mpambano uho ni wa kwanza kuchapwa baada ya kutawazwa kuwa bingwa wa WBF mkanda ambao anaushikilia mpaka hivi sasa katika mpambano huo pia alicheza mtanzania m
wingine Alani Kamote na kupoteza kwa k,o ya rauni ya pili mabondia hawo kwa sasa wanafunga dimba kwa mwaka huu kwa kufanywa magunia ya mazoezi punch bag
ambapo tangia mwaka uhuu uanze zaii ya mabondi 16 wamesafili na kwenda kupigana nche lakini akuna ata mmmoja aliyerudi na ushindi zaidi ya kumaliza raundi na kupigwa kwa point ata hivyo mabondia hawa wakijengewa utaratibu wa kuwekewa kambi kwa ajili ya mazoezi ili wafanye vizuri mapambano ya nje na ndani kaili yanavyo patikana
No comments:
Post a Comment