Tangazo

Pages

Wednesday, April 16, 2014

CHICHI MAWE KUCHEZA MICHEZO MIWILI NDANI YA MWEZI MMOJA


MPAMBANO wa masumbwi wa bondia Fransic Miyeyusho na mohamed Matumla sasa utafanyika Mei 10 katika ukumbi wa PTA Sabasaba mpambano huo uliokuwa ufanyike April 26 sasa umesogezwa mbele
kumpisha bondia Miyeyusho ili acheze vizuri mpambano wake wa kimataifa unao mkabili dhidi ya Bondia Sukkasem Kietyongyuth  kutoka Thailand mpambano utakaofanyika April 19 katika ukumbi wa Pta sabasaba
mpambano uhoutakaosindikizwa na ngumi za wanawake ambapo bondia Lulu Kayake atavaana na Halima Ramadhani katika kuhakikisha mchezo wa masyumbwi kwa wanawake unahamasishwa vizuri
mshindi katima mpambano wa matumla na miyeyusho atapata nafasi ya kupata meneja kutoa katika kampuni ya Mwazoa  Promosheni kutoka Tanga
akizungumzia maandalizi ya mpambano huo promota amesema kua mpambano huo utachezwa mei 10 katika ukumbi huo wakatik huohuo aliongeza kwa kusema
mpambano mwingine mkali utawakutanisha mabondia Kalama Nyilawila na Thomas Mashali siku ya mei mosi mwaka huo katika ukumbi wa PTA sabasaba aliongeza kuwa katika michezo hiyo kingilio ni 7000, na 10,000 kwa viti maalumu na mchezo huo utachezwa kivyovyote iwe mvua iwe jua kwani akuna kitu kitakachoweza kuzuia mpambano usifanyike kwa kuwa tunatumia uwanja mkubwa na uwanja wa ndani hivyo mashabiki wasisite kuja katika mechi hizo ambazo zina upinzani wa ali ya juu
Katika mpambano huo siku hiyo kutakuwa na uzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi  kali pamoja na kutambua sheria zake zikiwa na mabondia wakali kama vile
Floyd Mayweathar,Manny Paquaio, Saul 'canelo' alverez ,Mike Tyson,Mohamed Ali,Ferex Trinidad,Miguel Cotto na wengine wengi
pia kuta kuwa na vifaa vya mchezo vitakaokuwa vikitolewa na Rajabu Mhamila 'Super D' kwa mabondia watakaofanya vizuri siku hiyo na vingine kuuzwa kwa pesa taslimu na kocha huyo kwa ajili ya kuamasisha


--
Super D Boxing Coach
Email.superdboxingcoach@gmail.com
www.burudan.blogspot.com
www.superdboxingcoach.blogspot.com
 Mob;+255787 406938
        +255774406938
        Po.Box. 15493
Dar es Salaam Tanzania

No comments:

Post a Comment