Tuesday, August 19, 2014
DVD MPYA KUTOKA SUPER D BOXING COACH AND PROMOTION
DVD MPYA YA MAHASIMU WAWILI NI MADA MAUGO VS THOMAS MASHALI
Monday, August 18, 2014
KOCHA SUPER D AENDEREA KUMWAGA SUMU KWA VIJANA WA KAMBI YA ILALA
![]() |
| Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa Masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akiwaelekeza mabondia jinsi ya kupiga ngumi ya mkunjo wa chini 'upcut' wakati wa mazoezi yaliyofanyika katika kambi ya Ilala iliyopo Amana CCM hivi karibuni picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
![]() |
| Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa Masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimwelekeza bondia Lulu Kayage jinsi ya kupiga ngumi kwa kuingia ndani bila woga wakati wa mazoezi yaliyofanyika katika kambi ya Ilala hivi karibuni picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
![]() |
| Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa Masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akiwaelekeza mabondia wake jinsi ya kupiga ngumi yenye mkunjo wa chini 'Upcut' wakati wa mazoezi yaliyofanyika katika kambi ya Ilala hivi karibuni picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa Masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akiwaelekeza jinsi ya mkao wa kupiga ngumi nzuri za mkunjo
wakati wa mazoezi yaliyofanyika katika kambi ya Ilala hivi karibuni picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
wakati wa mazoezi yaliyofanyika katika kambi ya Ilala hivi karibuni picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa Masumbwi nchini Rajabu
Mhamila 'Super D' kushoto akimwelekeza bondia Lulu Kayage jinsi ya
kupangua ngumi kwa kuingia ndani bila woga wakati wa mazoezi
yaliyofanyika katika kambi ya Ilala hivi karibuni picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Wednesday, August 13, 2014
Maidana and the best boxing revenge stories
If Maidana can pull this off it would be one of the best revenge
stories in boxing history. Marcos knows he is going to have to throw
everything at Mayweather because he is unlikely to beat him on points.
Barring the final few rounds Maidana was hugely competitive at every
stage and doing enough to secure this rematch is an achievement in
itself. Floyd has only given one rematch previously in his entire career
when many thought Jose Luis Castillo had done enough to beat him. The
rematch was again extremely close but Maidana doesn’t want to let his
second chance slip through the net.
Read more at http://www.boxingnews24.com/page/3/#ALoM9IrvHCzuMpPW.99
Showtime Sports presents award-winning series “ALL ACCESS” in advance of “Mayhem: Mayweather vs. Maidana 2”
NEW
YORK (Aug. 12, 2014) – SHOWTIME Sports will offer the latest edition
of the award-winning original documentary series ALL ACCESS in advance
of the SHOWTME PPV event “MAYHEM: Mayweather vs. Maidana 2,” the
welterweight world championship rematch on Saturday, Sept. 13 from the
MGM Grand Garden Arena in Las Vegas.
ALL ACCESS: Mayweather vs. Maidana 2 premieres Saturday, Aug. 30, on SHOWTIME at 9:30 p.m. ET/PT and will be immediately followed by a special Saturday installment of ShoBox: The New Generation.
ALL ACCESS gives viewers intimate and exclusive coverage as Floyd Mayweather and Marcos Maidana prepare for the most highly anticipated rematch in recent memory. Episode 1 reveals the aftermath of their thrilling first fight and takes viewers inside the minds of both fighters for what will be only the second rematch Mayweather, the undefeated 11-Time World Champion, has ever granted.

Read more at http://www.eastsideboxing.com/#gZARtGysQx8sxkQA.99
Monday, August 11, 2014
BONDIA JUMANNE MASHOMBO AMGALAGAZA SALUMU GUMBO KWA POINT
| Bondia Jumanne Mashomba akinyooshwa mkono juu kuashilia mshindi na refarii Rajabu Mhamila 'Super D' baada ya kumpiga Salumu Gumbo kwa point |
Salumu Gumbo kushoto akipambana na Jumanne Mashombo wakati wa mchezo wao mashombo alishinda kwa point
Jumanne Mashombo kushoto akipambana na Salumu Gumbo wakati wa mchezo wao uliofanyika mwishoni mwa wiki Mashombo alishinda kwa point
wakisubili matokeo
NGUMI ZILIVYOPIGWA MBAGALA
Bondia Maulid Gogodigo kushoto akioneshana umwamba na Hassan Kidebe wakati wa mpambano wao uliofanyika Mbagala katika ukumbi wa Amenya Pub Kidebe alishinda kwa point mpambano huo picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Bondia Seleman Mkalakala kushoto akipambana na Ibrahim Maokola wakati wa mpambano wao wa ubingwa wa tpbc uliofanyika katika ukumbi wa amenya pub mbagala Maokola alishinda kwa K,o ya raundi ya nne katika mpambano huo picha na
www.superdboxingcoach.blogspot.com
www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Ibrahimu Maokola kushoto akikwepa konde la Seleman Mkalakala wakati wa mpambano wao wa kugombania ubingwa wa taifa unaotambulika na chama cha TPBC mwishoni mwa wiki iliyopita maokola alishinda kwa k,o ya raundi ya nne katika mpambano huo picha na
www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Ibrahimu Maokola akivalishwa mkanda na Habibu Kinyogoliwww.superdboxingcoach.blogspot.com
Maokola akishangilia baada ya kunyakua mkanda wa TPBC
Subscribe to:
Posts (Atom)

DVD YA BONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE'