Tangazo

Pages

Monday, September 17, 2018

BONDIA VICENT MBILINYI AMSAMBALATISHA SAIDI KIDEDEA KWA T.K.O RAUNDI YA 4

Bondia Said Kidedea kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Vicent Mbilinyi wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika uwanja wa ndani wa Taifa Mbilinyi alishinda kwa T.K.O ya raundi ya 4 Picha na SUPER D BOXING NEWS


Bondia Said Kidedea kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Vicent Mbilinyi wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika uwanja wa ndani wa Taifa Mbilinyi alishinda kwa T.K.O ya raundi ya 4 Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Vicent Mbilinyi kulia akipiga ngumi ya kulia kwa Saidi Kidedea  wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Mbilinyi alishinda kwa K.O raundi ya 4 Picha na SUPER D BOXING NEWS



Refarii Ramadhani Jifasto akimwinuwa mkono juu bondia Vicent Mbilinyi baada ya kumsambalatisha Saidi Kidedea kwa T.K.O ya Raundi ya 4 mwishoni mwa wiki iliyopita Picha na SUPER D BOXING NEWS

BONDIA VICENT MBILINYI NA TEAM YAKE AKIWA KATIKA PICHA YA PAMBOJA NA MPINZANI WAKE SAIDI KIDEDEA 

Friday, September 14, 2018

MABONDIA WAPIMA UZITO KUPIGANA KESHO SEPTEMBA 15 UWANJA WA NDANI WATAIFA


Promota wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu mhamila 'Super D' katikati akiwainuwa mikono juu mabondia Georger Dimoso kushoto na Abdallah Pazi 'Dula Mbabe' baada ya kupima uzito kwa ajili ya kuzipiga kesho jumamosi Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS

Mabondia Georger Dimoso kushoto akitambiana na Abdallah Pazi 'Dula Mbabe' baada ya upimaji wa uzito na Afya kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS



Promota wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' katikati akiwatambulisha mbele ya wahandishi wa habari mabondia Saidi Bakari 'Kidedea'  kushoto na Vicent Mbilinyi baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika jumamosi ya Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS

Mabondia Saidi Bakari 'Kidedea' kushoto akitunishiana misuli na Vicent Mbilinyi baada ya kumaliza kupima uzito katikati ni Promota Rajabu Mhamila 'Super D baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika jumamosi ya Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS


Promota wa mpambano wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' katikati akiwainuwa mikono juu mabondia Frank John kushoto na Bakari Mbede baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika katika uwanja wa ndani wa Taifa siku ya jymamosi Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Frank John kushoto akitunishiana misuli na Bakari Mbede wakati wa kupima uzito kwa mabondia hawo watazipiga siku ya jumamosi  Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS

Promota wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu mhamila 'Super D' katikati akiwainuwa mikono juu mabondiaImani Mapambano kushoto na Paul Kamata baada ya kupima uzito kwa ajili ya kuzipiga kesho jumamosi Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS

Mabondia Imani Mapambano kushoto akitambiana na Paul Kamata baada ya upimaji wa uzito na Afya kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS

Mabondia Saidi Zungu  kushoto akitambiana na Tonny Rashidi baada ya upimaji wa uzito na Afya kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS

Promota wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu mhamila 'Super D' katikati akiwainuwa mikono juu mabondia Saidi Zungu kushoto na Tonny Rashidi baada ya kupima uzito kwa ajili ya kuzipiga kesho jumamosi Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS


Promota wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu mhamila 'Super D' katikati akiwainuwa mikono juu mabondia Fred Sayunu kushoto na Haidary Mchanjo baada ya kupima uzito kwa ajili ya kuzipiga kesho jumamosi Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS

Mabondia Frdy Sayuni  kushoto akitambiana na Haidary Mchanjo baada ya upimaji wa uzito na Afya kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS


PROMOTA WA MPAMBANO WA MASUMBWI NCHINI RAJABU MHAMILA AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI

Wednesday, September 12, 2018

HOMA YA MPAMBANO WA MASUMBWI SEPTEMBA 15 TAIFA WAZIDI KUPAMBA MOTO

Na Mwandishi Wetu

YAKIWA wamebakia masaa machache sana kabla ya ule mtanange wa masumbwi utakao wakutanisha mabondia Haidary Mchanjo na Fredy Sayuni utakaofanyika Septemba 15 katika ukumbi wa uwanja wa ndani wa Taifa jumamosi hii

Mabondia hao wamendelea na mazoezi na sasa wapo tayali kwa mpambano uho akizungumza na mwandishi wa habari hizi mratibu wa mpambano uho Rajabu Mhamila 'Super D'  amesema kuwa maandalizi yote yamekamilika kwa sasa wanacho subili ni siku tu ya mpambano kwani mabondia wote wapo na molali ya hali ya juu ya kutaka kupigana

na akuna bondia yoyote alieleta malalamiko kuwa awezi kupanda ulingoni siku hiyo mabondia wote tulio ingia nao mkataba wa kuzipiga watapigana siku hiyo

mbali na mpambao uho unaosubiliwa kwa hamu na mashabiki lukuki kutakuwa na mapambano mengine ya kukata na shoka ambapo bondia

Abdallah Pazi 'Dula Mbabe' atazipiga na Georger Dimoso na Vicent Mbilinyi atavaana na Saidi Kidedea Hassani Mijugu na Martn Shekivuli Mohamedi Kashinde atakumbana na Sadiki Momba na Imani Mapambano na Paul Kamata wakati Frank John atazipiga na Bakari Mbede

Mpambano uhu umepewa Baraka zote na kamati ya kusimamia ngumi za kulipwa chini inayo ongozwa na Emanuel Saleh

mabondia wote watapima uzito na Afya katika soko la Vetenali lililopo Tazara siku ya Ijumaa na watacheza jumamosi katika uwanja wa ndani ya Taifa 'Indoor Stadium'

Monday, September 10, 2018

VICENT MBILINYI AJIFUA KUMPIGA K,O SAIDI KIDEDEA SEPTEMBA 15 UWANJA WA NDANI WA TAIFA

Bondia Idd Mkwela kushoto akipmbana na Vicent Mbilinyi wakati wa mazoezi ya Mbilinyi kujiandaa kuzipiga na Saidi Kidedea Septemba 15 katika ukumbi wa Uwanja wa Ndani wa Taifa 'Indoor Stadium' Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Shomari Milundi kushoto akipmbana na Vicent Mbilinyi wakati wa mazoezi ya Mbilinyi kujiandaa kuzipiga na Saidi Kidedea Septemba 15 katika ukumbi wa Uwanja wa Ndani wa Taifa 'Indoor Stadium' Picha na SUPER D BOXING NEWS


Bondia Vicent Mbilinyi akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Idd Mkwela wakati wa mazoezi ya Mbilinyi kujiandaa kuzipiga Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa kuzipiga na Saidi Kidedea Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Vicent Mbilinyi kushoto akioneshana umwamba wa kurushiana makonde na Shomari Milundi wakati wa mazoezi ya Mbilinyi kujiandaa kuzipiga na Saidi Kidedea Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS



Bondia Vicent Mbilinyi kushoto akioneshana umwamba wa kurushiana makonde na Shomari Milundi wakati wa mazoezi ya Mbilinyi kujiandaa kuzipiga na Saidi Kidedea Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Vicent Mbilinyi akipambana na Sunday Kiwale wakati wa kujiandaa na mpambano wake na Saidi Kidedea utakaofanyika Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa 'Indoor Stadium' Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Vicent Mbilinyi kushoto akipambana na Sunday Kiwale wakati wa mazoezi yake ya kujiandaa na mpambano wake na Saidi Kidedea Septemba 15 katika uwanja wa ndni wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS


VIGOMA VYA KEKO FURNITURE NA GOMS UNITED KUANZA IJUMAA KWENYE KUPIMA UZITO PALE SOKO LA VETENAL LILIOPO TAZARA KUKUTANA KATIKA MASUMBWI SEPTEMBA 15 TAIFA



FRED SAYUNI
Na Mwandishi Wetu 

Haidari Mchanjo
Katika ali isiyokuwa  ya kawaida kwa mashabiki wa michezo baada ya kucheza mashindano ya mpira wa miguu yajulikanayo kama Ndondo Cup sasa timu za Goms United na Keko Furniture zinakutana katika masumbwi ambapo Goms united inawakilishwa na bondia Haidari Mchanjo na Keko Furniture anatoka Fred Sayuni 
mashabiki wa mabondia hawo wamepanga kuanza shangwe zao siku ya ijumaa wakati wa kupima uzito kwenye soko la vetenal lililopo maeneo ya Tazara Dar es Salaam kuanzia saa nne na watacheza jumamosi katika uwanja wa ndani wa Taifa 'Indoor Stadium'

Mabondia pamoja na kambi zao watapima uzito ijumaa na watacheza siku ya jumamosi

ambapo kwa sasa yameshafanyikamaandalizi ya kutosha kwa mabondia wote kilichobaki ni mpambano tu kufanyika


Akizungumzia pambano hilo mratibu wa mapambano ya ngumi Rajabu Mhamila 'Super D'  kutoka kampuni ya kizalendo  ya Super D Boxing Promotion amesema kuwa siku hiyo kutakuwa na mapambano mbalimbali ya ngumi wakati Abdallah Pazi 'Dula Mbabe' atazipiga na Geoger Dimoso na Vicent Mbilinyi atavaana na Saidi Mpoma 'Kidedea' wakati Mohamedi Kashinde atakumbana na Sadiki Momba na Imani Daudi ataoneshana umwamba na Paul Kamata 

Na mpambano mwingine utawakutanisha Faraji Sayuni na Issa Nampepeche Ramadhani Shauri atakumbana na Said Amani wakati Mwinyi Mzengela atakumbana na Kassimu Rajabu 'Boxer Mnyama' Saidi Zungu na Tonny Rashidi Super D aliongeza kwa kusema kuwa mapambano hayo yote yataanza kuanzia saa 12 jioni ili zimalizike kwa wakati

mapambano hayo yameandaliwa na  kampuni ya ngumi za kulipwa ya Super D Boxing Promotion inayoendelea kuinuwa vipaji vya mabondia mbalimbali nchini ili kujikuzia kipato na kujiweka nafasi nzuri kwa mabondia kucheza kila wakati

Tuesday, September 4, 2018

BONDIA KIMWERI ATUA NCHINI KUSHUDIA MPAMBANO WA MCHANJO VS SAYUNI SEPTEMBA 15 UWANJA WA NDANI WA TAIFA

Na Mwandishi Wetu
 BONDIA Mtanzania anaefanya shughuli zake nchini austalia Omari Kimweriamewasili nchini kwa ajili ya kushudia mpambano kati ta Fred Sayuni na Haidari Mchanjo na amekuja na vifaa vya kupigania siku hiyo mabondia hawo watakaozipiga Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa

Kimweri amekuja na vifaa vitakavyo piganiwa ulingoni siku hiyo akizungumza na mwandishi wa habari hizi mratibu wa mpambano uho Rajabu Mhamila 'Super D' amesema kuwa Kimweri ametua nchini juzi kwa ajili ya pambano hili akiwa na vifaa vya kupigania siku hiyo 

mbali na pambano hilo rinalosubiliwa na mshabiki lukuki siku hiyo pia kutakuwa na mapambano mengine ya kukata na shoka ambapo bondia Abdallah Pazi 'Dula Mbabe' atakumbana na George Dimoso na bondia machachali Vicent Mbilinyi atavaana na Saidi Kidedea wakati Mohamedi Kashinde ata vaana na Sadiki Momba na Issa Nampepeche atakabiliana na Faraji Sayuni naBakari Mbede atakutana uso kwa uso na Frenk John

mapambano hayo yote na mengine yataanza saa 12 jioni yani itakuwa mapema ili ngumi hizo ziisha kwa wakati uliopangwa 

siku hiyo pia kutakuwa zikiuzwa DVD mpya za masumbwi ambazo zinaonesha mafunzo mbalimbali ya mchezo wa ngumi yanavyoanza hatua kwa hatua

mpaka kujua kitu kamili katika

mchezo huo pia kunakuwa na mapambano ya mabondia mabigwa wa dunia wa mchezo huo kama Floyd


Maywether, Manny Paquaio,mike Tyson, Mohamed Alli pamoja na mabambano ya ngumi ya ndani zilizo taharishwa na kocha maili wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' ambaye anajishughulisha na uzaji wa vifaa mbalimbali vya ngumi nchin

MBILINYI ANG'AKA KUPAKAZIWA ASISITIZA ANACHEZA TAIFA SEPTEMBA 15

Na Mwandishi Wetu


BONDIA machachali nchini Vicent Mbilinyi anatarajia kupanda ulingoni Septemba 15 katika ukumbi wa uwanja wa ndani wa taifa kuzipiga na Saidi Kidedea mpambano wa raundi 6 ambambo watakuwa wakisindikiza mpambano wa Fred Sayuni na Haidari Mchanjo

akizungumzia mpambano uho Mbilinyi amesema amejiandaa vya kutosha hivyo wamewataka mashabiki wake wasiwe na wasiwasi na maandalizi yake kwani yupo vizuri kila idara na anachotaka yeye ni ushindi wa K.O ya mapema ili asiwasumbuwe majaji watakaokuwepo siku hiyo

aliendelea kwa kusema kumeibuka n mapromota matapeli ambao wametengeneza mabango na kuweka picha yangu mimi na Cosmas Cheka kuwa nacheza siku hiyo mimi kama mimi ni bondia ninae jijua waeamuwa kunipaka matope na kuaribiana tu mimi sina mpambano na Cheka pambano ninalolijua mimi ni la taifa ninacheza na Saidi Kidedea ambapo nimesaini kwa Super D Boxing Promotion ambao ndio nimesaini nao kwa sasa

nae mratibu wa mpambano huo Rajabu Mhamila 'Super D' kutoka kampuni tanzu ya kizalendo ya Super D Boxing Promotion iliyo jizatiti kuendeleza shughuli za mipambano ya masumbwi nchini  alisema  mbali na pambano hilo rinalosubiliwa na mshabiki lukuki siku hiyo pia kutakuwa na mapambano mengine ya kukata na shoka ambapo bondia Abdallah Pazi 'Dula Mbabe' atakumbana na George Dimoso wakati Mohamedi Kashinde ata vaana na Sadiki Momba na Issa Nampepeche atakabiliana na Faraji Sayuni na Bakari Mbede atakutana uso kwa uso na Frenk John

mapambano hayo yote na mengine yataanza saa 12 jioni yani itakuwa mapema ili ngumi hizo ziishe kwa wakati uliopangwa 

siku hiyo pia kutakuwa zikiuzwa DVD mpya za masumbwi ambazo zinaonesha mafunzo mbalimbali ya mchezo wa ngumi yanavyoanza hatua kwa hatua

mpaka kujua kitu kamili katika

mchezo huo pia kunakuwa na mapambano ya mabondia mabigwa wa dunia wa mchezo huo kama Floyd


Maywether, Manny Paquaio,mike Tyson, Mohamed Alli pamoja na mabambano ya ngumi ya ndani zilizo taharishwa na kocha maili wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' ambaye anajishughulisha na uzaji wa vifaa mbalimbali vya ngumi nchini