Tuesday, July 31, 2012
Monday, July 30, 2012
BONDIA IBRAHIMU CLASS AJIFUA KWA AJILI YA MPAMBANO WA IDI PILI
Bondia Ibrahimu Class kulia akipambana na Whence Haluni 'West Scopion' wakati wa mazoezi yanayoendelea katika kambi ya ilala Dar es salaam Class anajitarisha na mpambano wake na Simba Watundulu litakalofanyika Sikukuu ya Idi pili katika ukumbi wa Diamond Jublee. Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Bondia Ibrahimu Class kulia akipambana na Whence Haluni 'West Scopion' wakati wa mazoezi yanayoendelea katika kambi ya ilala Dar es salaam Class anajitarisha na mpambano wake na Simba Watundulu litakalofanyika Sikukuu ya Idi pili katika ukumbi wa Diamond Jublee. Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Bondia Ibrahimu Class kulia akipambana na Whence Haluni 'West Scopion' wakati wa mazoezi yanayoendelea katika kambi ya ilala Dar es salaam Class anajitarisha na mpambano wake na Simba Watundulu litakalofanyika Sikukuu ya Idi pili katika ukumbi wa Diamond Jublee. Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Sunday, July 29, 2012
KIDUNDWA ADUNDWA OLIMPIKI
Muhammad Ali, 2012 Summer Olympics, Boxing, Olympic Games, The Greatest of All Time, Parkinson's disease, Cassius Clay.

Boxer Muhammad Ali, left,
and his wife, Yolonda Williams, participate in the Opening Ceremony at
the 2012 Summer Olympics, Saturday, July 28, 2012, in London. (AP
Photo/Cameron Spencer, Pool)
MASHINDANO YA NGUMI OLIMPIC YAANZA KUTIMUA VUMBI LEO
London 2012 Olympics: boxing guide
Read Telegraph Sport's guide to the boxing event at the London 2012 Olympics.

Photo: PA
The male bouts are contested over three three-minute rounds - compared to professional fights which last 12 rounds. Female bouts take place over four two-minute rounds.
The fighter who knocks out an opponent or scores the most points wins. Boxers score one point for every punch they land with the marked part of their glove on their opponent’s head or upper body. If three of the panel of five judges hit electronic buttons within a second of each other the boxer is awarded a point.
Any boxer who moves more than 12 points ahead of an opponent automatically wins. This system differs from professional boxing where points are awarded based on each boxer’s overall performance in a round, not for each individual successful punch.
The boxer judged to have won the round (normally the fighter who lands the most quality shots) is given 10 points, while the loser receives nine points. If the fight goes to points, the winner is the one with the highest accumulated score (i.e. the fighter who won the most rounds) as decided by the judges.
Saturday, July 28, 2012
DVD MPYA ZA SUPER D BOXING COACH ZIPO SOKONI SASA

DVD zenye mapambano ya mabingwa wa Dunia
akiwemo Manny Paquaio, Floyd
Maywherth, Roy Jones ,DAVID HAYE,AMIR KHAN,DANNY GACILIA,DERCK
CHISORA,MUHAMED ALI,MIKE TAYSON na wengine kibao PAMOJA NA MPYA
MAPAMBANO YA HIVI KARIBUNI YOTE YA MABINGWA WA DUNIA ‘DVD’ hizo
zilizoandaliwa kwa
ubora wa hali ya juu na Kocha WA KIMATAIFA WA MCHEZO WA MASUMBWI
Rajabu Mhamila ‘Super ‘D’.
“Ninatarajia kuwapelekea DVD mashabiki wa
ngumi watakaokuwepo katika MAPAMBANO
mbalimbali ikiwa ni pamoja na KUJIFUNZA sheria za mchezo wa ngumi,” KATIKA DVD HIZO alisema Super
‘D’ KWA HABARI ZAIDI TEMBELEA
Super D Boxing Coach DVD ZA MAFUNZO YA MCHEZO WA NGUMI ZIPO MTAANI KWA
AJILI YA MAFUNZO YA MCHEZO HUO HIVI SASA KWA MATAJI YA JUMLA NA REJAREJA
PIGA SIMU 0787/0774/0715/0754/0733/0713-406938 AU FIKA BARABARA YA
UHURU NA MSIMBAZI 0652755838
BONDIA MTANZANIA ULINGONI OLIMPIKI KESHO JUMAPILI
Bondia
Selemani Kidunda katikati akiwa kwenye picha ya pamoja na wawakilishi
wengine wa Tanzania kwenye Olimpiki 2012. Kesho Kidunda anapanda
ulingoni kumvaa raia wa Moldova.
Baadhi
ya wawakilishi wa Tanzania kwenye mashindano ya Olimpiki 2012 jijini
London, wakishikilia bendera ya taifa wakati wa sherehe za ufunguzi juzi
Ijumaa.
Baadhi
ya wawakilishi wa Tanzania kwenye mashindano ya Olimpiki 2012 jijini
London, wakipozi kwa picha wakati wa sherehe za ufunguzi juzi Ijumaa.
LONDON, England
BONDIA wa ngumi za ridhaa, Mtanzania
Seleman Kidunda, kesho Jumapili anapanda ulingoni kuanza kupeperusha
bendera ya taifa kwenye mashindano ya Olimpiki yaliyozinduliwa juzi
Ijumaa jijini London.
Kidunda, 28, ambaye ni bondia pekee kupata
tiketi ya kucheza mashindano hayo katika mchezo wa ngumi za ridhaa
nchini, anapanda ulingoni kuumana na Belous Vasilii, 23 raia wa Moldova.
Mshindi kati ya Kidunda na Vasilii, atakuwa
na kazi ya ziada wakati atakapotakiwa kupanda tena ulingoni hapo Agosti
3, kuzipiga na Shelest Yuk wa Ukraine, ambaye yeye ameingia hatua ya
pili kutokana na ubora wake.
Pambano kati ya Kidunda na Vasilii ambalo
ni la uzzito wa Kilo 69, upande wa wanaume, litatanguliwa na mapambano
mengine 12 ya ngumi leo.
DVD MPYA ZA SUPER D BOXING COACH ZIPO SOKONI SASA

DVD zenye mapambano ya mabingwa wa Dunia
akiwemo Manny Paquaio, Floyd
Maywherth, Roy Jones ,DAVID HAYE,AMIR KHAN,DANNY GACILIA,DERCK
CHISORA,MUHAMED ALI,MIKE TAYSON na wengine kibao PAMOJA NA MPYA
MAPAMBANO YA HIVI KARIBUNI YOTE YA MABINGWA WA DUNIA ‘DVD’ hizo
zilizoandaliwa kwa
ubora wa hali ya juu na Kocha WA KIMATAIFA WA MCHEZO WA MASUMBWI
Rajabu Mhamila ‘Super ‘D’.
“Ninatarajia kuwapelekea DVD mashabiki wa
ngumi watakaokuwepo katika MAPAMBANO
mbalimbali ikiwa ni pamoja na KUJIFUNZA sheria za mchezo wa ngumi,” KATIKA DVD HIZO alisema Super
‘D’ KWA HABARI ZAIDI TEMBELEA
Super D Boxing Coach DVD ZA MAFUNZO YA MCHEZO WA NGUMI ZIPO MTAANI KWA
AJILI YA MAFUNZO YA MCHEZO HUO HIVI SASA KWA MATAJI YA JUMLA NA REJAREJA
PIGA SIMU 0787/0774/0715/0754/0733/0713-406938 AU FIKA BARABARA YA
UHURU NA MSIMBAZI 0652755838
Friday, July 27, 2012
AGOMBEA MKANDA WA AFRIKA WA IBF AKIPEPERUSHA BENDERA YA TANZANIA NCHINI NAMIBIA
Gottlieb Ndokosho kushoto akiwa kazini.
Mtanzania
Rajabu Maoja bondia mzoefu katika ngumi za kulipwa kutoka mkoa wa Tanga
atapanda ulingoni Septemba 1 kupimana ubavu na bondia Gottlieb Ndokosho
bingwa wa ngumi nchini Namibia.
Mpambano
huo unaofanyika katika jiji na Windhoek, nchini Namibia unawakutanisha
mabondia wawili ambao wanazimudu vizuri ngumi ulingoni. Hii ni mara ya
kwanza kwa bondia wa Kitanzania kugombea mkanda wa IBF katika bara la
Afrika nje ya nchi tangu mpambano katia ya Iraq Hudu na Ali Said wa
Kenya ulivyofanyika jijini Mombasa mwaka 2000.
Wawili
hao wataumana kwenye mpambano uliopewa jina la “The Battle for the
Kalahari Desert” (Vita ya Jangwa la Kalahari)na waandaaji wa mpambano
huo ambao ni Kinda Boxing Promotion chini ya promota Simon Nangolo wa
nchi ya Namibia. Namibia iko Kusini Magharibi mwa bara la Afrika
ikikingana na Afrika ya Kusini, Botswana na Angola.
Mtanzania
Rajabu maoja anatokea katika jiji la tanga na ni mkali aliyejijengea
umaarufu mkubwa katika masumbi hapa nchini. Maoja ni kati ya mabondia
wachache wenye majina yanayotishia maisha baadhi ya mabondia wenzake
katuka bara la Afrika.
Katika
uhai wake wa ngumi Maoja amepigana mapambano 31 akishinda 18 na
kupoteza kwa kiduchu mapambano 10 ambayo mengi sio yenye hadhi yoyote ya
kumharibia historia yake kwemey ngumi na kutoka sare mapmbano matatu
(3)
Naye bondia Gottlieb Ndokosho ambaye ni bingwa wa Namibia amepigana pambano 15 na kushinda 11 wakati amepoteza mapambano 3.
Mpambano
huo uliopewa jina la The Battle for the Kalahari Desert (Vita ya jangwa
la Kalahari) utasimamiwa na Rais wa Shirikiso la ngumi la Kimataifa
bara la Afrika, Mashariki ya kati na Ghuba ya Uajemi Mtanzania Onesmo
Ngowi. Aidha Ngowi ndiye Rais w kamiehsni ya Ngumi za Kulipwa nchini
(TPBC) na mkurugenzi wa ngumi wa baraza la Ngumi la Jumuiya ya madola.
Subscribe to:
Posts (Atom)