Tangazo

Pages

Tuesday, September 9, 2014

MABONDIA PASCO NDOMBA NA FRANSIC CHEKA KUZIPIGA 1/11/2014 SABA SABA MOROGORO

Chama cha ngumi Tanzania profession boxing commission (tpbc) kimeidhinisha pambano
la ngumi kati ya francis cheka na pasco ndomba,ambalo litafanyika trh 1/11/2014 katika ukumbi wa uwanja wa sabasaba mjini morog
oro.Cheka na mpinzani wake walisaini  chini ya kampuni cheka promotion, rais wa tpbc akishuhudia Chaurembo Palasa rais Wa tpbc.

siku hiyo pia kutakuwa zikiuzwa DVD mpya za masumbwi ambazo zinaonesha mafunzo mbalimbali ya mchezo wa ngumi yanavyoanza hatua kwa hatua

mpaka kujua kitu kamili katika mchezo huo pia kunakuwa na mapambano ya mabondia mabigwa wa dunia wa mchezo huo kama Floyd Maywether, Manny Paquaio,mike Tyson, Mohamed Alli pamoja na mabambano ya ngumi ya ndani


No comments:

Post a Comment