Tangazo

Pages

Tuesday, April 3, 2012

MFUKO WA PESHENI WA LAPF WAPIGA TAFU KAMBI YA MASUMBWI


Meneja Mawasiliano na Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, Andrew Kuyeyana (kulia) akimkabidhi baadhi ya vifaa vya mchezo wa Masumbwi kwa Katibu wa Shirikisho la Ngumi za Ridhaa Nchini (BFT) Makore Mashaga Dar es salaam Leo, Kwa ajili ya mabondia wanaojiandaa kufuzu mashindano ya Olimpic katikati ni Katibu Mkuu wa Balaza la Michezo Tanzania (BMT), Henry Lihaya.(Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)
Meneja Mawasiliano na Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, Andrew Kuyeyana (kulia) akimkabidhi baadhi ya vifaa vya mchezo wa Masumbwi kwa Katibu Mkuu wa Balaza la Michezo Tanzania (BMT), Henry Lihaya katikati ni Katibu wa Shirikisho la Ngumi za Ridhaa Nchini (BFT) Makore Mashaga Dar es salaam , Kwa ajili ya mabondia wanaojiandaa kufuzu mashindano ya Olimpic
Meneja Mawasiliano na Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, Andrew Kuyeyana (kulia) akimkabidhi baadhi ya vifaa vya mchezo wa Masumbwi kwa Katibu wa Shirikisho la Ngumi za Ridhaa Nchini (BFT) Makore Mashaga Dar es salaam jana, Kwa ajili ya mabondia wanaojiandaa kufuzu mashindano ya Olimpic katikati ni Katibu Mkuu wa Balaza la Michezo Tanzania (BMT), Henry Lihaya.(Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)

No comments:

Post a Comment