Tangazo

Pages

Sunday, November 11, 2012

BONDIA COSMAS KIBUGA AGALAGAZA HUSEI MACHAFUKO KWA K,O


Bondia Cosmas Kibuga kulia akimtupia konde zito bondia Husein Machafuko wakati wa mpambano wao wa masumbwi uliofanyika Manzese Dar es salaam mwishoni mwa wiki Kibuga alishinda kwa K,O raundi ya tatu picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments:

Post a Comment