Saturday, October 6, 2018
Monday, October 1, 2018
BONDIA SUNDAY KIWALE ANOLEWA NA KOCHA SUPER D KUZIPIGA CHINA OCTOBA 15
| Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kusoto akimwelekeza bondia Sunday Kiwale 'Moro Best' jinsi ya kupiga ngumi ya mkunjo wa chini 'Upcat' Kiwale anajiandaa na mpambano wake utakaofanyika Octobar 15 Picha na SUPER D BOXING NEWS |
| Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kusoto akimwelekeza bondia Sunday Kiwale 'Moro Best' jinsi ya kupiga ngumi ya Kunyooka 'Jab' Kiwale anajiandaa na mpambano wake utakaofanyika Octobar 15 Picha na SUPER D BOXING NEWS |
| Bondia Sunday Kiwale 'Moro Best' kushoto wakioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Kelvin Majiba wakati wa mazoezi yao yaliyofanyika kwa Super d Coach Uhuru GYM Kiwale anajiandaa na mpambano wake wa kimataifa utakaofanyika Octoba 15 China Picha na SUPER D BOXING NEWS |
| Bondia Vicent Mbilinyi kushoto akitupiana makonde na Sunday Kiwale ''Moro Best' wakati wa mazoezi yao yalyofanyika kwa Super D Coach Uhuru GYM Kiwale anajiandaa na mpambano wake utakaofanyika Octoba 15 China Picha na SUPER D BOXING NEWS |
| Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kusoto akimwelekeza bondia Sunday Kiwale 'Moro Best' jinsi ya kupiga ngumi ya mkunjo wa chini 'Upcat' Kiwale anajiandaa na mpambano wake utakaofanyika Octobar 15 Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Monday, September 17, 2018
BONDIA VICENT MBILINYI AMSAMBALATISHA SAIDI KIDEDEA KWA T.K.O RAUNDI YA 4
| Bondia Said Kidedea kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Vicent Mbilinyi wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika uwanja wa ndani wa Taifa Mbilinyi alishinda kwa T.K.O ya raundi ya 4 Picha na SUPER D BOXING NEWS |
| Bondia Said Kidedea kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Vicent Mbilinyi wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika uwanja wa ndani wa Taifa Mbilinyi alishinda kwa T.K.O ya raundi ya 4 Picha na SUPER D BOXING NEWS |
| Bondia Vicent Mbilinyi kulia akipiga ngumi ya kulia kwa Saidi Kidedea wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Mbilinyi alishinda kwa K.O raundi ya 4 Picha na SUPER D BOXING NEWS |
| Refarii Ramadhani Jifasto akimwinuwa mkono juu bondia Vicent Mbilinyi baada ya kumsambalatisha Saidi Kidedea kwa T.K.O ya Raundi ya 4 mwishoni mwa wiki iliyopita Picha na SUPER D BOXING NEWS |
| BONDIA VICENT MBILINYI NA TEAM YAKE AKIWA KATIKA PICHA YA PAMBOJA NA MPINZANI WAKE SAIDI KIDEDEA |
Friday, September 14, 2018
MABONDIA WAPIMA UZITO KUPIGANA KESHO SEPTEMBA 15 UWANJA WA NDANI WATAIFA
| Promota wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu mhamila 'Super D' katikati akiwainuwa mikono juu mabondia Georger Dimoso kushoto na Abdallah Pazi 'Dula Mbabe' baada ya kupima uzito kwa ajili ya kuzipiga kesho jumamosi Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS |
| Mabondia Georger Dimoso kushoto akitambiana na Abdallah Pazi 'Dula Mbabe' baada ya upimaji wa uzito na Afya kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS |
| Promota wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' katikati akiwatambulisha mbele ya wahandishi wa habari mabondia Saidi Bakari 'Kidedea' kushoto na Vicent Mbilinyi baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika jumamosi ya Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS |
| Mabondia Saidi Bakari 'Kidedea' kushoto akitunishiana misuli na Vicent Mbilinyi baada ya kumaliza kupima uzito katikati ni Promota Rajabu Mhamila 'Super D baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika jumamosi ya Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS |
| Promota wa mpambano wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' katikati akiwainuwa mikono juu mabondia Frank John kushoto na Bakari Mbede baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika katika uwanja wa ndani wa Taifa siku ya jymamosi Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS |
| Bondia Frank John kushoto akitunishiana misuli na Bakari Mbede wakati wa kupima uzito kwa mabondia hawo watazipiga siku ya jumamosi Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS |
| Promota wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu mhamila 'Super D' katikati akiwainuwa mikono juu mabondiaImani Mapambano kushoto na Paul Kamata baada ya kupima uzito kwa ajili ya kuzipiga kesho jumamosi Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS |
| Mabondia Imani Mapambano kushoto akitambiana na Paul Kamata baada ya upimaji wa uzito na Afya kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS |
| Mabondia Saidi Zungu kushoto akitambiana na Tonny Rashidi baada ya upimaji wa uzito na Afya kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS |
| Promota wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu mhamila 'Super D' katikati akiwainuwa mikono juu mabondia Saidi Zungu kushoto na Tonny Rashidi baada ya kupima uzito kwa ajili ya kuzipiga kesho jumamosi Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS |
| Promota wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu mhamila 'Super D' katikati akiwainuwa mikono juu mabondia Fred Sayunu kushoto na Haidary Mchanjo baada ya kupima uzito kwa ajili ya kuzipiga kesho jumamosi Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS |
| Mabondia Frdy Sayuni kushoto akitambiana na Haidary Mchanjo baada ya upimaji wa uzito na Afya kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS |
| PROMOTA WA MPAMBANO WA MASUMBWI NCHINI RAJABU MHAMILA AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI |
Wednesday, September 12, 2018
HOMA YA MPAMBANO WA MASUMBWI SEPTEMBA 15 TAIFA WAZIDI KUPAMBA MOTO
Na Mwandishi WetuYAKIWA wamebakia masaa machache sana kabla ya ule mtanange wa masumbwi utakao wakutanisha mabondia Haidary Mchanjo na Fredy Sayuni utakaofanyika Septemba 15 katika ukumbi wa uwanja wa ndani wa Taifa jumamosi hii
Mabondia hao wamendelea na mazoezi na sasa wapo tayali kwa mpambano uho akizungumza na mwandishi wa habari hizi mratibu wa mpambano uho Rajabu Mhamila 'Super D' amesema kuwa maandalizi yote yamekamilika kwa sasa wanacho subili ni siku tu ya mpambano kwani mabondia wote wapo na molali ya hali ya juu ya kutaka kupigana
na akuna bondia yoyote alieleta malalamiko kuwa awezi kupanda ulingoni siku hiyo mabondia wote tulio ingia nao mkataba wa kuzipiga watapigana siku hiyo
mbali na mpambao uho unaosubiliwa kwa hamu na mashabiki lukuki kutakuwa na mapambano mengine ya kukata na shoka ambapo bondia
Abdallah Pazi 'Dula Mbabe' atazipiga na Georger Dimoso na Vicent Mbilinyi atavaana na Saidi Kidedea Hassani Mijugu na Martn Shekivuli Mohamedi Kashinde atakumbana na Sadiki Momba na Imani Mapambano na Paul Kamata wakati Frank John atazipiga na Bakari Mbede
Mpambano uhu umepewa Baraka zote na kamati ya kusimamia ngumi za kulipwa chini inayo ongozwa na Emanuel Saleh
mabondia wote watapima uzito na Afya katika soko la Vetenali lililopo Tazara siku ya Ijumaa na watacheza jumamosi katika uwanja wa ndani ya Taifa 'Indoor Stadium'
Monday, September 10, 2018
VICENT MBILINYI AJIFUA KUMPIGA K,O SAIDI KIDEDEA SEPTEMBA 15 UWANJA WA NDANI WA TAIFA
| Bondia Idd Mkwela kushoto akipmbana na Vicent Mbilinyi wakati wa mazoezi ya Mbilinyi kujiandaa kuzipiga na Saidi Kidedea Septemba 15 katika ukumbi wa Uwanja wa Ndani wa Taifa 'Indoor Stadium' Picha na SUPER D BOXING NEWS |
| Bondia Shomari Milundi kushoto akipmbana na Vicent Mbilinyi wakati wa mazoezi ya Mbilinyi kujiandaa kuzipiga na Saidi Kidedea Septemba 15 katika ukumbi wa Uwanja wa Ndani wa Taifa 'Indoor Stadium' Picha na SUPER D BOXING NEWS |
| Bondia Vicent Mbilinyi akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Idd Mkwela wakati wa mazoezi ya Mbilinyi kujiandaa kuzipiga Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa kuzipiga na Saidi Kidedea Picha na SUPER D BOXING NEWS |
| Bondia Vicent Mbilinyi kushoto akioneshana umwamba wa kurushiana makonde na Shomari Milundi wakati wa mazoezi ya Mbilinyi kujiandaa kuzipiga na Saidi Kidedea Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS |
| Bondia Vicent Mbilinyi kushoto akioneshana umwamba wa kurushiana makonde na Shomari Milundi wakati wa mazoezi ya Mbilinyi kujiandaa kuzipiga na Saidi Kidedea Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS |
| Bondia Vicent Mbilinyi akipambana na Sunday Kiwale wakati wa kujiandaa na mpambano wake na Saidi Kidedea utakaofanyika Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa 'Indoor Stadium' Picha na SUPER D BOXING NEWS |
| Bondia Vicent Mbilinyi kushoto akipambana na Sunday Kiwale wakati wa mazoezi yake ya kujiandaa na mpambano wake na Saidi Kidedea Septemba 15 katika uwanja wa ndni wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS |
VIGOMA VYA KEKO FURNITURE NA GOMS UNITED KUANZA IJUMAA KWENYE KUPIMA UZITO PALE SOKO LA VETENAL LILIOPO TAZARA KUKUTANA KATIKA MASUMBWI SEPTEMBA 15 TAIFA
| FRED SAYUNI |
Na Mwandishi Wetu
![]() |
| Haidari Mchanjo |
Katika ali isiyokuwa ya kawaida kwa mashabiki wa michezo baada ya kucheza mashindano ya mpira wa miguu yajulikanayo kama Ndondo Cup sasa timu za Goms United na Keko Furniture zinakutana katika masumbwi ambapo Goms united inawakilishwa na bondia Haidari Mchanjo na Keko Furniture anatoka Fred Sayuni
mashabiki wa mabondia hawo wamepanga kuanza shangwe zao siku ya ijumaa wakati wa kupima uzito kwenye soko la vetenal lililopo maeneo ya Tazara Dar es Salaam kuanzia saa nne na watacheza jumamosi katika uwanja wa ndani wa Taifa 'Indoor Stadium'
Mabondia pamoja na kambi zao watapima uzito ijumaa na watacheza siku ya jumamosi
ambapo kwa sasa yameshafanyikamaandalizi ya kutosha kwa mabondia wote kilichobaki ni mpambano tu kufanyika
Akizungumzia pambano hilo mratibu wa mapambano ya ngumi Rajabu Mhamila 'Super D' kutoka kampuni ya kizalendo ya Super D Boxing Promotion amesema kuwa siku hiyo kutakuwa na mapambano mbalimbali ya ngumi wakati Abdallah Pazi 'Dula Mbabe' atazipiga na Geoger Dimoso na Vicent Mbilinyi atavaana na Saidi Mpoma 'Kidedea' wakati Mohamedi Kashinde atakumbana na Sadiki Momba na Imani Daudi ataoneshana umwamba na Paul Kamata
Na mpambano mwingine utawakutanisha Faraji Sayuni na Issa Nampepeche Ramadhani Shauri atakumbana na Said Amani wakati Mwinyi Mzengela atakumbana na Kassimu Rajabu 'Boxer Mnyama' Saidi Zungu na Tonny Rashidi Super D aliongeza kwa kusema kuwa mapambano hayo yote yataanza kuanzia saa 12 jioni ili zimalizike kwa wakati
mapambano hayo yameandaliwa na kampuni ya ngumi za kulipwa ya Super D Boxing Promotion inayoendelea kuinuwa vipaji vya mabondia mbalimbali nchini ili kujikuzia kipato na kujiweka nafasi nzuri kwa mabondia kucheza kila wakati
Subscribe to:
Posts (Atom)
