Tangazo

Pages

Wednesday, March 19, 2014

YUSUPH MLELA AIBUKIA KATIKA MASUMBWI NA KUTOA VIFAA VYA MCHEZO HUO

Msanii wa filamu nchini Yusuph Mlela kushoto akikabidhi vifaa mbalimbali kwa kocha wa klab ya Msisiri Daudi Muhunzi ikiwa ni uboreshwaji wa klab hiyo iliyopo CCM Msisiri Kinondoni Dasr es salaam katikati ni mdau wa mchezo huo Ally Moja Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Msanii wa filamu nchini Yusuph Mlela kushoto akikabidhi vifaa mbalimbali vya mchezo wa ngumi kwa kocha wa klab ya Msisiri Daudi Muhunzi ikiwa ni uboreshwaji wa klab hiyo iliyopo CCM Msisiri Kinondoni Dar es salaam  wa pili kulia ni Ally Moja na Rashid Kipaga Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com


Msanii wa filamu nchini Yusuph Mlela kushoto akikabidhi vifaa mbalimbali vya mchezo wa ngumi kwa kocha wa klab ya Msisiri Daudi Muhunzi ikiwa ni uboreshwaji wa klab hiyo iliyopo CCM Msisiri Kinondoni Dar es salaam  wa pili kulia ni Ally Moja na Rashid Kipaga Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Na Mwandishi Wetu
Msanii wa filamu za bongo Yusuph Mlela ameibukia katika mchezo wa masumbwi nchini kwa kukabidhi msaada wa vifaa mbalimbali vya mchezo wa ngumi

kama vile Glove,Clip bandeji,Proctecta,GumShit kwa klabu ya msisili iliyopo kinondoni Dar es salaam akizungumza mara baada ya kukabidhi msaada wa vifaa hivyo Mlela alisema nimevutiwa na vijana wenzangu jinsi wanavyojituma kufanya mazoezi hivyo nikaamua kujitolea kidogo nilicho nacho kwa ajili ya kuendereza mchezo huu wa masumbwi

katika kata yangu ambapo mimi naishi karibu na maeneo haya hivyowalivyo niomba nichangie nikawa sina jinsi kwa kuwa na mimi mwenyewe siku moja moja nitakuwa nakuja kufanya mazoezi hapa hapa nawaomba wadau wengine wenye uwezo zaidi yangu ata ambao wapo kama mimi wasaidie vijana kwa ajili ya kujiendeleza na mchezo huu waupendao

Nae kocha wa mchezo wa ngumi katika Klabu ya Msisiri Daudi Muhunzi alitoa shuklani zake kwa Mlela kuwakumbuka vijana wenzie ambao walikuwa na huaba wa vifaa vya ngumi kwani yeye amekuwa kama mkombozi katika kata hiyo

aliongeza kwa kusema tunaomba wadau wengine waje watusaidie vifaa mbalimbali kama punch bag,pad na maswala ya hudhamini wa  muda mrefu   kwa ajili ya kuendereza gym hii ambayo tunaitumia kwa kuchangia kidogo 

No comments:

Post a Comment