Tangazo

Pages

Wednesday, November 21, 2012

BONDIA MIKE TYSON ANDELEA KUSHIKA REKODI KUPIGA K,O NZURI



tyson2 Mike Tyson talks Graff BONDIA Mike Tayson amendelea kushika rekodi ya kupiga mabondia aliokutana nao ka K.O za raundi za mwanzo mwanzo ambapo mpaka sasa akuna bondia aliyeweza kuifunja rekodi yake hiyo pia  ni bondia pekee aliyewai kutawazwa kuwa bingwa wa Dunia wa uzito wa juu akiwa na umri mdogo kuliko wote duniani

No comments:

Post a Comment