar es salaam jana Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Lulu Kayage akielekezwa jinsi ya kupiga upcat na kocha Kondo Nassoro katika mazoezi yanayoendelea kambi ya Ilala Amana Dar es salaam picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Juma Biglee wakati wa mazoezi yanayo endelea katika kambi ya Amana CCM Ilala Dar es salaam picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Juma Biglee kushoto akipambana na Ibrahimu Class 'King class Mawe' wakati wa mazoezi yanayoendelea katika kambi ya Amana Ilala CCM Dar es salaam picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Wednesday, July 16, 2014

KAMPUNI YA SHIJA PROMOTIONS KUANDAA PAMBANO LA KICK BOXING LA KIMATAIFA DAR



''HIVI KARIBUNI  NILIKUWA NCHINI SAPIN KATIKA SEMINA YA MUAY-THAI katika GYM INTERNATIONAL RAM MUAY CHINI YA CHAMA WORLD FEDERATION  THAI-BOXING CHA SPAIN PRESIDENT JOSE COSSA.  MWAKA HUU WAPIGANAJI WA SPAIN WATAKUJA CHINI TANZANIA KWA AJILI YA KUTOA MAFUNZO KWA MA WAAMUZI WA MCHEZO WA MUAY-THAI NA MIXED MARTIAL ARTS   [MMA] PIA KUTAKUWA NA MPAMBANO WA UBINGWA WA DUNIA WA MUAY-THAI   TANZANIA AGAINST SPAIN  UTAKAOANDALIWA NA KAMPUNI YA SHIJA PROMOTIONS. EMMANUEL SHIJA NI PRESIDENT WORLD FIGHTINGS PORT &  MARTIAL ARTS COUNCIL [WFMC  ] MAKAO MAKUU GERMAN''.

Tuesday, July 15, 2014

NGUMI KUPAMBA TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI 2014


RAIS KIKWETE AKABIDHI BENDERA TIMU YA TAIFA YA RIADHA ITAYOSHIRIKI MICHUANO YA JUMUIYA YA MADOLA HUKO GLASGOW, SCOTLAND


ta1
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi bendera nahodha wa timu ya Taifa ya ngumi za  riadha Selemani Kidunda pamoja na wachezaji wa michezo mingine inayoondoka kesho Julai 16, 2014 kwenda Glasgow, Scotland, kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola kwenye hafla fupi iliyofanyika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam na kushuhudiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernand Membe, Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe Juma Nkamia na wadau wa michezo.
ta2
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi bendera nahodha wa timu ya Taifa ya ngumi za  riadha Selemani Kidunda  inayoondoka kesho Julai 16, 2014 kwenda Glasgow, Scotland, kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola kwenye hafla fupi iliyofanyika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam na kushuhudiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernand Membe, Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe Juma Nkamia na wadau wa michezo.
ta3
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na wachezaji na viongozi wa timu ya Taifa ya riadha inayoondoka kesho Julai 16, 2014 kwenda Glasgow, Scotland, kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola kwenye hafla fupi iliyofanyika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam na kushuhudiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernand Membe, Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe Juma Nkamia na wadau wa michezo.
ta4
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana  na wachezaji na viongozi wa timu ya Taifa ya riadha inayoondoka kesho Julai 16, 2014 kwenda Glasgow, Scotland, kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola kwenye hafla fupi iliyofanyika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam na kushuhudiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernand Membe, Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe Juma Nkamia na wadau wa michezo.
ta5
 Wakimsikiliza kwa makini Rais Kikwete ni wachezajina viongozi wa timu ya Taifa ya riadha inayoondoka kesho Julai 16, 2014 kwenda Glasgow, Scotland, kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola kwenye hafla fupi iliyofanyika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam na kushuhudiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernand Membe, Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe Juma Nkamia na wadau wa michezo.
ta6
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wachezaji na viongozi wa timu ya Taifa ya riadha inayoondoka kesho Julai 16, 2014 kwenda Glasgow, Scotland, kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola kwenye hafla fupi ya kukabidhi bendera iliyofanyika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam na kushuhudiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernand Membe, Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe Juma Nkamia na wadau wa michezo.
PICHA NA IKULU

Monday, July 14, 2014

MABONDIA WASHIRIKI WA TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI WATAMBIANA

Mkurugenzi wa Global Publishers, Eric Shigongo (katikati),katikati akiwainuwa mikono juu mabondia Thomas Mashali kushoto na Mada Maugo wakati wa utambulisho wa mpambano wao Dar es salaam juzi utakaofanyika siku ya tamasha la matumaini Agost 8 katika uwanja wa taifa picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com


 
Wasanii ambao watazipiga siku hiyo Clouds 112 (kushoto) akimchimbia mkwara JB ambaye aliishia kumuangalia kidharau na kusema anasubiri siku ya Agosti 8 katika Uwanja wa Taifa.
Mkurugenzi wa Global Publishers, Eric Shigongo (katikati),katikati akiwawa na mabondia Thomas Mashali kushoto na Mada Maugo wakati wa utambulisho wa mpambano wao Dar es salaam juzi utakaofanyika siku ya tamasha la matumaini Agost 8 katika uwanja wa taifa picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Clouds 112 (kushoto) akizungumzia mpambano wake wa masumbwi na JB

Khalid Chokoraa wa Bendi ya Mapacha akizungumzia mpambano wake wa masumbwi siku hiyo
picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Rais wa Chama cha Ngumi za Kulipwa nchini (T.P.B.O) Yasin Abdallah kushoto akizungumzia mchezo wa masumbwi siku hiyo
Mkutano ukiendelea. picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Mkurugenzi wa Global Publishers, Eric Shigongo (kushoto), ambaye kampuni yake inaandaa tamasha hilo, akizungumza kwenye mkutano huo. picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Sunday, July 13, 2014

Danny Garcia kumkabili Rod Salka august 9

http://i2.wp.com/www.boxingnews24.com/wp-content/uploads/garcia66.jpg?resize=263%2C400

CANELO ALVEREZ AMPIGA KWA POINT ERISLANDY LARA

Bondia Canelo Alvarez, kushoto , akipambana na Erislandy Lara wakati wa mpambano wao uliofanyika alfajiri ya leo wa uzito wa super welterweight mpambano uliofanyika katika ukumbi wa MGM Grand.(Photo: Stephen R. Sylvanie, USA TODAY Sports)

Bondia Canelo Alvarez akinyoshwa mkono juu na refarii, baada ya kumpiga, Erislandy Lara  kwa point baada ya raund  12- kumalizika 

Bondia Canelo Alvarez, kushoto , akipambana na Erislandy Lara wakati wa mpambano wao uliofanyika alfajiri ya leo wa uzito wa super welterweight mpambano uliofanyika

katika ukumbi wa MGM Grand.(Photo: Stephen R. Sylvanie, USA TODAY Sports)
 Canelo Lara Canelo vs. Lara  saul alvarez erislandy lara