Tangazo

Pages

Wednesday, April 2, 2014

CHICHI MAWE KUCHEZA JUMAMOSI HII

pamoja na francis miyeyusho kupanda
> ulingoni tarehe 05-04-2014 kuzipiga na bondia kutoka

> phillipines,bado atalazimika kuzipiga na bondia mohamedi
> matumla hapo 26-04-2014 katika ukumbi huo huo wa pta.
>
> tpbo inalazimika kutowa ufafanuzi huu baada ya mashabiki
> wengi wa ngumi za kulipwa kuingiwa na wasiwasi kwamba labda
> pambano la tarehe 05-04-2014 ni mbadala wa pambano la tarehe
> 26-04-2014.[si kweli].
>
> ikumbukwe kwamba miyeyusho alisaini mkataba wa pambano musa
> kova tangu mwezi wa pili 2014 na alitakiwa kupigana tarehe
> 08-03-2014,dhidi ya bondia kutoka ukraene victor chinous ,na
> pambano ambalo lilikuwa likitangazwa sana na jay msangi kuwa
> linaandaliwa na hall of fame ambayo imepigwa marufuku
> kuandaa mapambano nchini kwa kuwadhulumu pesa waamuzi,na
> bondia phill williams kutoka marekani.sasa baada ya ndg musa
> kova promota halisi wa pambano hilo kujitokeza hadharani
> amempangia miyeyusho kuzipiga tarehe 5-04-2014 ktk ukumbi wa
> pta jijini dsm.
>
> kumbe baada ya uchunguzi wa kina na wa kisaansi iligundulika
> kwamba mapambano yote aliyokuwa akiyatangaza jay msangi
> kwamba yeye ndiye promoter likwemo la francis cheka dhidi ya
> bondia kutoka urusi kuwa kampuni ya hall of fame ndiyo
> waandaaji jay msangi hakuwa mkweli [alisema ustaadh], bali
> yeye alikuwa anatumwa tu na mussa kova kama mtengenezaji wa
> pambano tu [match maker].
>
> ukweli huo umedhihirika baada ya rais wa tpbo ndg yassin
> ustaadh kuzungumza moja kwa moja na ndg musa kova na
> kumthibitisha hivyo.
>
> nachukuwam fursa hii kuwataka mashabiki wote wa masumbwi
> wasiwe na hofu juu ya pambano la francis miyeyusho dhidi ya
> mohamed matumla kwamba liko kama

lilivyopangwa tarehe
> hiyohiyo 26-04-2014 [sikukuu ya muungano] na maandalizi
> yanaendelea vizuri sana tunzeni pesa zenu tu.
>
> imeletwa kwenu nami;-
>
> yassin abdallah mwaipaya -ustaadh
>
> rais -tpbo limited

No comments:

Post a Comment