Tuesday, August 23, 2016
BONDIA IDDI MKWELA ALIVYO MSAMBALATISHA MWINYI MZANGELA TAIFA
| Mabondia Mwinyi Mzengela kushoto na Iddi Mkwela wakioneshana umwamba wa kutupiana makonde wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Mkwela alishinda kwa point katika mpambano uho wa raundi sita Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Bondia Iddi Mkwela kulia akipiga ngumi ya mkunjo wa chini 'Upcut' uku akirudi nyuma wakati mpinzani wake akiwa kamkumbatia Mkwela alishinda kwa pointi mpambano uho wa raundi sita uliofanyika mwishoni mwa wki iliyopita katika uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS
Kocha wa kimataifa wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kulia akimpatia mahelekezo bondia Iddi Mkwela wakati wa mpambano wake na Mwinyi Mzengela Mkwela alishinda kwa point mpambano uho wa raundi sita Picha na SUPER D BOXING NEWS
Refarii wa mpambano wa masumbwi nchini Pembe Ndava katikati akimnyoosha mkono juu bondia Iddi Mkwela baada ya kumshinda Mwinyi Mzengela kwa point Picha na SUPER D BOXING NEWS
| MABONDIA MWINYI MZENGELA NA IDDI MKWELA WAKIPONGEZANA BAADA YA KUMALIZIKA MPAMBANO WAO MKWELA ALISHINDA KWA POINTWA PILI KULIA NI KOCHA WA KIMATAIFA WA MCHEZO WA MASUMBWI NCHINI RAJABU MHAMILA 'SUPER D' Picha na SUPER D BOXING NEWS |
BONDIA IDDI MKWELA AKIWA NA MASHABIKI WAKE AKISINDIKIZWA KWA AJILI YA KUENDA KUPAMBANA NA MWINYI MZENGELA
KOCHA WA KIMATAIFA WA MCHEZO WA MASUMBWI NCHINI RAJABU MHAMILA 'SUPER D' MBELE KULIA AKIMSINDIKIZA BONDIA IDDI MKWELA ALIEBEBWA JUU JUU
Saturday, August 20, 2016
MABONDIA IDDI MKWELA NA MWINYI MZENGELA WAPIMA UZITO KUWA SINDIKIZA SEGU NA MFAUME TAIFA
| Mabondia Iddi MKwela kushoto na Mwinyi mzengela wakitunishiana misuli baada ya kupima uzito na afya kwa ajili ya mpambano wao wa Agost 21 katika uwanja wa ndani wa Taifa mpambano wa raundi sita Picha na SUPER D BOXING NEWS |

| Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' katikati akiwa na Mabondia Iddi Mkwela kushoto na Mwinyi Mzengela baada ya kupima uzoto kwa mabondia hawo kwa ajili ya mpambano wao wa Agost 21 uwanja wa ndani wa Taifa kusindikiza mpambano wa Mfaume Mfaume na Yonas Segu Picha na SUPER D BOXING NEWS |
| Bondia Mwinyi Mzengela Akipima uzito kulia ni mpinzani wake Iddi Mkwela na kushoto ni msimamizi Ibrahimu Kamwe Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Bondia Iddi Mkwela akipima uzito
daktari wa mchezo wa masumbwi, Donald Madono kulia akimpima bondia Iddi Mkwela Afya yake kabla ya mpambano wake na mwinyi Mzengela Kesho
Picha na SUPER D BOXING NEWS
Picha na SUPER D BOXING NEWS
daktari
wa mchezo wa masumbwi, Donald Madono kulia akimpima bondia Mwinyi Mzengela
Afya yake kabla ya mpambano wake na Iddi Mkwela Kesho
Picha na SUPER D BOXING NEWS
Na Mwandishi Wetu
MABONDIA Iddi Mkwela na Mwinyi Mzengela wamepima uzito na afya leo kwa ajili ya mpambano wao wa raundi sita mpambano utakao fanyika jumapili ya Agost 21 katika uwanja wa ndani wa taifa mpamba ambao ni wa kuwasindikiza
Mabondia Jonas Segu na Mfaume Mfaume watakaozipiga kwa raundi nane uzito wa kg 66
Msimamizi wa upimaji wa uzito alikuwa ni Mwenyekiti wa kamati ya ngumi za kulipwa nchini Habibu Kinyogoli ambaye alisimamia zoezi ilo la upimaji uzito pamoja na Afya kwa wachezaji wote watakao cheza
Pia aliwakumbusha sheria mbalimbali wawapo ulingoni kwani mchezaji anapaswa kujua na kuzingatia kanuni na talatibu za mchezo wa masumbwi nchini
Aliongeza kwa kusema kuwa mapambano ya jumapili yatanza mapema sana ili kuwapa nafasi mashabiki waluni makwao wakapumziki wakiwa wamepata burudani tosha ya mchezo wa ngumi bila ya bighuza ya aina yoyote ili
Pia ulizi utakuwa wa kutosha katika mpambano uhu kwani mandalizi yote yamesha kamilika tunasubili tu kesho kwa ajili ya mchezo kamili
Bondia mwingine anaekuja kwa kasi kwa sasa katika uzito wa kati Shabani Kaoneka atapambana na Kivu Abdi mpambano wa raundi sita

Katika
Mchezo huo kutakua na Uuzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi
pamoja na kutambua sheria zake mbalimbali zitakazokua zikisambazwa na
kocha 'Super D'
kwa ajili ya kuwapa mabondia mbalimbali mbinu za mchezo na mashabiki
kujua sheria za masumbwi.
Ndani yake wakiwemo mabondia Floyd
Mywether, Manny Paquaio, Amiri Khani, Mohamedi Ali, Mike Tayson David
Haye na wengine ambapo kutakuwa na matukio ya mazoezi yao katika mataifa
yao ikumbukwe kuwa ni mabingwa wa dunia. na kutakuwa na mapambano
makubwa matano ya utangulizi
Wednesday, August 10, 2016
BONDIA VICENT MBILINYI AJINOA KA AJILI YA MKENYA SEPTEMBA 17 NAIROBI KENYA
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kulia akimnowa bondia Vicent Mbilinyi kwa kumwelekeza kupiga ngumi zilizo nyooka wakati wa mazoezi ya bondiahuyo ya kujiandaa na mpambano wake wa septemba 17 kuzipiga na George Owano wa Kenya mpambano utakaofanyika Carnivore Grounds, Nairobi Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Vicent Mbilinyi kushoto akinolewa na kucha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kujiandaa na mpambano wake wa septemba 17 kuzipiga na George Owano wa Kenya mpambano utakaofanyika Carnivore Grounds, Nairobi Picha na SUPER D BOXING NEWS
Na Mwandishi Wetu
BONDIA Vicent Mbilinyi amendelea amendelea kujinoa kwa ajili ya mpambano wake ujao dhidi ya
George Owano wa Kenya mpambano utakaofanyika katika ukumbi wa Carnivore Grounds, Nairobi
septemba 17
George Owano wa Kenya mpambano utakaofanyika katika ukumbi wa Carnivore Grounds, Nairobi
septemba 17
Mpambano uho wa kwanza kwa Mbilinyi utakaofanyika nje ya nchi na ni wakimataifa utakuwa wa raundi nane uzito wa kg 63.5
Bondia huyo anaenolewa na kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' amesema kuwa yupo tayali kwa ajili ya mpambano uho kwana ana shaka kwa kuwa mbinu zote anazijua na siri ya ushindi wake itakuwa ni si vinginevyo
ndio mana ameamua kuwa katika kambi ya Super D Coach Uhuru GYM kwa ajili ya kunolewa kwa mpambano uho ujao
nae kocha wa bondia huyo aliongeza kwa kusema kuwa Mbilinyi kwa saa yupo fiti kila idara kilichobakia kwa sasa ni mazoezi ya kupigana wenyewe kwa wenyewe kwa ajili ya kuondoa uoga wa macho wakati wa mchezo
aliongeza kwa kusema Super D kuwa Mbilinyi ni bondia wake mwingine anaekwenda nje ya nchi wa kwanza alikuwa Ibrahimu Class 'King Class Mawe' alienda Zambia na kufanikiwa kushinda kwa kurudi na ubingwa wa WPBF Afrika mwingine Ni mwana Dada Lulu Kayake aliyenda Afrika ya kusini na kurudi na ushindi
Hivyo mabondia wangu wote wanapokwenda nje ya nchi wa mara ya kwanza wanarudi na ushindi ndivyo itakavyokuwa kwa Mbilinyi ni wakati wake sasa
SUPER D COACH NA BONDIA VICENT MBILINYI
KOCHA SUPER D AENDELEA KUWA NOWA MABONDIA IDD MKWELA KWA AJILI YA MPAMBANO WAKE WA AGOST 21 TAIFA
| Mabondia Iddi Mkwela kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Vicent Mbilinyi wakati wa mazoezi yanayoendelea katika kambi ya Super D Coach Uhuru GYM Kariakoo Shule ya Uhuru Mkwela anajianaa na mpambano na Mwinyi Mzengela Agost 21 katika uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimwelekeza bondia Iddi Mkwela jinsu ya kupiga ngumi zenye mikunjo ya chini 'Upcat' Mkwela anajiandaa na mpambano wake ujaodhidi ya Mwinyi Mzengela Agost 21 katika uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu
Mhamila 'Super D' kushoto akimwelekeza bondia Iddi Mkwela jinsu ya
kupiga ngumi zenye mikunjo ya chini 'Upcat' Mkwela anajiandaa na
mpambano wake ujaodhidi ya Mwinyi Mzengela Agost 21 katika uwanja wa
ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS
Na Mwandishi Wetu
BONDIA Iddi Mkwela yupo katika maandalizi mazito ya mpambano wake wa Agost 21 utakaofanyika katika ukumbi wa uwanja wa ndani wa Taifa dhidi ya Mwinyi Mzengela mpambano wa raundi sita kg 63
akizungumza wakati wa mazoezi yake anayo endelea katika kambi ya Super D Coach Uhuru GYM iliyopo Kariakoo Sule ya Uhuru
Mkwela amesema kuwa yupo fiti kwa ajili ya mpambano uho kwani kwasasa anajua mbinu mbalimbali alizofundishwa na kocha wake ambaye ni kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' na ndie anae nisimamia katika mapambano yangu kwa sasa ivyo natalajia kuonesha uwezo wa ali ya juu sana niwapo ulingoni kwani sitaki kumwangusha kocha wangu ambaye nafuata maelekezo yake kwa muda mrefu sasa
nae kocha Super D amesema kuwa mkwela yupo fiti sana kwani kwa sasa katika kambi yake mabondia wote wapo katika maandalizi ya mchezo wa masumbwi akiwemo bondia Vicent Mbilinyi anae jiandaa na mpambano wake dhidi ya George Owano wa Kenya mpambano utakaofanyika Carnivore Grounds, Nairobi nchini Kenya September 17
katika mpambano wa mkwela wa Agost 21 kutakuwa na mipambano mingine ya mabondia mhachali nchini ambapo bondia Mfaume Mfaume atavaana na Jonas Segu mpambano wa raundi nane KG 66
Katika
Mchezo huo kutakua na Uuzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi
pamoja na kutambua sheria zake mbalimbali zitakazokua zikisambazwa na
kocha 'Super D'
kwa ajili ya kuwapa mabondia mbalimbali mbinu za mchezo na mashabiki
kujua sheria za masumbwi.
Ndani yake wakiwemo mabondia Floyd
Mywether, Manny Paquaio, Amiri Khani, Mohamedi Ali, Mike Tayson David
Haye na wengine ambapo kutakuwa na matukio ya mazoezi yao katika mataifa
yao ikumbukwe kuwa ni mabingwa wa dunia. na kutakuwa na mapambano
makubwa matano ya utanguliz
KATIBU WA BALAZA LA MICHEZO TANZANIA BMT MOHAMED KIGANJA ASEMA KATIKA NGUMI ZA KULIPWA NI TPBC PEKEE NDIO ITAKAYOFANYA KAZI
| Katibu mkuu wa Balaza la Michezo Tanzania BMT Mohamed Kiganja katikati akiwa pamoja na baadhi ya viongozi waliomtembelea kazini kwake alipo waita |
Katibu mkuu wa Balaza la Michezo Tanzania BMT Mohamed Kiganja katikati wengine kushoto ni Michael Buchato kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D. Ally Bakari 'Champion' Chuku Dusso na Promota Haruna Mussa 'Dippo' Picha na SUPER D BOXING NEWS
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' akipeani mikono na Katibu mkuu wa Balaza la Michezo Tanzania BMT Mohamed Kiganja katikati
wengine kushoto ni Michael Buchato Ally Bakari 'Champion' Chuku Dusso na Promota Haruna Mussa 'Dippo' Picha na SUPER D BOXING NEWS
Na Mwandishi Wetu
KATIBU Mkuu wa Balaza la Michezo Tanzania Mohamed Kiganja amesema kuwa chama kinachotambulika na Serekali ni chama kimoja nacho ni Kamisheni ya Ngumiza ulipwa nchini TPBC
aliyasema hayo mwishoni mwa wiki iliyopita alipo wahalika baadhi ya viongozi pamoja na mabondia ofisini kwake na kuwaeleza kuwa chama ni kimoja tu nacho ni TPBC pekee ndicho watumie kwa ajili ya kuchezea mchezo wa ngumi nchini katika mikoa yote
Baadhi ya viongozi na mabondia waliokuwepo katika kikaio hichi ni Mwenyekiti wa Mda wa TPBC Chaurembo Palasa, Mwenyekiti wa waamuzi Ally Bakari msaidizi wake Michael Buchato promota Haruna Mussa 'Dippo' mabondia ni Kalama Nyilawila,Selemani Galile,Selemani Zugo, Abdul Zugo,Abdallah Zamba,Mussa Nassoro,Halini Mchanjo,Joyce Awino,Halima Bandola,Hamza Mchanjo,Haidal Mchanjo,Sadick Kinyogoli na mabondia wengine mbanimbali
akiwemo kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D'
aliendelea kwa kusema kuwa katika utawala wake anataka vijana waendelee katika michezo yote na wakiwa wazee wasitahabike na michezo walioicheza bal wajivunie kuendeleza michezo hiyo
namnukuu ' unajua mabondia mnazurumika sana kwa safari za nje ambazo mnapata ukiambiwa unakwena ulaya uko tayali ata kama utambiwa kampige konzi mama yako mzazi utafanya ili mradi ukapande ndege na malipo madogo kwa kumnufaisha mmtu mmoja tu' nimemaliza kumnukuu
aliongeza kwa kusema ametuma baruwa kwa njia ya Email Dunia nzima kutambulisha kuwa wasimamizi pekee wa mchezo wa ngumi Tanzania ni TPBC
ambao watakuwa wanaratibu ngumi zote nchini na si vinginevyo kwa kuwa nilifatilia vyama vinginevyote vimesajiliwa kwa jina la Kampuni Blera hivyo wao watafute biashara wanayo ifanya na sio ngumi
lakini wakitaji biashara ya ngumi lazima wapite kwa TPBC ndio wenye dhamana ya mchezo wa ngumi za kulipwa nchini wakifata talatibu mimi sina mashaka nawo waendelee kufanya ngumi ujue ngumi ni mchezo wa mabondia matarijiri Dunia nzima wanajua katika michezo yote anaye ongoza kwa utajiri ni bondia Floyd Maywether na anaefuata ni Mann Paquaio
atuwezi kwa na wanamichezo wakimaliza yani wakistaafu wanakuwa omba omba atutaki kusikia kwa sasa michezo ni ajira ambayo mwanamichezo inaweza kumnufaisha yeye na familia yake

Subscribe to:
Posts (Atom)