Monday, May 13, 2013
Friday, May 10, 2013
SUPER D AFYATUA DVD TATU MPYA ZA MAFUNZO YA MASUMBWI
Kocha huyo wa kimataifa wa mchezo wa ngumi nchini,Rajabu Mhamila ‘Super
D’ ametoa DVD mpya 3 kwa ajili ya mafunzo ya mchezo wa ngumi ndani yake kukiwa na clips za mabondia wanaofanya vizuri Tanzania kama Thomas Mashali vs Fransic Cheka na mambondia wengine mbalimbali
CD hizo zilizotengenezwa kwa umakini wa ali ya juu ambazo zitakuwa chachu kwa ajili ya kuvutia wapenzi na mashabiki mbalimbali kujua mchezo wa masumbi wakiwa wanangalia live mana DVD hizo zina maelekezo ya sheria mbalimbali ambazo zinatumika katika masumbwi
DVD hizo kwa sasa zinapatikana katika makutano ya barabara ya Uhuru na Msimbazi au unaweza kuzipata jengo la Azam lililopo mtaa wa Msimbazi karibu na kituo cha Polisi Post Gelezani kwingine ni GYM ya Amana iliyopo Ilala au unaweza kuwasiliana na kocha kwa simu 0713406938 ili uweze kupata dvd hizo kwa ajili ya kujifunza zaidi mchezo huo
Mbali ya kupatikana katika maeneo hayo pia
katika mchezo mbalimbali ya masumbwi kutakuwa na CD na DVD za mafunzo wa mchezo
huo zenye mapambano makubwa ya mabondia wa ndani na nje ya nchi.
Aliongeza kuwa baadhi ya mapambano yaliyomo katika CD na DVD
hizo ni ya Kalama Nyilawila ,Japhert Kaseba,Rashidi Matumla, Hassani Matumla,Thomas Mashali Dhidi ya Francis Cheka, Mbwana Matumla na
Francis Miyeyusho,Japhert Kaseba na Maneno Oswald, Said Mundi na King Class Mawe. DVD MPYA ZA MASUMBWI HIZI HAPA
![]() |
| DVID MPYA ZA MASUMBWI KWA SASA ZIPO TAYARI KWA AJIRI KUPATA BURUDANI UKIWA NYUMBANI ZAID TUWASILIANE 0713406938 AU TEMBELEA www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Tuesday, May 7, 2013
BONDIA SAID MBELWA AMGALAGAZA SAID MKONDE KWA K,O
| Bondia Omari Zungu akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Haruna Sinondo wakati wa mchezo wao uliofanyika Chanika mwishoni mwa wiki iliyopita Sinondo alishinda kwa K,O raundi ya pili picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
| Bondia Said Mkonde kushoto akioneshana uwezo wa kurushiana makonde na Said Mbelwa wakati wa mpambano wao uliofanyika Chanika mwishoni mwa wiki iliyopita Mbelwa alishinda kwa K,o raundi ya pili picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
| Bondia Said Mkonde kushoto akioneshana uwezo wa kurushiana makonde na Said Mbelwa wakati wa mpambano wao uliofanyika Chanika mwishoni mwa wiki iliyopita Mbelwa alishinda kwa K,o raundi ya pil picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
| Bondia Chilambo Hemed kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana masumbwi na Boniface Urasa wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki Chanika Chilambo alishinda kwa point picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
| Bondia Said Mbelwa akipambana |
| Bondia Omari Zungu akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Haruna Sinondo wakati wa mchezo wao uliofanyika Chanika mwishoni mwa wiki iliyopita Sinondo alishinda kwa K,O raundi ya pili picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
| Refarii Saidi Chaku akimwinua mkono juu Bondia saidi Mbelwa kuashilia ni mshindi katika mpambano huo |
Monday, May 6, 2013
MAYWEATHER Jr AMCHAPA ROBERT GUERRERO KWA POINTI
Bondia Floyd Mayweather Jr (kushoto)
akimsulubu Robert Guerrero katika pambano la masumbwi kwenye Ukumbi wa
MGM Grand Garden, jijini Las Vegas, Marekani. Mayweather Jr alishinda
kwa pointi pambano hilo la kwanza tangu amalize kifungo cha miezi miwili
jela.
Mayweather Jr akiendelea kumuadabisha
Guerrero, kiasi cha majaji wote watatu kumpa ushindi sawasawa wa pointi
117-111 na kutwaa ubingwa wa Dunia wa WBC uzani wa ‘welter.’
Guerrero akiwa na jeraha juu ya jicho la kushoto lililotokana na makonde mazito ya Mayweather Jr.
Guerrero akipewa maelekezo na kocha
wake, wakati wa mapumziko ya moja ya raundi za pambano hilo, ambalo
alipigwa kwa pointi na kukiri mpinzani wake ni mjanja na ana kasi kubwa
ulingoni.
Mayweather Jr (kushoto), akikwepa fataki la kushoto kutoka kwa Guerrero katika pambano hilo.
Guerrero akiendelea kushambulia 'upepo'
kutokana na Mayweather Jr kuwa mbunifu katika kukwepa makonde yake kama
anavyoonekana pichani.
Mayweather akaweka mzaha kando na
kuanza kujibu mapigo, ambapo makombora yake yalikuwa yakitua sawasawa
mwilini mwa Guerrero, ingawa hayakuweza kumdondosha na kuishia kumuumiza
tu na kutokwa damu.
Guerrero akipokea konde zito la Mayweather. Baada ya pambano, Guerrero alikiri kushindwa na kumsifia mpinzani wake: "Nilimpiga
baadhi ya makonde mazuri. Lakini yeye ni bondia mkubwa na bora. Ni mjanja na mwepesi
mno ulingoni"
Mayweather Jr akiwa amebebwa baada ya
kutangazwa mshindi kwa pointi 177-111 kutoka kwa majaji watatu wa
mtanange huo ndani ya Ukumbi wa MGM Grand Garden, Las Vegas, Marekani.
Mayweather Jr (kulia mwenye kapero)
akishangilia ushindi wake na baba yake Mayweather Sr (kushoto), huku
wapambe wake wakinyanyua juu mikanda anayoishikilia baada ya ushindi
wake dhidi ya Guerrero.
Mayweather baada ya pambano hilo alisema: "Najisikia vibaya kwa sababu sikuweza kushinda kwa ‘knockout’
ambayo mashabiki wangu walikuwa wakitaka. Nilipigana kadri niwezavyo
kuhakikisha nashinda kwa ‘knockout,’ lakini hilo halikutokea ulingoni"
Sunday, May 5, 2013
Floyd Mayweather Jr akata ngebe za Robert “The Ghost” Guerrero
| Bondia Floyd Mayweather Jr kushoto akimrushia ngumi mfululizo Robert “The Ghost” Guerrero wakati wa mpambano wao uliofanyika alfajiri ya leo |
Wednesday, May 1, 2013
MPAMBANO WA MASUMBWI CHEKA AENDELEZA UBABE NCHINI
![]() |
| Bondia Fransic Cheka Kushoto akipambani na Thomas Mshali wakati wa mpambano wao uliofanyika katika sikukuu ya mei mosi katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam Cheka alishinda kwa KNOCKOUT raundi ya kumi Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
![]() |
| Bondia Fransic Cheka Kushoto akimshambilia kwa makonde ya nguvu Thomas Mshali wakati wa mpambano wao uliofanyika katika sikukuu ya mei mosi katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam Cheka alishinda kwa KNOCKOUT raundi ya kumi Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
![]() |
| Bondia Shabani Mhamila 'Star Boy' kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana masumbwi na Yusuph Jibaba wakati wa mpambano wao uliofanyika mei mosi katika ukumbi wa PTA Saba saba Dar es salaam Star Boy alishinda kwa KNOCKOUT raundi ya nne Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
![]() |
| Bondia Shabani Mhamila 'Star Boy' kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana masumbwi na Yusuph Jibaba wakati wa mpambano wao uliofanyika mei mosi katika ukumbi wa PTA Saba saba Dar es salaam Star Boy alishinda kwa KNOCKOUT raundi ya nne Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
![]() |
| Bondia Shabani Mhamila 'Star Boy' kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana masumbwi na Yusuph Jibaba wakati wa mpambano wao uliofanyika mei mosi katika ukumbi wa PTA Saba saba Dar es salaam Star Boy alishinda kwa KNOCKOUTraundi ya nne Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
![]() |
| Bondia Shabani Mhamila 'Star Boy' akishangilia ushindi uku akiwa amebebwa juu juu kama mkungu wa ndizi Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
![]() |
| Bondia Cosmas Cheka kushoto akipambana na Charles Mashali wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba siku ya mei mosi Cheka alishinda kwa ponti mpambano huo Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
![]() |
| Kocha wa Kimataifa wa Mchezo wa Masumbwi Rajabu Mhamila 'Super D' akimsindikiza wakati wa kupigana bondia Ibrahimu Class 'King class Mawe wakati wa mpambano wake na amos mwamakula |
![]() |
| Bondia Amos Mwamakula kushoto na Ibrahimu Class 'King Class mawe' wakisubili matokeo ambapo class alishinda kwa point Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
![]() |
| Bondia Thomas Mashali kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Fransic Cheka katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam Cheka alishinda kwa KNOCKOUT |
![]() |
| Shomari kimbau akiwa na Cheka baada ya kumvisha ubingwa wa IBF Africa aliokuwa akiutetea |
![]() |
| Rashidi Mhamila 'Ngade akiwa amepozi na Bady Boy wakati wa onesho hilo |
Subscribe to:
Posts (Atom)




























