Tangazo

Pages

Friday, January 30, 2015

NGUMI KUPIGWA JANUARY 31 MANZESE

Bondia Issa Nampekecha kushoto akitunishiana misuli na Nassibu Ramadhani baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao kesho jumamosi ya january 31 kwa ajili ya kugombania ubingwa wa UBO Africa katika ukumbi wa frends corner Manzese katikati ni mratibu wa mpambano huo Antony Rutta Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Mohamed Matumla kushoto akitunishiana misuli na Emilio Norfat baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika katika ukumbi wa Frends corner manzese Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS
Na Mwandishi Wetu

BONDIA Nassibu Ramadhani na Issa Nampekecha wamepima uzito leo kwa ajili ya mpambano wao wa ubingwa UBO Africa

utakaofanyika katika ukumbi wa frends corners Dar es salaam siku ya jumamosi januaru 26 mpambano huo wa raundi kumi

unategemea kuwa na upinzani wa ali ja juu baada ya kila bondia kumtambia mwenzake kuwa atamshinda katika mpambano

huo na kumbwaga mwenzie

mpambano huo wa ubingwa wa raundi kumi utakuwa ukisindikizwa na bondia Mohamed Matumla na Emilion Norfati wa Mosha

ambao utakuwa wa raundi nane
mpambano huo uliobeba hisia za mashabiki wa ngumi Dar es salaam nzima haswa katika vitongoji vya Mwananyamala manzese na Mabibo

kwa upande wa Issa Nampekecha ambaye anatoka maendeo ya Kinondoni pande za mwananyamala amawaadi mashabiki zake kumsambalatisha nassibu Ramadhanikatika raundi za awari nae Ramadhani amesema kuwa ngoma ya kitoto aikeshi  kwa kuwa Issa ni bwana mdogo sana hivyo sito kaa kumfikilia yeye kwa kuwa ile ni njia ya kupita ili nipate kupambana na mabondia ambao nawaitaji kwa ajili ya kulekebisha rekodi yangu vizurisiku hiyo kutakuwa na uzwaji wa DVD za ngumi  mabingwa wa Dunia akiwemo mpya za masumbwi kati ya bondia Amir Khan vs Nichlaus Maidana na Floyd mayweather vs Nichlaus Maidana one and two Manny Paquaio, Floyd Maywether, Roy Jones,Miguel Cotto,Linox Lewis, David Haye,Mohamed Ali

na wengine wengi DVD hizo zilizoandaliwa kwa ubora wa hali ya juu zitakuwa zikiuzwa kwenye mpambano huo na Kocha wa Kimataifa wa mchezo huo. Rajabu Mhamila ‘Super D’, alisema kuwa kutakuwa na DVD ili kuweza kuwauzia mashabiki kwa ajili ya kujifunza Kanuni na Sheria za mchezo huo.

MAYWEATHER, PACQUIAO WAKUTANA USO KWA USO NA KUSALIMIANA Pacquiao na Mayweather Mayweather akisalimiana na Manny Pacquiao Mabondia Floyd Mayweather na Manny Pacquiao wameudhihirishia ulimwengu kuwa uhasama uliopo kati yao ni wa ulingoni na sio sehemu nyingine, hiyo ni baada ya kukutana uso kwa uso na kusalimiana kama vile sio mahasimu wakubwa. Mabondia hao wanaoshikilia mataji makubwa ya ndondi, walikutana katika uwanja wa American Airlines usiku wa kuamkia leo(Jan27) wakati wa mchezo kati ya timu ya mpira ya Miami Heat na Milwaukee Bucks katika mchezo uliomaliza kwa Bucks kushinda kwa jumla ya vikapu 109 – 102 dhidi ya Heat. Mbali na mchezo huo, mashabiki na wapenzi wa masumbwi Duniani kote wamekuwa wakisubira kwa hamu mpambano wa wawili hao ambao wamekuwa wakitambiana kwa kipindi kirefu unaotajwa kufanyika mwezi Mei mwaka huu. Watazame hapo chini wakisalimiana Posted by Richard Mwaikenda at Thursday, January 29, 2015 0 comments Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to Pinterest 2FACE ANASWA NA MCHEPUKO Mwanamuziki wa Nigeria, Innocent Idibia ‘2face’ amejikuta katika wakati mgumu baada ya picha zinazomuonyesha akifanya mambo ya chumbani na mwanamke mwengine katika klabu yake ya usiku kuzagaa kama njugu kwenye mitandao mbalimbali. 2face na Annie siku ya harusi yao 2face na Annie siku ya harusi yao Kwa mujibu wa tovuti moja ya udaku nchini humo, imedai mwanamke anayeoneka katika picha hiyo ni mama wa watoto wa tatu wa 2face anayeitwa Pero Adeniyi, ambaye amekuwa akipigwa vita mara kwa mara na mke wa ndoa wa mwanamuziki huyo ‘Annie Idibia’ aliyezaa nae watoto wawili wa kike. 2face mwenye umri wa miaka 39, ameamua kuzima soo hilo kwa ku-post picha kwenye ukurasa wake wa Instagram akiwa na mke wake katika siku yao ya harusi na kuwataka watu wasipende kuingilia mapenzi yao kwani watakuja kuujua ukweli na utawaweka huru. ”Our love does not have 2 make sense 2 u. pls go on with your perfect life and know the true story behind something before u judge and start making nasty comments based on an orchestrated story by some blog.U shall know the truth and the truth shall set u free.LYTID uwana idibia”,aliandika 2face 2face Idibia 2face na katika mapozi tofauti ya kimahaba na mzazi mwenzie,Pero Adeniyi. Posted by Richard Mwaikenda at Thursday, January 29, 2015 0 comments Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to Pinterest MAGAZETI YA LEO ALHAMISI . . . . . . . . . . . . . . . DSC08790 . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . DSC08804 . . . . DSC08807 . . . DSC08811 . . . . . DSC08810 . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Posted by Richard Mwaikenda at Thursday, January 29, 2015 0 comments Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to Pinterest Newer Posts Older Posts Home Wanaotembelea Blogu hii Sparkline 2141575 MATOKEO YA KIDATO CHA PILI MATOKEO YA KIDATO CHA PILI BOFYA HAPA KUTAZAMA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE HAYA HAPA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2013 HAYA HAPA Tanzania National Flag Tanzania National Flag Time Dar es Salaam The Digital Company The Digital Company Mtayarishaji: Mtayarishaji: Richard Mwaikenda BONGO HITS Find more music like this on GongaMx Blog Archive

Copy and WIN : http://bit.ly/copynwin

No comments:

Post a Comment