Tangazo

Pages

Saturday, December 16, 2017

MABONDIA KIVU MAWE NA JACOBO MAGANGA WASAINI KUZIPIGA DESEMBA 31 TAIFA

Mabondia Kivu Abdi 'Kivu Mawe' kushoto akitunishiana misuli na Jacobo Maganga baada ya kusaini mkataba wa makubaliano ya kuzipiga desemba 31 katika uwanja wa ndani wa Taifa utakuwa ni mpambano wa kufunga mwaka na kufungulia mwaka Picha na SUPER D BOXING NEWS

Mabondia Kivu Abdi na Jacobo Maganga wakiangaliana kwa usomgo baada ya kusaini mkataba kwa ajili ya kuzipiga Desemba 31 katika ukumbi wa uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS
Mabondia Kivu Abdi na Jacobo Maganga wakiangaliana kwa usomgo baada ya kusaini mkataba kwa ajili ya kuzipiga Desemba 31 katika ukumbi wa uwanja wa ndani wa Taifa katikati ni promota Dotto Texas Picha na SUPER D BOXING NEWS
Promota Dotto Texas katikati akiwainua mikono juu mabondia Kivu Abdi na Jacobo Maganga wakati wa utambulisho wa mpambano wao wa Desemba 31 katika uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Kivi Adbdi akisaini mkataba wa kuzipiga na Jacobo Maganga mbele ya Promota Dotto Tesax kulia

Bondia Jacobo Maganga akisaini kuzipiga na Kivu Abdi mbele ya Promota Dotto Tesax