Tangazo

Pages

Friday, November 2, 2012

MPAMBANO WA CHEKA NA MJERUMANI WAFUTWA.


Francis Cheka (kulia) kwenye moja ya mapambano yake.
Mpinzanai wa bondia Francis Cheka toka Ujerumani, Benjamin Simon ambaye walikuwa wapambane tarehe 18 Decemba kugombea mkanda wa IBF wa mabara ameumia na mpambano wao umefutwa.Meneja wa Simon, bwana Robert Dolle ambaye naye ni bondia pia ameiarifu IBF kuwa walikuwa wanangoea kujua kama kweli hataweza kucheza ndio watoe taarifa hiyo. Ifuatayo ni nakala ya meseji ya email toka kwa Robert Dolle:

No comments:

Post a Comment