ALLY MWAZOA PROMOTA |
WADAU wa mchezo wa masumbwi nchini Tanzania wamejitokeza kuwa walinzi wa mapambano yaliyo andaliwa na promota Ally Mwazoa yatakayoanza march 29, april 26 na mei mosi katika ukumbi wa PTA Sabasaba akizungumzia mpambano wa Japhert Kaseba na Thomas mashali mpambano ambao umebakiza siku chache tu ili ufanyike
Mwazoa aliwashukulu wadau hawo ambao wamejitokeza kwa ajili ya ulinzi wa ali ya juu utakaofanyika siku hiyo kwa mabondia na wadau wenyewe kukubali kulipa kiingilio na kufanya ulinzi wa kila kona katika ukumbi huo
ambapo klabu mbalimbali za ngumi kutoka Temeke Ilala Kinondoni na Tanga pamoja na mikoa ya jirani na wadau wamejitokeza kuthibiti fujo mbalimbali ambazo zitajitokeza siku hiyo pia wale ambao wamedhamilia kufanya fujo siku hiyo kutakuwa na askari kanzu mbalimbali hivyo watapata kipondo cha ali ya juu pamoja na kutupwa lupango

Mwazoa aliongeza kwa kusema siku hiyo kutakuwa na kamera maalumu zitakazofungwa kila upande wa ukumbi huo ili kuona matukio mbalimbali ya nje na ndani yatakayokuwa yakiendelea ili kuthibiti vitendo vya uhuzwaji wa tiketi feki na kuingia kiolela na kusababisha asara kwa promota na washiliki katika tukio zima
aliongeza kuwa siku hiyo kutakuwa na mapambano ya utangulizi makali ambapo bondia Haji Juma atavaana na Juma Fundi wakati Fred Sayuni atapambana na Rajabu Mahoja na Zuber Kitandula atamenyana na Issa Omar wakati Bakari Dunda ataoneshana ubabe na Baina Mazola
Mwazoa
aliongeza kuwa ulizi na usalama wa mali zako ni wa huwakika hivyo familia nzima mnaweza kuja kushudia mpambano huo wa masumbwi bila shaka
Katika mpambano huo siku hiyo kutakuwa
na uzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi kali pamoja na kutambua sheria
zake zikiwa na mabondia wakali kama vile
No comments:
Post a Comment