Tangazo

Pages

Thursday, January 29, 2015

MABONDIA WAPIMA UZITO KUINGIA URINGONI KESHO IJUMAA 30 JANUARY

Mabondia Julius Kisarawe kushoto akitunishiana msuli na Abdallah Mkumba baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa kesho ijumaa january 30 katika ukumbi wa Manyara Park CCM Tandale Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Abdallah Mkumba akisaini baada ya kupimwa Afya

Mabondia wakisubili kupima Afya

Mabondia SAID MAGIMBA KUSHOTO AKITUNISHIANA MSULI NA AZIZI ABDALLAH BAADA YA KUPIMA UZITO KWA AJILI YA MPAMBANO WAO UTAKAOFANYIKA KESHO IJUMAA KATIKA UKUMBI WA MANYARA PARK TANDALE CCM PICHA NA SUPER D BOXING NEWSNo comments:

Post a Comment