Tangazo

Pages

Monday, March 11, 2013

BONDIA Bernard Hopkins, 48, AMEWEKA record YA KUWA BINGWA WA DUNIA AKIWA NA UMRI MKUBWA

BONDIA Bernard Hopkins

48

amemtwanga kwa pointi 117-111, 116-112, and 116-112. bondia  Tavoris Cloud wakati wa mpambano wao wa ubingwa wa Dunia katika mpambano uliofanyika katika jiji la New York City. na kuweka rekodi ya kuwa bingwa mwenye umri mkubwa kuchukua ubingwa wa Dunia  miaka miwili iliyopita Hopkins alimpiga kwa point bondia machachali Chad Dawson katika mpambano wao wa marudiano na kuwa bingwa wa Dunia Bondia huyo mkongwe aliyeweza kudumu katika masumbwi kwa mda mrefu bondia huyo anaefanya kuwa rekodi yake kwa sasa ni on 53 (KO 32) + lost 6 (KO 0) + drawn 2 = 63  katika michezo yake 63 amepoteza mipambano 6 tu rekoni ambayo inamfanya kuwa juu mpaka hivi sasaNo comments:

Post a Comment