Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kulia akimnowa bondia Vicent Mbilinyi kwa kumwelekeza kupiga ngumi zilizo nyooka wakati wa mazoezi ya bondiahuyo ya kujiandaa na mpambano wake wa septemba 17 kuzipiga na George Owano wa Kenya mpambano utakaofanyika Carnivore Grounds, Nairobi Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Vicent Mbilinyi kushoto akinolewa na kucha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kujiandaa na mpambano wake wa septemba 17 kuzipiga na George Owano wa Kenya mpambano utakaofanyika Carnivore Grounds, Nairobi Picha na SUPER D BOXING NEWS
Na Mwandishi Wetu
BONDIA Vicent Mbilinyi amendelea amendelea kujinoa kwa ajili ya mpambano wake ujao dhidi ya
George Owano wa Kenya mpambano utakaofanyika katika ukumbi wa Carnivore Grounds, Nairobi
septemba 17
George Owano wa Kenya mpambano utakaofanyika katika ukumbi wa Carnivore Grounds, Nairobi
septemba 17
Mpambano uho wa kwanza kwa Mbilinyi utakaofanyika nje ya nchi na ni wakimataifa utakuwa wa raundi nane uzito wa kg 63.5
Bondia huyo anaenolewa na kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' amesema kuwa yupo tayali kwa ajili ya mpambano uho kwana ana shaka kwa kuwa mbinu zote anazijua na siri ya ushindi wake itakuwa ni si vinginevyo
ndio mana ameamua kuwa katika kambi ya Super D Coach Uhuru GYM kwa ajili ya kunolewa kwa mpambano uho ujao
nae kocha wa bondia huyo aliongeza kwa kusema kuwa Mbilinyi kwa saa yupo fiti kila idara kilichobakia kwa sasa ni mazoezi ya kupigana wenyewe kwa wenyewe kwa ajili ya kuondoa uoga wa macho wakati wa mchezo
aliongeza kwa kusema Super D kuwa Mbilinyi ni bondia wake mwingine anaekwenda nje ya nchi wa kwanza alikuwa Ibrahimu Class 'King Class Mawe' alienda Zambia na kufanikiwa kushinda kwa kurudi na ubingwa wa WPBF Afrika mwingine Ni mwana Dada Lulu Kayake aliyenda Afrika ya kusini na kurudi na ushindi
Hivyo mabondia wangu wote wanapokwenda nje ya nchi wa mara ya kwanza wanarudi na ushindi ndivyo itakavyokuwa kwa Mbilinyi ni wakati wake sasa
No comments:
Post a Comment