Tangazo

Pages

Sunday, January 11, 2015

IKOTA APANIA KUJUA MCHEZO WA MASUMBWI KWA KUWA UPO KATIKA DAMU YAKE

Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimwelekeza jinsi ya kurusha makonde bondia Zainabu 'Ikota' Mhamila ambaye ni binti yake anaependa ngumi kwa ajili ya kujiweka fiti katika mazoezi picha na SUPER D BOXING NEWS

 Bondia Zainabu Ikota Mhamila kushoto akifundishwa jinsi ya kutupa makonde na baba yake mzazi wakati wa mazoezi yaliyofanyika shule ya uhuru Dar es salaam picha na SUPER D BOXING NEWS
ZAINABU 'IKOTA' MHAMILA  NA RAJABU MHAMILA  SUPER DKocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akiwa na binti yake baada ya mazoezi

No comments:

Post a Comment