Tangazo

Pages

Monday, April 9, 2012

MANEO OSWARD ANYAKUA NGAO YA PASAKA KWA KUMDUNDA RASHIDI MATUMLA


Bondia Maneno Osward akishangilia ushindi na washabiki wake katikati ni Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Temeke Sedoyeka Thomas na Mratibu wa burudani katika Ukumbi wa Dar Live Juma Mbizo
Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Temeke Sedoyeka Thomas na Mratibu wa burudani katika Ukumbi wa Dar Live Juma Mbizo wakimpatia ngao ya pasaka BOndia Maneno Osward baada ya kumdunda Rashidi Matumla jana (PIcha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)
Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Temeke Sedoyeka Thomas na Mratibu wa burudani katika Ukumbi wa Dar Live Juma Mbizo wakimpatia ngao ya pasaka BOndia Maneno Osward baada ya kumdunda Rashidi Matumla jana.(picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)
Refarii Antoni Luta akimfuta damu bondia Maneno Osward baada ya kuchanika jichoni jana wakati akipambana na bondia RAshidi Matumla
Mabondia Maneno Osward kushoto na Rashidi Matumla wakioneshana uwezo wa kutupiana masdumbwi wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa Dar Live Dar es alaam jana.(Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)
Mabondia Maneno Osward kushoto na Rashidi Matumla wakioneshana uwezo wa kutupiana masdumbwi wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa Dar Live Dar es alaam jana.(Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia wakike Furaha Nganda kulia akimsukumizia masumbwi mfururuzo bondia Jamuhuri Saidi wakati wa mpambano wao uliofanyika Dar LIve DAr es salaam jana Nganda alishinda kwa point.(PIcha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)
Bondia Furaha Nganda kushoto akimfurumushia mangumi bondia Jamuhuri SAidi wakati wa mpambano wao uliofanyika Dar Live DAr es salaam jana Nganda alishinda kwa point.(PIcha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)Bondia wakike Furaha Nganda kulia akimsukumizia masumbwi mfururuzo bondia Jamuhuri Saidi wakati wa mpambano wao uliofanyika Dar LIve DAr es salaam jana Nganda alishinda kwa point.(PIcha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)Bondia wakike Furaha Nganda kulia akimsukumizia masumbwi mfururuzo bondia Jamuhuri Saidi wakati wa mpambano wao uliofanyika Dar LIve DAr es salaam jana Nganda alishinda kwa point.(PIcha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)
Mpambano wa wanawake ukiendelea
Baadhi ya wageni rasmi wakiangalia
Bondia Alphonce Mchumiatumbo akipambana na Abasi Ali jana.(PIcha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)

No comments:

Post a Comment