Tangazo

Pages

Monday, May 16, 2016

KING BOXER, KIBOKO YA KINYOGOLI ALIKUWA ANAJIFUA HADI MELINI

Bondia maarufu wa zamani nchini, Abdallah Mgeni ‘King Boxer’ (kulia) akifanya mazoezi kwenye Meli. Bondia huyo pekee kumpiga gwiji wa zamani wa ndondi nchini Habib Kinyogoli ‘Master’ alikuwa Baharia na muda mwingi alilazimika kuwa anafanya mazoezi yake kwenye Meli. Mungu ampumzishe kwa amani milele fundi huyo wa ngumi

MABONDIA WA TANZANIA WAPIGWA PINI KUCHEZA JUNE 4 UWANJA WA TAIFA

Bondia Japhert Kaseba kulia akitia saini mkataba wa kuzipiga na bondia Amour Mzungu wa Zanzibar siku ya june 4 mwaka uhu katika uwanja wa ndani wa taifa anaeshudia ni Katibu wa shilikiho la ngumi za kulipwa nchini Anton Rutta Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Jonas Segu kulia akitia saini mkataba wa kuzipiga siku ya june 4 katika uwanja wa ndani wa taifa atakapozxipiga na bondia kutoka nje wanaoshudia katikati ni Katibu wa shilikisho la ngumi za kulipwa PST Anton Rutta kushoto ni kocha wa bondia huyo Kwame mkuluma na mwingine ni Hamisi Chala Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Mfaume Mfaume akisaini mkataba wa kuzipiga siku ya june 4 mwaka uhu na bondia kutoka nje ya nchi   mbele ya  Katibu wa shilikisho la ngumi za kulipwa PST Anton Rutta kushoto    Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Fadhili Majiha kulia akisaini mkataba wa kuzipiga na bondia kutoka nje siku ya june 4 katika uwanja wa ndani wa Taifa katikati ni Katibu wa shilikisho la ngumi za kulipwa PST Anton Rutta kushoto ni kocha wa bondia huyo Kwame mkuluma
Picha na SUPER D BOXING NEWS

Na Mwandishi Wetu
MABONDIA wengine wa Tanzania wamepigwa pini kwa ajili ya kucheza mapambano ya kimataifa siku ya june 4 katika uwanja wa ndani wa Taifa

Mabondia hawo walisaini mkataba uho wa kuzipiga na mabondia kutoka nje ya nchi mbele ya  Katibu wa shilikisho la ngumi za kulipwa PST Anton Rutta

waliosani kuzipiga na mabondia kutoka nje ya nchi wakiongozwa na Japhert Kaseba ataaezipiga na Amour Mzungu kutoka Zanzibar wengine wailio saini kuzipiga siku hiyo ni pamoja na

Mfaume  Mfaume, Fadhili Majiha,jonas Segu, Alphonce Mchimiatumbo, Vicent Mbilinyi pamoja na Ashiraf Selemani kutoka Zanzibar ambaye nae atazipiga siku hiyo

Mipambano hiyo mingine ya kimataifa inaletwa na promota mkongwe nchini katika maswala ya mchezo wa masumbwi si mwingine bari ni Ally Mwazowa kutoka mkoa wa Tanga 

 siku hiyo pia kutakuwa na ugawaji wa zawadi mbalimbali kwa mabondia watakaocheza vizuri na kuonesa nidhamu ya mchezo wa masumbwi kutoka kwa kocha Rajabu Mhamila 'Super D'  ikiwemo vifaa vya mchezo pamoja na DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi pamoja na kutamba sheria za mchezo uho nyingine zitakuwa zikiuzwa kwa galama nafuu kwa mashabiki watakaofika siku hiyo

Friday, May 13, 2016

NGUMI ZA KIMATAIFA KUPIGWA KESHO JUMAMOSI MEI 14 UWANJA WA NDANI WA TAIFA

Bondia Sajjabi Ben wa Uganda akitunishiana misuli na Fransic Miyeyusho baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa kimataifa utakaofanyika siku ya jumamosi ya mei 14 katika uwanja wa ndani wa taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS

Chiedza Homakoma 'Nikita' wa Malawi akitunishiana misuli na Lulu Kayage baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa jumamosi ya mei 14 katika uwanja wa ndani wa taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Alan Kamote kutoka Tanga Tanzania akitunishiana misuli na Salim Chazama wa Malawi baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi utakaofanyika jumamosi mei 14 katika uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS
NASSIBU RAMADHANI
RAMADHANI SHAULI

LULU KAYAGE KATIKATI AKIWA NA TEAM YAKE

LULU KAYAGE KUSHOTO NA Chiedza Homakoma 'Nikita' wa Malawi
FRANSIC MIYEYUSHO
Bondia Sajjabi Ben wa Uganda akitunishiana misuli na Fransic Miyeyusho baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa kimataifa utakaofanyika siku ya jumamosi ya mei 14 katika uwanja wa ndani wa taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS

 Na Mwandishi Wetu
HOMA ya mpambano wa kimataifa umezidi kupamba moto baada ya leo kukutanishwa mabondia wote  wa Tanzania pamoja na mataifa mengine watakaocheza 
 
akiongea na wahandishi wa habari
wakati wa upimaji uzito kwa mabondia Mratibu wa mpambano uho Anton Rutta amesema kuwa mabondia wote wamepima uzito na ngumi zitapigwa kesho 'Leo' kuanzia saa kumi na nusu jioni ambapo bondia
Thomas Mashali 'Simba Asiyefugika' atakuwa anagombea ubingwa wa dunia kg 76 mkanda wa U.B.O na Sajjad Mehrab kutoka 'Irani'

Wakati mapambano mengine ya kimataifa yatawakutanisha mabondia 
 
 Mwanadada Lulu Kayage atakaezichapa na Chiedza Homakoma 'Nikita' wa Malawi na Allen Kamote atapambana na Salim Chazama wa Malawi  wengine ni Ramadhan Shauri atakaepambana na Osgood Kayuni wa Malawi wakati Twaha Kassim atapambana na Fred Nyakese kutoka Kenya na Saleh Mkalekwa atakumbana na Jems Onyango wa Kenya na Fransic Miyeyusho atavaana na Sajjabi Ben wa Uganda na Nassibu Ramadhani atacheza na Edwrd Kakembo wa Uganda
mapambano mengini ya kitaifa yatawakutanisha  Shaban Kaoneka atakaecheza na Hassan Mwakinyo na Issa Nampepeche atakumbana na Baina Mazola pambano ambalo kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' atatowa zawani ya vifaa vya mchezo wa ngumi kwa mshindi kati ya Nampepeche na Mazola

mapambano hayo ya kimataifa yameandaliwa na promota mkongwe Ally Mwazowa kutoka mkoa wa Tanga

siku hiyo kutakuwa na burudani mbalimbali zitakazo sindikiza mapambano hayo ya kimataifa ya mchezo wa masumbwi pia ngumi zitaanza mapema kuepusha usumbufu unaojitokezaga kwa wapenzi kuchelewa majumbani mwao kwa ajili ya mchezo wa masumbwi

siku hiyo pia kutakuwa na ugawaji wa zawadi kwa mabondia watakaocheza vizuri na kuonesa nidhamu ya mchezo wa masumbwi ikiwemo vifaa vya mchezo pamoja na DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi pamoja na kutamba shiria za mchezo uho nyingine zitakuwa zikiuzwa kwa galama nafuu kwa mashabiki watakaofika siku hiyo

Wednesday, May 11, 2016

BONDIA SAJJAD MEHRAB AWASILI KUMVAA THOMASI MASHALI MEI 14 TAIFA

Bondia  Sajjad Mehrab kutoka 'Irani' kulia akiwa na rais wa PST Emanuel Mlundwa pamoja na kocha wake baaa ya kutua nchini kwa ajili ya kugombania mkanda wa ubingwa wa Dunia na Thomas Mashali mei 14 katika uwanja wa ndani wa taifa picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia  Sajjad Mehrab kutoka 'Irani'  kulia akiwasili nchini kwa ajili ya mpambano wake wa ubingwa wa Dunia na Thomasi mashali mei 14 katika uwanja wa ndani wa Taifa
Bondia  Sajjad Mehrab kutoka 'Irani' akiongea na wahandishi wa habari mara baada ya kuwasili nchini kwa ajili ya mpambano wake wa ubingwa wa Dunia na Thomas Mashili utakaofanyika mei 14 katika uwanja wa ndani wa Taifa
picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia  Sajjad Mehrab kutoka 'Irani' akiwasili nchini kwa ajili ya mpambano wake wa ubingwa wa Dunia na Thomasi mashali mei 14 katika uwanja wa ndani wa Taifa

Bondia  Sajjad Mehrab kutoka 'Irani' akiwasili nchini kwa ajili ya mpambano wake wa ubingwa wa Dunia na Thomasi mashali mei 14 katika uwanja wa ndani wa Taifa

Thursday, May 5, 2016

BONDIA VICENT MBILINYI AJITAHALISHA NA MPAMBANO WAKE WA JUNE 4

Na Mwandishi Wetu

BONDIA Vicent Mbilinyi ameingia kambini rasmi kwa ajili ya mazoezi yake ya mpambano ujao atakapo zipiga na

Bondia Msafiri Haule katika mpambano wa raundi sita utakaofanyika juni 4 mwaka uhu katika ukumbi wa uwanja wa ndani wa taifa

Mbilinyi aliye chini ya kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' amejizatiti kushinda mpambano wake uho kwa kuwa amefanya mazoezi kwa mda mrefu na ajapigana katika jiji la Dar es salaam kwa mda hivyo mashabiki wake wakae mkaa wa kufuraia siku hiyo

aliongeza kwa kusema kuwa Mashabiki wake wategemee ushindi wa K.O mbaya sana aliongeza kwa kusema kuwa kama mashabiki watakumbuka mpambano wangu wa mwisho nilivyo msambalatisha Deo Njiku kwa K,O hivyo mwendeezo wangu utakuwa hivyo hivyo kwa huyo bondia

nae kocha wa kimataifa Rajabu Mhamila 'Super D' anaemnowa Mbilinyi amesema kuwa bondia huyo yupo fiti ata kama mpambano utapigwa leo kwa kuwa amefanya mazoezi ya muda mrefu na yakutosha akiwa chini ya kocha huyo ambaye jukumu lake alishii tu kwa ukocha pamoja na kumtangaza nje na ndani ya nchi na kumtafutia mapambano mbali mbali ambayo yanamwezesha kuendeleza kipaji chake hicho

mbali na mpambano uho siku hiyo kutakuwa na mapambano ya mabondia wa uzito wa juu nchini siku hiyo itajulikana kama  'Usiku wa Mahavy Weight' ambapo bondia Ashiraf Selemani kutoka Zanzibar atapanda uringoni kuzichapa na Mthailand wakati bondia mwingine Amour Mzungu kutoka Zanziba atazipiga na Japhert Kaseba

na mapambano mengine mbalimbali yatakayosindikiza usiku huo wa mabondia wa uzito wa juu nchini

MIKADA YA UBINGWA WA DUNIA WATAKAYOGOBANIA MASHALI/CHEKA YAWASILI NCHINI KUGOMBANIWA MAY 14 TAIFA

Mratibu wa mpambano wa ungingwa wa Dunia wa U.B.O Anton Rutta katikati akionesha mikanda ya ubingwa watakayogombania mabondia Cosmas Cheka atakaecheza na Fransic Kimani wa Kenya na Thomasi Mashali kulia akiwa na mkanda wa ubingwa wa Dunia atakaocheza na Sajjad Mehrab kutoka 'Irani' mpambano utakaofanyika uwanja wa ndani wa Taifa siku ya may 14 Picha na SUPER D BOXING NEWS
Mratibu wa mpambano wa ungingwa wa Dunia wa U.B.O Anton Rutta katikati akionesha mikanda ya ubingwa Dunia mbele ya waandishi wa habari awapo pichani watakayogombania mabondia Cosmas Cheka atakaecheza na Fransic Kimani wa Kenya na Thomasi Mashali kulia nae atagombania ubingwa wa Dunia atakaocheza na Sajjad Mehrab kutoka 'Irani' mpambano utakaofanyika uwanja wa ndani wa Taifa siku ya may 14 Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Cosmas Cheka akiongea na waandishi wa habari

Fransis Miyeyusho akiongea na waandishi wa habnari

Bondia Lulu Kayage akiongtea na waandishi wa habari

Mratibu wa mpambano wa ungingwa wa Dunia wa U.B.O Anton Rutta katikati akionesha mikanda ya ubingwa watakayogombania mabondia Cosmas Cheka atakaecheza na Fransic Kimani wa Kenya na Thomasi Mashali kulia akiwa na mkanda wa ubingwa wa Dunia atakaocheza na Sajjad Mehrab kutoka 'Irani' mpambano utakaofanyika uwanja wa ndani wa Taifa siku ya may 14 Picha na SUPER D BOXING NEWS

 Na Mwandishi Wetu
HOMA ya mpambano wa kimataifa umezidi kupamba mota baada ya leo kukutanishwa mabondia wote  wa Tanzania watakaocheza na wa nje kuongea na wahandishi wa habari
baada ya kuwasili mikanda ya ubingwa wa Dunia itakayo gombaniwa na mabondia wawili wa Tanzania akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari mlatibu wa mpambano uho Anton Rutta amesema mabondia wote wapo safi kwa ajili ya mpambano uho wa kimataifa ambapo bondia
Thomas Mashali 'Simba Asiyefugika' atakuwa anagombea ubingwa wa dunia kg 76 mkanda wa U.B.O na Sajjad Mehrab kutoka 'Irani'

nae Cosmas Cheka atakuwa akigombania ubingwa wa Dunia  wa U.B.O uzito wa super Fether kg 59  dhidi ya mkenya Fransic Kimani
 
Wakati mapambano mengine ya kimataifa yatawakutanisha mabondia 
 
 Mwanadada Lulu Kayage atakaezichapa na Chiedza Homakoma 'Nikita' wa Malawi  wengine ni Ramadhan Shauri atakaepambana na Osgood Kayuni wa Malawi wakati Twaha Kassim atapambana na Fred Nyakese kutoka Kenya na Saleh Mkalekwa atakumbana na Jems Onyango wa Kenya na Fransic Miyeyusho atavaana na Frank Kiwalabye wa Uganda na Nassibu Ramadhani atacheza na Edwrd Kakembo wa Uganda Abdalla Pazi 'Dula Mbabe' atavaana na  Chamunorwa Gonorenda kutoka Zimbabwe
mapambano mengini ya kitaifa yatawakutanisha  Shaban Kaoneka atakaecheza na Hassan Mwakinyo na Issa Nampepeche atakumbana na Baina Mazola

mapambano hayo ya kimataifa yameandaliwa na promota mkongwe Ally Mwazowa kutoka mkoa wa Tanga

siku hiyo kutakuwa na burudani mbalimbali zitakazo sindikiza mapambano hayo ya kimataifa ya mchezo wa masumbwi

siku hiyo pia kutakuwa na ugawaji wa zawadi kwa mabondia watakaocheza vizuri na kuonesa nidhamu ya mchezo wa masumbwi ikiwemo vifaa vya mchezo pamoja na DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi pamoja na kutamba shiria za mchezo uho nyingine zitakuwa zikiuzwa kwa galama nafuu kwa mashabiki watakaofika siku hiyo

MIKADA YA UBINGWA WA DUNIA WATAKAYOGOBANIA MASHALI/CHEKA YAWASILI NCHINI