Tangazo

Pages

Saturday, March 1, 2014

BERNARD MWAKASANGA AJIFUA KUMKABILI IDI BONGE MARCH 23

Bondia Bernard Mwakasanga 'Shoka ya Bucha ' wa uzito wa juu akipiga panch bag kwa ajili ya maandalizi ya mpambano wake na Idi Kipandu 'Idi Bonge' mpambano utakaofanyika katika ukumbi wa frends corner Manzese March 23 picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com


Bondia Bernard Mwakasanga 'Shoka ya Bucha ' wa uzito wa juu akipiga panch bag up cat kwa ajili ya maandalizi ya mpambano wake na Idi Kipandu 'Idi Bonge' mpambano utakaofanyika katika ukumbi wa Frends corner Manzese March 23 picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com


Bondia Bernard Mwakasanga 'Shoka ya Bucha ' wa uzito wa juu akijifua kwa ajili ya mpambano wake na Idi Bonge March 23 Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com


Bondia Bernard Mwakasanga 'Shoka ya Bucha ' wa uzito wa juu akinua chuma  kwa ajili ya mpambano wake na Idi Bonge March 23 Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Na Mwandishi Wetu
Bondia Bernard Mwakasanga 'Shoka ya Bucha ' wa uzito wa juuameingia kambini kwa ajili ya kujifua kuwinda mpambano wake wa march 23 katika ukumbi wa frends corner Manzese Dar es salaam
 ambapo atapambana na Iddi Kipandu 'iddi Bonge' mpambano huo ambao unasubiliwa kwa hamu kubwa sana na mashabiki mbalimbali wa mchezo huo sasa homa yake imezidi kupamba moto baada ya kila mmoja kumtambia mwenzake kuwa atammaliza raundi za awali

akizungumza katika GYM yake iliyopo Gongolamboto Mwakasanga ameseme Iddi Bonge ni kama nyama ya bucha hivyo mimi ni shoka nitapasua kichwa chake hivyo watu waje wajionee ninavyo fungua bucha manzese siku hiyo

mpambano huo ambao utakuwa na mapambano makali ya utangulizi kwa mujibui wa mratibu wa mpambano huo Waziri Rosta ameongezea kuwa bondia Fadhili Mjia 'stoper' ataoneshana kazi na Juma Selemani uku Twalibu Mchanjo akikutana na Mohamed Babeshi, wakati Hassani Mandula akipambana na Ally Bugingo mpambano mwingine utawakutanisha Amani Bariki na Selemani Motto, na Halidi Manjee akioneshana umwamba na Shabani Mtengela huku Mustafa Dotto akizichapa na Ismail Ndende na Salimu Chagogo atazikunja na Salumu Kombe 

aliongeza kuwa ulizi na usalama wa mali zako ni wa huwakika hivyo familia nzima nmnawza kuja kushudia mpambano huo wa masumbwi bila shaka 

Katika mpambano huo siku hiyo kutakuwa na uzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi  kali pamoja na kutambua sheria zake zikiwa na mabondia wakali kama vile
Floyd Mayweathar,Manny Paquaio, Saul 'canelo' alverez ,Mike Tyson,Mohamed Ali,Ferex Trinidad,Miguel Cotto na wengine wengi
pia kuta kuwa na vifaa vya mchezo vitakaokuwa vikitolewa na Rajabu Mhamila 'Super D' kwa mabondia watakaofanya vizuri siku hiyo na vingine kuuzwa kwa pesa taslimu na kocha huyo kwa ajili ya kuamasisha

No comments:

Post a Comment