Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu
Mhamila 'Super D' akiwa ameshikilia mikanda ya ubingwa wa dunia kushoto
na ubingwa wa kimataifa kulia utakaogombaniwa na bondia Thomas Mashali
na Kalama Nyilawila na mwingine atagombania bondia Alan Kamote wa Tanga
na bondia kutoka nje
Bondia Obota Ameme akiwa ameshikilia mikanda ya ubingwa wa dunia kushoto

Tuesday, April 29, 2014
Monday, April 28, 2014
DVD MPYA ZA MASUMBWI KUTOKA SUPER D BOXING COACH AND PROMOTION
DVD
HII YA MASUMBWI IKIMUHUSISHA IBRAHUMU CLASS .KING CLASS MAWE. MAPAMBANO MAKALI
YA NGUMI ZOTE KALI LIPO KWENYE DVD MOJA SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA
BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA
SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super
D'
Photojournalist at Majira, Business Times
Email.superdboxingcoach@gmail.com
mhamila1@gmail.com
www.superdboxingcoach.blogspot.com
Mob;+255787 406938
+255774406938, +255713406938
Po.Box. 15493
Photojournalist at Majira, Business Times
Email.superdboxingcoach@gmail.com
mhamila1@gmail.com
www.superdboxingcoach.blogspot.com
Mob;+255787 406938
+255774406938, +255713406938
Po.Box. 15493
DVD MPYA ZA MASUMBWI ZIKIMSHILIKISHA BONDIA IBRAHIMU CLASS KING CLASS MAWE
![]() |
MPAMBANO WA MASUMBWI AMBAO UMEACHA HISTORIA KATIKA MCHEZO WA NGUMI DUNIANI |
IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE SASA ATAKA KUWANIA UBINGWA
Ibrahimu Class King Class Mawe birth place Iringa, Tanzania won 10,
birthdate 1990-10-10 (age 23)
division light welterweight

WLADIMIR KLITSCHKO AMTWANGA LEAPAI KAMA GUNIA NA KUTETEA MATAJI YAKE
WLADIMIR KLITSCHKO AMTWANGA LEAPAI KAMA GUNIA NA KUTETEA MATAJI YAKE
BONDIA
Wladimir Klitschko ameendeleza ubabe wake katika ndondi za uzito wa juu
baada ya usiku wa kuamkia leo kumchapa kwa Knockout (KO) ya raundi ya
tano, Alex Leapai katika pambano la kutetea mataji yake.
Klitschko,
alitumia mikono yake mirefu kumchapa kama 'mwanawe' mpinzani huyo wa
Samoa mzaliwa wa Australia, ambaye raundi ya tano alisalimu amri katika
pambano lililofanyika mjini Oberhausen, Ujerumani Magharibi.
Leapai alikwenda chini baada ya kuchanganyiwa makonde ya mikono yote, kushoto naa kulia mfululizo.
Aliinuka
kujaribu kutaka kuendelea, lakini kwa nia nzuri, Klitschko raia wa
Ukraine akajisogeza mbali zikiwa zimesalia sekunde 58 raundi hiyo
kumalizika.
Pokea
hiyo: Konde la Klitschko likichapa kidevu cha Leapai jana katika
pambano la ubingwa wa dunia uzito wa juu mjini Oberhausen, Ujerumani
Magharibi.

Chini: Klitschko akimuangalia mpinzani wake, Leapai anavyopambana na sakafu

Mataji
kibao: Wladimir Klitschko akisherehekea ushindi wake dhidi ya Alex
Leapai ambao umemfanya atetee mataji yake ya WBA, IBF, WBO na IBO
Friday, April 25, 2014
BONDIA THOMAS MASHALI APATA AJARI
Bondia Thomasi Mashali akionesha majeraha aliyoyapata baada ya kupata ajali hivi karibuni picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
JERAHA LINALO ONEKANA MKONONI
Bondia Thomasi Mashali akionesha majeraha aliyoyapata baada ya kupata ajali hivi karibuni picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
THOMAS MASHALI
Bondia Thomas Mashali wa tatu kushoto akiwa na baadhi tya ndugu na jamaa akiuguza majeraha ya vidonda baada ya kupatas ajari hivi karibuni picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Thomasi Mashali akionesha majeraha aliyoyapata baada ya kupata ajali hivi karibuni picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Na Mwandishi Wetu
BONDIA Thomasi Mashali amepata ajari ya gari mara baada ya kuangukia mtaloni akiwa anaendesga gari aina ya vitz lenye namba za usajili T 777 BMW ajari hiyo iliyotokea maeneo ya kimara baruti siku ya april 20
wakati akitokea manzese kwenda nyumani kwake kimara mwisho akielezea tykio zima la ajari hiyo Mashali 'Alisema nilikuwa naendesha mwenyewe nikakutana na tuta nikaruka tuta nilivyomaliza tu tuta kumbe mbele yangu kulikuwa kumefungwa kutokana na matengenezo ya barabara ya morogoro ile nataka kukwepa uzioambapo nilipo kwepea nika ingia mtaloni moja kwa moja
katika gari hiyo tulikuwa wawili na mdogo wangu George Maluma ambaye ajaumia chochote katika ajari hiyo
akizungumzia mchezo wake unao mkabili ambao ulikuwa ufanyike siku ya mei mosi katika ukumbi wa PTA Sabasaba kwa ajili ya kumkabili Kalama Nyilawila, mashali alisema kuwa kwa sasa sifanyi mazoezi kwa kuwa nauguza majeraha yangu ya kuchubuka na kutoka kwa ngozi katika mkono wangu wa kulia na ubavuni mwangu
namwambia Kalama kuwa kafala laker limegonga mwamba hivyo akae tayali kwa kipigo cha mbwa mwizi kama nilivyo mfanya mwenzie Mada Maugo
kwani na yeye alikuwa anachonga sana lakini mwisho wa siku nikachukuwa ubingwa kupitia kwake yeye mana mpambano huu nilikuwa nausubili kwa hamu kubwa sana leo kesho
mbali na majeraha haya napenda kuwashukuru baadha ya watu walionisaidia katika tukio zima la mimi kupata ajari na kunisaidia kutoa gari bondeni mpaka sasa ipo katika mikono salama ingawa imearibikwa kwa sababu ya kubondeka
mbali na hivyo nashukuru promota Ally Mwazoa kwa kuwa na moyo wa huruma na kuhamua kusogeza mbele mpambano huo mpaka siku utakapotangazwa tena pia naomba watanzania waniombee duwa kwani naenderea vizuri kutibu majeraha yangu

Thursday, April 24, 2014
DVD MPYA ZA NGUMI HIZI HAPA
![]() |
DVD MPYA YA MASUMBWI AMBAYO IMESHILIKISHA MABONDIA WA TANZANIA,IRAN PAMOJA NA THAILAND ILIKUWA P.T.A SABASABA SASA ZINAPATIKANA KUTOKA SUPER D BOXING COACH UHURU NA MSIMBAZI KARIAKOO DAR ES SALAAM TANZANIA ZAIDI WASILIANA Super D Boxing Coach Email.superdboxingcoach@gmail.com www.burudan.blogspot.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255713 406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania |
![]() |
MPAMBANO AMBAO UNAFANYIKA MEI 3 UKO MGM GRAND LAS VEGAS |
![]() |
MPAMBANO AMBAO UNAFANYIKA MEI 3 UKO MGM GRAND LAS VEGAS |
DVD YA MYWETHER NDANI KUKIWA NA CHEKA VS MASHALI
Wednesday, April 23, 2014
MWAITE JUMA AENDELEZA UBABE CHALINZE JUMA BIGLEE AMCHAKAZA JACK SIMELA
Bondia Juma Biglee kulia akishambulia kwa makonde na Jack
Simela wakati wa mpambano wao wa masumbwi uliofanyika jana katika ukumbi
wa Ndelema inn chalinze mjini mkoa wa pwani Biglee alishinda kwa point
picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Bondia Juma Biglee akinyooshwa mkono juu baada ya kumshinda Jack Simela wa chalinze
Bondia Mwaite Juma kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Godfrey Sadiki 'Pacho Mawe' wakati wa mpambano wao uliofanyika jana katika ukumbi wa ndelema inn chalinze mkoa wa pwani juma alishinda kwa point picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Mwaite Juma kushoto akioneshana umwamba wa
kutupiana makonde na Godfrey Sadiki 'Pacho Mawe' wakati wa mpambano wao
uliofanyika jana katika ukumbi wa ndelema inn chalinze mkoa wa pwani
juma alishinda kwa point picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Sunday, April 20, 2014
BONDIA FRANSIC MIYEYUSHO KUTO SHILIKI MAZOEZI KWA MWEZI MZIMA ILI KULINDA AFYA YAKE
BONDIA Fransic Miyeyusho ' Chichi Mawe' baada ya kupokea kichapo cha mbwa mwizi hivi karibuni na Bondia
Sukkasem
Kietyongyuth
kutoka Thailand na kupelekwa hospital na kupatiwa huduma ya kwanza
kwa kufanyiwa uchunguzi wa kina sasa itamlazimu akae pembeni bila kufanya mazoezi ya aina yoyote pamoja na kazi ngumu katika kipindi cha mwezi mzima ili aweze kurudi katika hali yake ya kawaida baada ya kichwa chake kupigwa ngumi nyingi kali kwa mfululizo
ndio nika letewa huyu mthailand kwa sasa ata hivyo mpambano ulikuwa ufanyike april 12 ikasogezwa mbele mpaka april 19 ndipo nilipo panda ulingoni hivyo mpambano ulikuwa na mizegwe sana mana kila siku mkataba ulikuwa ukisogezwa mbele kwa kutumia mkataba hule hule
aliongeza kwa kusema anaomba mashabiki wake wamsamehe kwa kilichotokea kwa kupoteza mpambano huo kwani hata promota mwenyewe alikuwa mbabaishaji na nilikuwa nabadilishiwa ata mapromota mara Jay Msangi mara Mussa Kova hivyo nilikuwa sijui promota alisi ni nani wakati mwanzo nilikuwa namjua msangi
naomba watanzania wenzangu waniombee duwa kwani mchezo kuna kupigwa na kushinda nita hakikisha siwakatishi tamaa
mashabiki wangu pindi nitakapokuwa sawa kwa kurudia ali yangu na kuanza mazoezi
hata hivyo nasikitika kusema mpambano wangu uliokuwa ufanyike mei 10 kuzipiga na Mohamed Matumla nitamuomba promota Ally Mwazoa apeleke mbele kwani sito kubali kupoteza mpambano huo kirahisi najua mwazoa ametumia galama nyingi sana kutangaza mpambano wangu na Matumla sina budi kumuomba msamaha kwa yaliyotokea kwa kuwa yeye ni mwanamichezo na anajua madhala ya mchezo wa ngumi atanielewa kwa kulisogeza pambano hilo mbele
Bondia Bernard Hopkins amshinda Beibut Shumenov kwa point
Bondia
Bernard
Hopkins
kushoto akipambana na Beibut Shumenov wakati wa mpambano wao uliofanyika usiku wa kuamkia leo Hopkins alishinda kwa majaji wawili kwa mmoja mpambano huo wa raundi 12
Bondia
Bernard
Hopkins
kulia akimtupia konde mpinzani wake wakati wakipambana na Beibut Shumenov wakati wa mpambano wao uliofanyika usiku wa kuamkia leo Hopkins alishinda kwa majaji wawili kwa mmoja mpambano huo wa raundi 12
Bondia
Bernard
Hopkins
kulia akipambana na Beibut Shumenov wakati wa mpambano wao uliofanyika usiku wa kuamkia leo Hopkins alishinda kwa majaji wawili kwa mmoja mpambano huo wa raundi 12
MABONDIA DIMOSO NA TAMBA WAPIMA UZITO KUPIGANA JUMATATU YA PASAKA
Bondia George Dimoso kushoto na Ibrahimu Tamba wakiwa mbele ya kamera ya super D Blog baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika Manyara Park Tandale CCM siku ya jumatatu ya pasaka picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Bondia George Dimoso akipima uzito kwa ajili ya mpambano wao utaka
Ibrahimu Tamba
Bondia George Dimoso kushoto na Ibrahimu Tamba wakiwa
mbele ya kamera ya super D Blog baada ya kupima uzito kwa ajili ya
mpambano wao utakaofanyika Manyara Park Tandale CCM siku ya jumatatu ya
pasaka picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Saturday, April 19, 2014
MABONDIA CHEKA,MIYEYUSHO WASHINDWA KUTAMBA KING CLASS MAWE AMSAMBALATISHA MUSTAFA DOTO
Bondia Ibrahimu Class' King Class Mawe' kushoto akimwadhibu Mustafa Dotto wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba April 19 jijini Dar es salaam King class alishinda kwa pointi mpambano huo picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Bondia Ibrahimu Class' King Class Mawe'
kulia akiendelea kumwadhibu Mustafa Dotto wakati wa mpambano wao
uliofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba April 19 jijini Dar es salaam
King class alishinda kwa pointi mpambano huo picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Mustafa Dotto kushoto akioneshana
umwamba wa kutupiana makonde na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati
wa mpambano wao uliofanyika PTA Sabasaba King Class alishinda kwa Point
picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Ibrahimu Class' King Class Mawe' kushoto akimwadhibu Mustafa
Dotto wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba
April 19 jijini Dar es salaam King class alishinda kwa pointi mpambano
huo picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
FURAHA YA USHINDI
KING CLASS MAWE AKIOJIWA BAADA YA KUIBUKA MSHINDI
KING CLASS MAWE KATIKATI ALIEKAA AKIWA NA MARAFIKI ZAKE BAADA YA USHINDI
KING CLASS MAWE KATIKATI ALIEKAA AKIWA NA MARAFIKI ZAKE BAADA YA USHINDI
Bondia Fransic Cheka kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Gavad
Zohrehvand wa Iran wakati wa mpambano wao wa kirafiki wa kimataifa
uliofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba jijini Dar es salaam mpambano
huo uliamliwa kwa droo ya kufungana point picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

kutoka Thailand kulia akiwa amemkalisha bondia fransic
Miyeyusho katika raundi ya kwanza ya mpambano wa raundi kumi na
kufanikiwa kwshinda kwa K,O Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Fransic Miyeyusho kushoto akijitutumua kupigana na Bondia
Sukkasem
Kietyongyuth
kutoka Thailand miyeyusho alipigwa raundi ya kwanza bila huruma picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Fransic Miyeyusho kushoto akijitutumua kupigana na Bondia
Sukkasem
Kietyongyuth
kutoka Thailand miyeyusho alipigwa raundi ya kwanza bila huruma picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Subscribe to:
Posts (Atom)