Tangazo

Pages

Saturday, November 17, 2012

MIKE TYSON AOGOPA DUBU

tyson2 Mike Tyson talks Graff
MIKE TYSON
BONDIA WA ZAMANI Aliyewai kuwa bingwa wa Dunia wa Uzito wa juu Duniani Mike 'Iron' Tyson kumbe nae ni muoga .

Akitembelea Australia kwa mara ya kwanza , bingwa wa zamani wa uzito wa juu duniani alimwogopa dubum mdogo wakati alipopelekwa sehemu walipo wanyama.

Tyson aliwai kujiita mtu mbaya Zaid Duniani alionekana kushikwa na woga na kusema ' Wanyama wazuri wakati mwingine ubadilika' Tyson alisema 

Alimwona dubu mmoja akiwa amepooza na aliwaambia watu aliokuwa nao katika msafara kuwa inawezekana ajisikii vizuri na kueleza kuwa wanyama hawo wakati mwingine huwa na bakteria

Tyson alitembelea nchi hiyo ikiwemo mji wa Brisbane ambako kuna wanyama aina ya dubu

No comments:

Post a Comment