Tangazo

Pages

Friday, August 24, 2012

KALAMA NYILAWILA AJIFUA KUMKABILI FRANSIC CHEKA SEPTEMBA 29


Bernald Lumbila Kushoto akifanya mazoezi ya pamboja na bondia Kalama Nyilawila Nyilawila anajiandaa na mpambano wake dhidi ya Fransic Cheka SEPTEMBE 29
Kalama Nyilawila akijifua katika GYM ya Sinza Makaburi



Msimamizi wa Mchezo wa ngumi katika kambi iliyopo sinza
makaburini, Bernald Lumbila (kushoto) akimwelekezai bondia Kalama Nyilawila jinsi ya kupiga ngumi katika mbavu Dar es saam Nyilawila anajiandaa na mpambano wake dhidi ya Fransic Cheka PIcha nawww.superdboxing coach.blogspot.com
Kalama Nyilawila akijifua

No comments:

Post a Comment