Tangazo

Pages

Monday, August 11, 2014

NGUMI ZILIVYOPIGWA MBAGALA

 Bondia Maulid Gogodigo kushoto akioneshana umwamba na Hassan Kidebe wakati wa mpambano wao uliofanyika Mbagala katika ukumbi wa Amenya Pub Kidebe alishinda kwa point mpambano huo picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
 Bondia Maulid Gogodigo kushoto akioneshana umwamba na Hassan Kidebe wakati wa mpambano wao uliofanyika Mbagala katika ukumbi wa Amenya Pub Kidebe alishinda kwa point mpambano huo picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Seleman Mkalakala  kushoto akipambana na Ibrahim Maokola wakati wa mpambano wao wa ubingwa wa tpbc uliofanyika katika ukumbi wa amenya pub mbagala Maokola alishinda kwa K,o ya raundi ya nne katika mpambano huo picha na
www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Ibrahimu Maokola akivalishwa mkanda na Habibu Kinyogoli
Maokola akishangilia baada ya kunyakua mkanda wa TPBC

Sunday, August 10, 2014

NGUMI ZILIVYOPIGWA MWANANYAMALA CCM MWIJUMA



Bondia Fadhil Boika kushoto akipambana na Juma Biglee wakati wa mpambano wao Biglee alishinda kwa point mchezo uho picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Fadhil Boika kushoto akipambana na Juma Biglee wakati wa mpambano wao Biglee alishinda kwa point mchezo uho picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Mabondia Fadhili Boika kushoto na Jyma Biglee wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumaliza mpambano wao
Bondia Abdallah Pazi kushoto akimshambulia kwa makonde Maneno Osward wakati wa mpambano wao uliofanyika mwananyamala  Pazi alishinda kwa K,O ya raundi ya tatu picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Maneno Osward kushoto akipambana na Abdallah Pazi wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika ukumbi wa CCM Mwijuma mwananyamala Pazi alishinda kwa K,O ya raundi ya tatu picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Saturday, August 9, 2014

MABONDIA MANENO OSWARD NA ABDALLA PAZI WAPIMA UZITO KUZIPIGA KESHO JUMAPILI MWANANYAMALA CCM MWIJUMA

Mabondia Maneno Osward kushoto akitunishiana misuli na Abdallah Pazi baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika kesho jumapili katika ukumbi wa CCM Mwijuma Mwananyamala jijini Dar es salaam picha na WWW.SUPESDBOXINGCOACH.BLOGSPOT.COM
 bBondia Juma Biglee akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake kesho
 Bondia Abdallah Pazi akipima uzito kushoto ni Maneno Osward


MADA MAUGO ALIPA KISASI CHA KUIPIGWA NA THOMASI MASHALI

Bondia Thomasi Mashali kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Mada Maugo wakati wa mpambano wao uliofanyika Dar es salaam jana Maugo alishinda kwa point mpambano huo Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Said Memba kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Khalid Chokoraa wakati wa mpambano wao uliofanyika jana Chokoraa alishinda kwa point picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Khalid Chokora kushoto akilusha konde kwa saidi Memba wakati wa mpambano wao chokoraa alishinda kwa point
Bondia Thomas Mashali kulia akimrushia konde la mkono wa kulia bondia Mada Maugo wakati wa mpambano wao uliofanyika juzi katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam Maugo alishinda kwa point mpambano huo
picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com


Mabondia Mada Maugo kushoto na Thomas Mashali wakipambana ulingoni

Tuesday, August 5, 2014

BONDIA KHALID CHOKOLAA AJIANDAA NA TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI AGOSTI 8


Bondia Khalid Chokoraa kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Rashidi Juma wakati wa mazoezi yakw kwa ajili ya kujiandaa kupambana na  Said Memba katika mpambano wao utakaofanyika agosti nane wakati wa siku ya tamasha la matumaini Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Khalid Chokoraa akipiga beg wakati wa maandalizi ya kujiandaa na mchezo wake utakaofanyika agosti 8 picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com


Bondia Khalid Chokoraa kulia akimrushia konde Rashidi Juma wakati wa mazoezi yake ya kujiandaa na mpambano wake wa agosti 8 utakaofanyika katika uwanja mpya wa taifa jijini Dar es salaam
Bondia Khalid Chokoraa  kushoto akielekezwa jinsi ya kupiga upeercut na Ramadhani Jifasto wakati wa mazoezi yake yanayoenderea katika kami ya mwananyamala Dar es sa saal kwa ajili ya kujiandaa na mpambano wake na
Said Memba utakaofanyika Agosti 8 katika uwanja mpya wa taifa Dar es salaam picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Khalid Chokoraa
Bondia Khalid Chokoraa kulia akielekezwa na Ramadhani Jifasto jinsi ya kupiga ngumi nzito
Bondia Khalid Chokoraa
 na Rashidi Juma wakipambana mazoezini